Ile story yetu, yamenikuta

Ile story yetu, yamenikuta

Aisee sredi nyingine muwe mna mp ana hukohuko. Maana naona vacuum tu.
 
Mkuu slim5


Mpotezee huyo.

Kwani kuna usemi wa wenzetu waliosoma kuwa " UKITEMBEA NJIANI UKAMKUTA KICHAA AMEVUA NGUO UCHI WA MNYAMA NA WEWE UKASIMAMA NA KUMCHEKA; ENDAPO AKIPITA MWEREVU ATASEMA NIMEWKUTA VICHAA WAWILI HAPO MBELE"

Hivyo epukana naye usijeonekana na wewe kama yeye.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Last edited by a moderator:
Hebu achana nae bana asije akatuharibia swaumu yetu bure

Ila mlete hapa utuachie sie tumchambe, nitamwita na warumi mama wa michambo

Habari za Asubuhi wanaJAMII!
Siku yangu ya jana imeisha vibaya!

Kuna ile story yetu tulioianza tangu J'tatu, ambayo mpk jana imefika sehemu ya saba! kuna Mkuu kanicheck jana na vitisho kibao, katoa maneno ya kashfa ya kutosha, jamaa kani-dis, katukana sana, ukweli amenifedheesha sana!

Hajaweka wazi shutuma zake, nini shida, lkn kwa muelekeo wa kashfa zile, nahisi nimemboa kwa ile style ya vipande vipande vya ile story yetu, japokuwa kuna mstari mmoja katudis mimi na ID moja ya kike, sasa sijaweza kubaini amenihusishaje na ile ID ya bidada (hz ID za JF huwa siziamini jinsia zake za wamiliki), na sijui yy na yule mmiliki wa ID ya kike wapoje!

Binafsi, humu JF sina mtu wwt yule ambae nina phisical intact nae, sina mtu ambae tunajuana nje ya JF na ndani ya JF, hata hapa ofisini kwangu watu hawajui kitu chochote khs JF! Nimepanga kumjibu baadae nikiwa na mood nzuri! leo mida ya mchana nitarudi na kipande cha mwisho!

cc The Boss, watu8, muuza ubuyu, lad3, @miss neddy, Blessed, Heart, LIKUD, Kijana leo, Vaislay, lin, ikhwaan, mwekundu, g click, 1000GB, terasy, Munkari, Pretty, kakakuonana, The hammer, tutsi gal, @Justin demee, princetx, prospa, Mokoyo, Masonda., ram, Honey Faith, ZAMBI YANGU, KANDIRI, CEOgwamzy, Man Ngosha, miss ngatara, @Drama queen, dawa yenu, mtengwa, kan'tangaze, mizambwa, msabillah, Foundation, 64gb, City hunter j, @Moranga, Tarime one, mtvbase, tamuuuuu, wisu!
 
Last edited by a moderator:
Hebu achana nae bana asije akatuharibia swaumu yetu bure

Ila mlete hapa utuachie sie tumchambe, nitamwita na warumi mama wa michambo

kwani warumi ni mama? hii mupya kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom