Ila wanawake hela mlitengenezewa nyie

Ila wanawake hela mlitengenezewa nyie

Pole mkuu kwa kukutana na tapeli la mapenzi
Ni mpuuzi sn ila wkt mwngne baadhi ya wanawake wanajiharibia sn kwa kuweka njaa mbele wanapoteza na kukosa mambo mazuri toka kwa watu kisa njaa zao tu, wengi wamepoteza watu bora sn ambao wangekuwa msaada kwao kisa kutanguliza njaa mbele. Wengi wamekosa msaada kwenye shida za kweli sababu ya njaa mbele.
 
Wabongo bhana 😂

Badala uombe michongo, ww unaomba picha za upuuzi ambazo unaweza kuzipata mwnyw na simu yako.
Mkuu wangu Mbaga Jr lini umeanza kuzungumza mapoint kama haya ?

Na lini au saa ngapi ukadhani niko serious na hili?
Anyway sina haja ya mchongo kaka nilipo pananitosha nikishindwa kuishi basi ndugu zangu watanibeba kwa hali na mali .

Usirudie tena kumfokea kijana mwenzio kwenye mambo ya mahaba na utunduizi yakinifu juu ya mambo mazuri ya wanawake ,sawa ndugu yangu ?
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom