Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa

Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa

Naona wengi mnashambulia pasipo kuweka mizania ya uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja.

Tujaribu kuwa subjective tunapoleta ulinganisho wa vitu/mambo mbalimbali.

Tukumbuke kikubwa unachomiliki au unachopata kwa mwezi hata miezi 2, kwa mwingine kina thamani ndogo kiasi anaweza linganisha na matumizi yake ya siku 2 au 1.

Kama ilivyo mwenye uwezo wa kumiliki baskeli atajivunia kwa kiasi chake na baskeli yake bila kusahahau ataendelea kuona mwenye pikipiki anafaidi maisha hivyo hivyo mwenye pikipiki yake ya bei ndogo atajivunia lakini ataona mwenye vitz ana kula maisha, mnyororo unaenda mbali zaidi.

sasa kinachotokea hapa wenye vitz na prado mnamshangaa mwenye baskeli kuona mwenye pikipiki anakula maisha, katika uhalisia inapaswa kuwa hivyo kwasababu ndio uwezo wake umefikia hapo.

na pia tutambue umaskini ni mkubwa sana Tanzania hii.

Tuhimizane kuendelea kupambana na kuijenga bora yetu hapo mbele.
 
Sikutaka kuchangia huu uzi ila inabidi,
Serious kabisa 1.7m ndio imekushtua hadi umeanzisha uzi?
Yani 1.2 ndo unaona hela nyingi kweli serikalini mnateseka..
Hii pesa ndogo sana
Bwashee waambie vijana waje huku tukomae na box,
Hilo hela ni income ya siku 4 tu,
Nimeshangaa sana na hiyo pesa nimetoka kuacha baa sa hii😅
Mleta mada unatakiwa ubadilike kifikra na kitabia ili na wewe upige hatua kwenye maisha yako,na kuacha kushangaa vipato vya wengine
Duh! Mleta mada amechochora, amelet mada ya kimasikini kwa matajiri
Jf member mmeshaanza kila mtu humu ana mshahara mkubwa kuliko huo
Jf ya matajiri hii,kila mmoja humu ni analipwa 10m
Nyuzi za matajiri hizi..uzuri wake humu mnajuana wenzetu...
Jeyiefu bwana kila mtu tajiri🙌🙌🙌🙌🙌
Kuna dogo aliekuja na tatizo kaoa anaomba msaada akachangiwa efu mbili tu, na hawa matajiri ,😂
Wee usitake nivunjike mbavuu asee🤣🤣🤣🤣🤣, hakuna tajiri hapa ila vidole ndo vinatype utajiri, hahaha!
JF utamaduni wetu uleuoe bado haujabadilika wa kila mtu humu ana mshahara mkubwa na kila mtu ana biashara kubwa
Uzur wa wana jf wakiwa kwenye keyboard hakuna kitu kikubwa kwao
70 % ya watumishi wa Umma hawapati hiyo hela.
Wahuni watakubeza mkuu wakati wapo wengi tu humu hawafikishi ata nusu ya hiyo take-home,
Jiandae kisaikolojia na majibu
Asilimia kubwa watumishi wa serikali huo mshahara ni mkubwa sana... sizungumzii wafanyabiashara
70 % ya watumishi wa Umma hawapati hiyo hela.
Upo sahihi mkuu jamaa asije akaacha kazi yake kisa pressure za watu humu.
Lakini tuache utani , hio salary ni kubwa , tuache utani , hasa kwa kijana anaye anza Maisha 🙏
 
Huyu dogo ni chalii mdogo tu kamaliza chuo miaka mitatu nyuma, leo nimebahatika kuona salary slip yake, kidogo nizimie yaani.

Kuna private sector watu wanakula good ti
Huyu dogo ni chalii mdogo tu kamaliza chuo miaka mitatu nyuma, leo nimebahatika kuona salary slip yake, kidogo nizimie yaani.

Kuna private sector watu wanakula good time sio poa!

View attachment 3580933
Mtu ana diploma ya miaka 2, basic ni 2M na yupo gvt😂😂
 
kaguse hapa tuone , TCRA, EWURA , LATRA , TCAA , TASAC ... Hiyo ni allowance tu.
 
Bila shaka wewe ni wale mnaofanya kwa wachina mnalipwa laki 4 ndo maana unashangaa hiyo salary ya huyo dogolasi
Aiseeee nimeshangaa sana kwakweli yaani 1.2m ndiyo mshahara mkubwa? Mimi sijawahi kulipwa hiyo pesa kwa mwezi,mpaka naacha nilikuwa nalipwa laki 8 sababu niliona ndogo na nakumbuka hadi naacha kuna majamaa walikuwa wanavuta 4m halafu tulikuwa age sawa.

Sikatishi watu tamaa ila kibongo bongo atleast mtu ukunje Take home 2.5m unaweza kuyakabili maisha ila 1.2m labda bachela unaishi single room na huna majukumu.
 
Back
Top Bottom