Bas nilikua namtania tu😅Hahaha, mkuu usimrushe roho kijana wa watu. Atajinyonga 😂.
Huu ni ujinga wa hali ya juu, hiyo pesa yote si inaishia kwenye mafuta, sasa anapata wapi pesa ya kula na familia? Kama huku ndio mnaita kula maisha, aisee, sijui itakuwajeHuyu dogo ,ni chalii mdogo tu kamaliza chuo miaka mitatu nyuma.leo nimebahatika kuona salary slip yake,kidogo nizimie yani.
Kuna private sector watu wanakula good time sio poa.
View attachment 3580933
Wenye uwezo wa kuteketeza hiyo pesa kwenye mafuta ya gari ni wachache sana bro..Huu ni ujinga wa hali ya juu, hiyo pesa yote si inaishia kwenye mafuta, sasa anapata wapi pesa ya kula na familia? Kama huku ndio mnaita kula maisha, aisee, sijui itakuwaje
😅😅😭😭Hail Holly mother
Pray for us watafutaji na hizo increment
Sema na maboss Mama 😂
Sawa baba yanguUsichoke mama yengu.
Acha tu, ukiona watu wanaongelea 1.7M unashangaa kidogo.Hahaha nikiwaza boss wangu anakula 25m per month nachoka
Hakika mkuuMimi mtu akiniambia amefanya biashara akashindwa au hawezi kufanya biashara au haoni afanye biashara gani huwa SIIMDHARAU hata kidogo, nachukulia kawaida kabisa sababu najua pia Mungu ana namna ya kumuandikia mtu.
Nina shuhuda kadhaa za watu wenye pesa kiasi wakitafuta namna ya kufanya biashara wakafeli na wengine waliingia na biashara zikafa.
Biashara ikikaa vyema kwako, ikikaa vyema kwako. Muajiriwa anayelipwa milioni 200 baada ya kustaff, wewe kwa biashara unaweza ukaivuta within 6 to 7 years tu. Hapa nazungumza biashara ambayo mtu unafanya small to medium enterprise, sio duka la mangi au la muha, sio vistationery. Sio biashara ya mtaji wa milioni moja sijui mbili. Hapa nazungumzia small to medium investments.
hio ni salary ya fundi ofisi zingine ,Azidi kutembea kupata exposure .kama hio inamchanganyaNet Pay ya 1.2M inakuchanganya mkuu....
This was my starting salary in 2010s huko
Nimeshangaa kinoma yani, nikajisemea moyoni kama hiyo net ya 1.2 ndio mtu anaonekana anakula maisha basi mleta mada atakuwa anasota sana.Bila shaka wewe ni wale mnaofanya kwa wachina mnalipwa laki 4 ndo maana unashangaa hiyo salary ya huyo dogolasi