Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa

Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa

Paragraph ya mwisho nimeielewa sana mkuu
Mimi mtu akiniambia amefanya biashara akashindwa au hawezi kufanya biashara au haoni afanye biashara gani huwa SIIMDHARAU hata kidogo, nachukulia kawaida kabisa sababu najua pia Mungu ana namna ya kumuandikia mtu.

Nina shuhuda kadhaa za watu wenye pesa kiasi wakitafuta namna ya kufanya biashara wakafeli na wengine waliingia na biashara zikafa.

Biashara ikikaa vyema kwako, ikikaa vyema kwako. Muajiriwa anayelipwa milioni 200 baada ya kustaff, wewe kwa biashara unaweza ukaivuta within 6 to 7 years tu. Hapa nazungumza biashara ambayo mtu unafanya small to medium enterprise, sio duka la mangi au la muha, sio vistationery. Sio biashara ya mtaji wa milioni moja sijui mbili. Hapa nazungumzia small to medium investments.
 
Sio utajiri, hata kama unalipwa laki 7 ila huo mshahara wa huyo dogo sio mshahara wa kuusifia kuwa unakula maisha.
Kabisa mkuu, mshahara wa 1.3m mshahara wa kawaida sana saaana. Yaani mwaka mzima hafiki hata 15m. Sio pesa ndogo ila sio mshahara mkubwa kama asemavyo mleta mada.

Kuna watu per month wanakuja zaidi ya 2m. At least hawa tunaweza sema hivyo, Jeshini mwenye nyota anakunja zaidi ya 2m per month.
 
Ila Tz, kikubwa uzima tu, stress haziishi, unasoma unakua na stress za kufaulu, unafaulu unagraduate unakua na stress za kupata ajira, unapata ajira mshahara nao unakupa stress namna ya kuubalance ili Kila kitu kiende sawa😅😅😅.
 
Huyu dogo ,ni chalii mdogo tu kamaliza chuo miaka mitatu nyuma.leo nimebahatika kuona salary slip yake,kidogo nizimie yani.

Kuna private sector watu wanakula good time sio poa.

View attachment 3580933
Yani 1.2 ndo unaona hela nyingi kweli serikalini mnateseka...
Fanya juu chini uje kutinga huku mgodini hiyo hela utaona aibu kuisema mbele za watu hiyo n hela ya saidia fundi [emoji16]
 
Raha yao police analipwa 400k pesa ya chakula kila mwezi, kwahiyo ukijumlisha hapo uliyoiona sio haba atadondokea kwenye 700k+. Na huyo ni form 4.
Bro hiv anauziwa sukari kg 1 sh 1000?
○Kodi analipa sh ngp?
○Kula ya mwezi sh ngp?
○Ada watoto 2 sh ngp?
○Nauli sh ngp?
○Bundle sh ngp?
○○ Zingatia polisi ni wahongaji wazur
○○○Hasira, uonevu, uporaji na chuki vinakosekanaje hapa?
 
Back
Top Bottom