Naunga mkono hojaTutafute hela mkuu,hamna maajabu hapo!!
Ma consultant nyie hiyo si fee/ perdiem ya kitu kidogo tu😂Nimeshangaa sana na hiyo pesa nimetoka kuacha baa sa hii😅
Asilimia kubwa watumishi wa serikali huo mshahara ni mkubwa sana... sizungumzii wafanyabiashara
Hongera mkuuTafuta biashara, kaa kwenye mfereji. Huwezi babaishwa na mishahara ya 1m au 2m.
Hii kwa wanaofanya biashara wananielewa vizuri sana. Mimi nilishasahau kama kuna ajira mzee.
Mkuu naomba teni nikapige bia nipunguze mawazoHahhahaha tatizo la jf tunakadiriana ipo siku nitaposti kila ninachomiliki hapa dunia kuweka heshima nchi nzima kwa walevi , yani ukiwaongelea walevi, ukinifikiria mimi lazima uufyate gadeim
😅😅 mbona hela ya wiki hii ya machalii huku kigomaaaHuyu dogo ,ni chalii mdogo tu kamaliza chuo miaka mitatu nyuma.leo nimebahatika kuona salary slip yake,kidogo nizimie yani.
Kuna private sector watu wanakula good time sio poa.
View attachment 3580933
Moja ya sababu ya ukatili wa polisi ni kutozingatiwa kwenye maslahi ndo sababu uonevu, uporaji na rushwa ni sehemu ya kazi yao ingawa haipo kwenye PGO!Me nishawahi kuona salary slip ya police ambae hana cheo chochote bado.. wacha tu aishangae hiyo
Hii ndio Kauli mbiu awamu hii ...Kuna nyie mnafanya biashara na Kuna wengine wanaenda tu kufNya biashara kama mazoeaTafuta biashara, kaa kwenye mfereji. Huwezi babaishwa na mishahara ya 1m au 2m.
Hii kwa wanaofanya biashara wananielewa vizuri sana. Mimi nilishasahau kama kuna ajira mzee.
Umenikumbusha Lemutz Rest in peace Brother!gadeim