Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa

Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa

Tafuta biashara, kaa kwenye mfereji. Huwezi babaishwa na mishahara ya 1m au 2m.

Hii kwa wanaofanya biashara wananielewa vizuri sana. Mimi nilishasahau kama kuna ajira mzee.
Ili biashara usibabaishwe na 1m ya mwezi inabidi uwe na miaka walau 5 kwenye soko au uanze na mtaji mmoja mkubwa sana na ukishakuwa una hizo hela tangu mwanzo 1m kwa mwezi haiwezi ikakubabaisha.

Biashara ni ngumu wakuu, kama unanafasi ya kuajiriwa wewe ajiriwa tu, kuteseka sio sifa wala kipimo cha mafanikio
 
Huyu dogo ni chalii mdogo tu kamaliza chuo miaka mitatu nyuma, leo nimebahatika kuona salary slip yake, kidogo nizimie yaani.

Kuna private sector watu wanakula good time sio poa!

View attachment 3580933
Miaka mitatu mtaani huu mshahara mzuri kabsa.

Nadhani zaidi ya nusu ya watanzania hawana huu mshahara na hawajaufikia pamoja na kufanya kazi miaka 10 na usheikh na wapo serikalini....

Kima cha chini mpaka sasa ni 300k+.....

Na ukute hapo hana hata familia akijipanga miaka mitatu mingine yupo mbali......

Tatzo la private sector barua ya kusimamishwa au kufukuzwa kazi ipo mfuko wa shati dakika mbili upo joblesa ila tunaishi nao kibishi.
 
Ili biashara usibabaishwe na 1m ya mwezi inabidi uwe na miaka walau 5 kwenye soko au uanze na mtaji mmoja mkubwa sana na ukishakuwa una hizo hela tangu mwanzo 1m kwa mwezi haiwezi ikakubabaisha.

Biashara ni ngumu wakuu, kama unanafasi ya kuajiriwa wewe ajiriwa tu, kuteseka sio sifa wala kipimo cha mafanikio
Nakubaliana na wewe kabisa, kuajiriwa ni kuzuri sana sababu una uhakika wa kila mwisho wa mwezi kuingiza kiasi kadhaa kuliko ajira.

Ajira inahitaji kunyenyekea mteja, kuna kuwaza competition n.k
 
Nakubaliana na wewe kabisa, kuajiriwa ni kuzuri sana sababu una uhakika wa kila mwisho wa mwezi kuingiza kiasi kadhaa kuliko ajira.

Ajira inahitaji kunyenyekea mteja, kuna kuwaza competition n.k
Soma vema kisha hariri
 
Back
Top Bottom