Ila maisha

Ila maisha

Habari zenu wakuu,

Nimekaa hapa natafakari nikagundua kuna situations kama hazijakukuta huwezi ukaelewa ukisikia mtu analalama[emoji28][emoji28]

zamani nilikua nikisikia mtu analalamika hana hata mia naona kama anazingua haiwezekani but now i know na naelewa kumbe ni kawaida tu [emoji1316][emoji1316]

Nimeamka tangu asubuhi sina hata mia[emoji28] na siku inaisha hivyo aisee.
View attachment 2874679
Wewe unashangaa hilo? Kuna watu hesabu zao zinasoma -50,000,000

Yaani anadaiwa million 50.

Kupata na kukosa siyo mwanzo au mwisho wa maisha, ni matukio tu.
 
Ni kwel, hata mm naelewa ugumu wa maisha ndo maana nimemuulza! mara nyingi mtu akileta thread ya hv nawazaga atakua labda ni graduate kapanga hana mazingira mazuri hv 🤔
We unasema maziwa ya unga? Mi na experience ya dhiki kuu nikikusimulia bendera itashushwa nusu mlingoti mtalia sana
Mimi kwa miguu yangu nilienda kwa mama muuza maandazi, nikanunua matatu, nikala moja asubuh moja mchana moja usiku, mwendo wa maji tu, nilifanya hivyo wiki nzima, maisha muda mwingine yanatufundisha kwa namna ya pekee kabisa kiasi kwamba mtu akisema kuna hili huwezi kuamini mpaka uwe umepitia hiyo situation
 
Ni kwel, hata mm naelewa ugumu wa maisha ndo maana nimemuulza! mara nyingi mtu akileta thread ya hv nawazaga atakua labda ni graduate kapanga hana mazingira mazuri hv 🤔
We unasema maziwa ya unga? Mi na experience ya dhiki kuu nikikusimulia bendera itashushwa nusu mlingoti mtalia sana
Tajiri usiseme utawaliza wengi
 
Ndio maana,ukiwa na chochote, ukiombwa kunjua mkono. Jiulize mtu anaepanga,kazi au mishe za kumuingizia zimegoma, bili anazoshea na watu zinakuja hana chochote; hapo jiko haliwaki au mama ntilie hawaonani. Badae unapita mtaani unakuta watu wamemwaga chakula aise.
Au mwenye nyumba, ni ya urithi, haelewi.
Yaone tu hivi,mwenye nacho kesho analia,asie na chochote,kesho kabalikiwa

surely
 
In life,unatakiwa kuwa na rafiki Mmoja anayeweza kubeba shida zako,,huyo rafiki anaweza kuwa mmeshare blood labda sister au cousin lakini pia inawezekana akawa rafiki tu wa kawaida...

mimi ni miongoni mwa wale mtu akinililia shida natoa nipate shida mimi sasa nikawalilie walionililia mweeee ni huzuni
 
Back
Top Bottom