Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,646
- 62,299
DuuuhKuna mda unaingie kwenye contacts una scroll kuanzia A mpaka Z una contacts karibia 200+ ila kila jina unaloliangalia huoni wakumuomba hiyo aftatu.
DuuuhKuna mda unaingie kwenye contacts una scroll kuanzia A mpaka Z una contacts karibia 200+ ila kila jina unaloliangalia huoni wakumuomba hiyo aftatu.
Inakuwa ulishawaomba au inakuwaje?Kuna mda unaingie kwenye contacts una scroll kuanzia A mpaka Z una contacts karibia 200+ ila kila jina unaloliangalia huoni wakumuomba hiyo aftatu.
🤣🤣🤣U must be jokingMisiba mingi January hii, atembee tembee anaweza otea msiba akala hapo,sio kujifungia ndani
Yeah kuna wale ambao huwa wanakutoa mara kwa mara kiasi kwamba hata kuomba tena unaona sasa itakuwa ni kero. Kuna wale unajua watakuambia hawana kitu hata kama wanacho. Kuna wale ambao unajua nao hali ni tete.Inakuwa ulishawaomba au inakuwaje?
Kweli nakuambia, mtembea bure tofauti na mkaa bure.🤣🤣🤣U must be joking
Cha kuzingatia atembee na parachichi au pilipili tuMisiba mingi January hii, atembee tembee anaweza otea msiba akala hapo,sio kujifungia ndani
Nyinyi watoto wa kamlete hamzijui hizi shida aiseAtakuwa anatania bhana....Ina maana Hana rafiki ampe hata aftatu?
Ngoja nami nijaribu....ila mbeya hata usiwe na mia kama unaishi vyema na watu unaweza jikuta wagongewa kutwa nzima kuulizwa why umejifungia ndani....na ukashiba mpaka keshobado na nishalala njaa ya siku moja haiui
😂😂😂😂🙌Cha kuzingatia atembee na parachichi au pilipili tu
Jamani, kwanini mkuu?Kuna muda unatamani uishi mbaaaali peke yako,au umiliki bastola
Kasema hana hata mia,hio parachichi au pilipili anunulie nini ndugu? Kikubwa aingie mitaa atafute msiba akae asubiri wamama wa jikoni.Cha kuzingatia atembee na parachichi au pilipili tu
Utalalaje wakati njaa inauma?🤣🤣🤣🤣🤣Sasa Kwa Nini hulali?au usingizi na njaa havichangamani?
Ni kwasababu ya vile maisha yapo mkuu.Jamani, kwanini mkuu?
OukayNi kwasababu ya vile maisha yapo mkuu.
Kama unaona maisha ni magumu achana nayo, fanya kitu kingine.Habari zenu wakuu,
Nimekaa hapa natafakari nikagundua kuna situations kama hazijakukuta huwezi ukaelewa ukisikia mtu analalama
zamani nilikua nikisikia mtu analalamika hana hata mia naona kama anazingua haiwezekani but now i know na naelewa kumbe ni kawaida tu
Nimeamka tangu asubuhi sina hata miana siku inaisha hivyo aisee.
View attachment 2874679
Bibie,ilikuwa. Kwa sasa, rafiki wa kiume lazima akuchabange,wa kike lazima anufaike kwa namna moja ama nyingine,au na yeye atataka tu naniliyu.In life,unatakiwa kuwa na rafiki Mmoja anayeweza kubeba shida zako,,huyo rafiki anaweza kuwa mmeshare blood labda sister au cousin lakini pia inawezekana akawa rafiki tu wa kawaida...