Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 16,920
- 54,377
Sema kweli kwanza kaweka bando! Itakua na akiba kidogoAtakuwa anatania bhana....Ina maana Hana rafiki ampe hata aftatu?
Sema kweli kwanza kaweka bando! Itakua na akiba kidogoAtakuwa anatania bhana....Ina maana Hana rafiki ampe hata aftatu?
Unakumbuka kuna kipindi uliomba watu wakuombee? Kumbe kuna wakati mambo yanakuzidia mpaka unawaza mawazo mabayaJamani, kwanini mkuu?
dah! kukosa mia leo tu, mbona naona kama afadhalli...Habari zenu wakuu,
Nimekaa hapa natafakari nikagundua kuna situations kama hazijakukuta huwezi ukaelewa ukisikia mtu analalama
zamani nilikua nikisikia mtu analalamika hana hata mia naona kama anazingua haiwezekani but now i know na naelewa kumbe ni kawaida tu
Nimeamka tangu asubuhi sina hata miana siku inaisha hivyo aisee.
View attachment 2874679
Ni kwel, hata mm naelewa ugumu wa maisha ndo maana nimemuulza! mara nyingi mtu akileta thread ya hv nawazaga atakua labda ni graduate kapanga hana mazingira mazuri hv 🤔Changamoto ni nyingi kwenye maisha.
Unashangaa kulala njaa mkuu?
Ulishawahi kulamba maziwa ya unga siku nzima. Maisha haya acha tu sitaki kuongea mengi
Una uhakika usemalo?bado na nishalala njaa ya siku moja haiui
Njoo piem mkuu, kama unadanganya utajua mwenyewe.Habari zenu wakuu,
Nimekaa hapa natafakari nikagundua kuna situations kama hazijakukuta huwezi ukaelewa ukisikia mtu analalama
zamani nilikua nikisikia mtu analalamika hana hata mia naona kama anazingua haiwezekani but now i know na naelewa kumbe ni kawaida tu
Nimeamka tangu asubuhi sina hata miana siku inaisha hivyo aisee.
View attachment 2874679
Na kweli hilo bundle si angekula mihogoSema kweli kwanza kaweka bando! Itakua na akiba kidogo
Da kweli mwanangu,ninekuelewaYeah kuna wale ambao huwa wanakutoa mara kwa mara kiasi kwamba hata kuomba tena unaona sasa itakuwa ni kero. Kuna wale unajua watakuambia hawana kitu hata kama wanacho. Kuna wale ambao unajua nao hali ni tete.
Maybe, ila enzi zangu nime shinda njaa zaidi ya siku 3.Atakuwa anatania bhana....Ina maana Hana rafiki ampe hata aftatu?
Siku niki kuomba hiyo 3 uta Nipa 🙄🙄😃In life,unatakiwa kuwa na rafiki Mmoja anayeweza kubeba shida zako,,huyo rafiki anaweza kuwa mmeshare blood labda sister au cousin lakini pia inawezekana akawa rafiki tu wa kawaida...
Si mbea tu,popote,kikubwa uishi na watu vizuri pale unapoweza. Lakini pia inategemea na unakaa na watu wa aina gani. Midada hata kama ni ile chakavu,wengi wao wakisoma mazingira wakaona hueleweki,watakuibukia. Ila mijama inayosaga majani sasa,itakuona we Babylon tu.Ngoja nami nijaribu....ila mbeya hata usiwe na mia kama unaishi vyema na watu unaweza jikuta wagongewa kutwa nzima kuulizwa why umejifungia ndani....na ukashiba mpaka kesho
Lakini mkuu,kumbuka,japo shida hazina umetokea wapi,nadhani mtoa mada ameongelea wale hasa mipango haiko sawa,ila walikuwa na lamani au wengine ndo hivyo wametelekezwa.dah! kukosa mia leo tu, mbona naona kama afadhalli...
kuna mwingine mwaka wa 4 sasa analala kituo cha daladala ana box lake la kulalia, ambalo saiv limeloa na mvua na hajui atapata wap lingine lini..
Mwenyezi Mungu atafanyie wepesi na atujaalie Moyo wa kutokukata Tamaa...
Sokoni yanatupwa yaloharibika. Ajichomoe betri ili akifika msibani aenjoyKasema hana hata mia,hio parachichi au pilipili anunulie nini ndugu? Kikubwa aingie mitaa atafute msiba akae asubiri wamama wa jikoni.
🤣🤣Atakuwa anatudanganya