Ila maisha

Ila maisha

Kawaida mkuu n mapito
Sema mi ile kusema nimepitia magumu saaaana sijawahi hua ni zile tu changamoto na upungufu wa familia zetu za kitanzania, japo Kuna hyo Moja nlizinguaga home nkakimbilia mkoa mwngn, nlisota huko nlikoenda sio powa mwisho wa siku nlirudi mwenyewe!
 
Sema mi ile kusema nimepitia magumu saaaana sijawahi hua ni zile tu changamoto na upungufu wa familia zetu za kitanzania, japo Kuna hyo Moja nlizinguaga home nkakimbilia mkoa mwngn, nlisota huko nlikoenda sio powa mwisho wa siku nlirudi mwenyewe!
Ukiondoka bila baraka za wazazi utajirudi tu
 
Emungu asante sijawai lala na njaa hata siku moja ila nimewah kukaa siku tatu nikishindia maganda ya miogo nilikuwa naenda kwa wachoma chips za viaz makaba kusanya maganda naenda kuosha nayakata upya tena kama kachumbali nayakula ndani ya siku tatu,, leo hy nikikumbuka najiona fala na hakuna kitu kwenye maisha yang nakisamin kama kula,
Daa
Kwa maisha ya sasa hivi bundle ni sawa na damu mwilini
Ni kweli,ila angelitumia Sasa kupata kitu Cha kupooza njaa
 
Kuna mda unaingia kwenye contacts una scroll kuanzia A mpaka Z una contacts karibia 200+ ila kila jina unaloliangalia huoni wakumuomba hiyo aftatu.
Au unawaona wako vizuri ila ulishawakopa na hujawalipa inabidi umeze mate na ku move on ku scroll
 

Attachments

  • 20240110_133055.jpg
    20240110_133055.jpg
    49.8 KB · Views: 11
Jf ya zamani ilikuwa very helpful, hata ukiwa na shida unasaidiwa.Hii ya sasa ina namna yake.

Pole kwa majukumu hapo.
I MISS THAT JF.
watu waliuguzwa, walizikwa, walilewa pamoja, walizikiwa ndugu, walilipiwa ada, walioa, waliolewa, walizaa yani ilikuwa ni full life iliyokamilika kabisa.
 
Back
Top Bottom