that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 386
- 1,247
- Thread starter
- #121
Pole sana mkuu
asante
Pole sana mkuu
Ongea na watu vizuri mkuu, hiiunayo tuanzie hapo?
Sema kweli kwanza kaweka bando! Itakua na akiba kidogo
Unakumbuka kuna kipindi uliomba watu wakuombee? Kumbe kuna wakati mambo yanakuzidia mpaka unawaza mawazo mabaya
dah! kukosa mia leo tu, mbona naona kama afadhalli...
kuna mwingine mwaka wa 4 sasa analala kituo cha daladala ana box lake la kulalia, ambalo saiv limeloa na mvua na hajui atapata wap lingine lini..
Mwenyezi Mungu atafanyie wepesi na atujaalie Moyo wa kutokukata Tamaa...
Uwe huna ela halafu mtu anakuuliza kwa dhihaka ,'unakosaje buku?
Af cha ajabu unajua ni nini?! Hapo hapo unaapa kutorudia kusaidia tena. Lakini,huwezi kama ndo umezaliwa hivyo,ni hivo hivo.mimi ni miongoni mwa wale mtu akinililia shida natoa nipate shida mimi sasa nikawalilie walionililia mweeee ni huzuni
Weka number ya simu tusabishe ongezeko la miamala
mfate pm tu 😅Weka number ya simu tusabishe ongezeko la miamala
Kwa maisha ya sasa hivi bundle ni sawa na damu mwiliniNa kweli hilo bundle si angekula mihogo
Itafute asee usijitese hivyo.mkuu sina
Itafute asee usijitese hivyo.
😂😂😂😂Watu hawajuiTajiri usiseme utawaliza wengi
Mkuu kwel.... ñimecheka!Mimi kwa miguu yangu nilienda kwa mama muuza maandazi, nikanunua matatu, nikala moja asubuh moja mchana moja usiku, mwendo wa maji tu, nilifanya hivyo wiki nzima, maisha muda mwingine yanatufundisha kwa namna ya pekee kabisa kiasi kwamba mtu akisema kuna hili huwezi kuamini mpaka uwe umepitia hiyo situation
Kawaida mkuu n mapito😂😂😂😂Watu hawajui
Bora wewe umeamka mpaka siku inaisha hauna hela!Habari zenu wakuu,
Nimekaa hapa natafakari nikagundua kuna situations kama hazijakukuta huwezi ukaelewa ukisikia mtu analalama
zamani nilikua nikisikia mtu analalamika hana hata mia naona kama anazingua haiwezekani but now i know na naelewa kumbe ni kawaida tu
Nimeamka tangu asubuhi sina hata miana siku inaisha hivyo aisee.
View attachment 2874679