Ila kuna wanaume wana maringo..

^^
ha ha laana za wafupi ulokuwa unawalalamikia zinakutafuna
^^
hii hoja inanishangaza sana,kila ke atayeibuika anataka me mrefu,haijaelezwa ni urefu gani neno mrefu ni subjective sana!mtoe na vipimo basi! huyu nae anataka mrefu yupi sasa!!!!
 
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.

Sijakuelewa mwanamme mzuri anakuwa yukoje?
 
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.

uzuri gani labda......sura,??umbile?au financial status....manake vyote vinaweza sababisha mtu aer mzuri....
 
Mwanaume wa hivyo hatakiwi kukanyaga kabisa kwa M7.
 
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.
Wacha weee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…