Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
Maendeleo ya East Africa yakoje
Itakuwa "TS-Head of Tanzania"...au siyo Quinn?kuna shule moja nimesoma ina karound about na muundo kama huo wa frontview ya ikulu
Unafagilia majengo ya mkoloni????
Ya kwetu imekaa kama msikiti wa wahindi, ya kwenu imekaaje?
Ya Tz ndo ya kwetu, wewe ys kwenu ikoje?sijasema ya kwenu nimesema ya tz
Ya Tz ndo ya kwetu, wewe ys kwenu ikoje?
Kwanini Mkuu wangu wakati sifa zote ninazo,hata wazee wameniona ndio maana wameniomba.
Jiandae kisaikolojia maana hakuna namna lazima nipokee kijiti toka kwa Mtakatifu,Mheshimiwa Dr Magufuli.Kauli mbiu yangu "Tuirejeshe Tanzania katika mstari sahihi".Halafu nusu ya baraza langu la mawaziri ni wanawake ile nusu kwa nusu itaonekana katika utawala wangu kwahiyo kama una binti yako mpeleke shule nafasi zitakuwa kibao.Fikiria Mikoa,Wilaya zote bado mashirika ya umma kote huko 50 kwa 50.
Tz ipo poa bonge la Castle lama kwa Mama...Tanzania
![]()
![]()