naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,438
Naskia ya korea kusini inaitwa blue house, sasa sjui ni ya blue embu ngoja nigugu.
Hii ndiyo BLUE HOUSE MKUU UKULU YA NORTH KOREA.
Naskia ya korea kusini inaitwa blue house, sasa sjui ni ya blue embu ngoja nigugu.
Naama inchi.
Jiandae kisaikolojia maana hakuna namna lazima nipokee kijiti toka kwa Mtakatifu,Mheshimiwa Dr Magufuli.Kauli mbiu yangu "Tuirejeshe Tanzania katika mstari sahihi".Halafu nusu ya baraza langu la mawaziri ni wanawake ile nusu kwa nusu itaonekana katika utawala wangu kwahiyo kama una binti yako mpeleke shule nafasi zitakuwa kibao.Fikiria Mikoa,Wilaya zote bado mashirika ya umma kote huko 50 kwa 50.
We bendera ya rais unaifahamu mkuuView attachment 368471
Hii picha ya lini?
Naona kama hiyo ni bendera ya Chama fulani, kama ni kweli kwa nini isiwe ile ya wote?
Ya kwetu imekaa kama msikiti wa wahindi, ya kwenu imekaaje?ya tz kama misikiti ya wahindi
Ata Edward alikuwa na mawazo Kama yako.
Yaliyoungua ni makaazi ya Rais.Ya Bongo iliwahi kuungua moto, chanzo ni pasi (sijui ya umeme au ya mkaa)
Ikulu ni taasisi,hivyo humo ndani kuna ofisi chungu nzima,sio sehemu ya kulala....Iv kuna watu wanaoish ikulu tofaut na rahis mbona jengo kubwa sana
Kuna watu masnitch hahahahahaha umenivunja mbavu mkuluya tz kama misikiti ya wahindi
Itakuwa ile ya prezidentView attachment 368471
Hii picha ya lini?
Naona kama hiyo ni bendera ya Chama fulani, kama ni kweli kwa nini isiwe ile ya wote?
Wewe unajitambuaHv ni lazima tuenende na culture ya mzungu na majengo ya magovernor waliyoyaacha!?,hatuwezi kuwa na ikulu ya rangi tofauti.
Hii ni ngome ToshaTanzania
![]()
![]()
Mimi na Edward tofauti kabisa,yeye aliutaka uRais kwa udi na uvumba mimi wazee wameniomba,wamenibembeleza wakati siutaki uRais ila kwakuwa naheshimu maombi ya wazee nimeona ni vyema nikamwacha Mheshimiwa,Mtakatifu Dr Magufuli akamaliza vurugu zake zote nikiingia nikuirejesha nchi katika utawala wa sheria,kanuni na taratibu si kila siku kutumbua majipu.
Ndani ya utawala wangu Tanzania itaingia katika uchumi wa kati na kupitia rasimali zetu wenyewe nitahakikisha bidhaa nyingi zinazalishwa hapa nchini na magari mengi yanatumia gesi badala ya petrol au diesel (nitapandisha kodi ya mafuta),umeme utakuwa wa uhakika na bei nafuu sana kiasi watu wataacha kutumia kuni badala yake majiko ya umeme yatatumika bila taabu.
Majeshi ya magereza & JKT(litajiendesha lenyewe) litatumika kuzalisha kupitia wafungwa na vijana waliomaliza elimu ya juu.
Iv kuna watu wanaoish ikulu tofaut na rahis mbona jengo kubwa sana
Sawa ngoja nisubiri nione mkuu japokuwa sina imani na ww.
kuna shule moja nimesoma ina karound about na muundo kama huo wa frontview ya ikuluTz iko poa sana kuliki zote hapo!!