WEka na za Rwaanda na Burundi na Sudan KusiniUganda.
![]()
![]()
Kwahiyo ikiwa Kama mbele ndio nzuri?? Ushawah kuiona ya USA au uingerezaYa kenya ipo vizuri Archtect yake..kam Mbele
Jins ikulu ilivyo ni moja ya vivutioHv ni lazima tuenende na culture ya mzungu na majengo ya magovernor waliyoyaacha!?,hatuwezi kuwa na ikulu ya rangi tofauti.
Naskia ya korea kusini inaitwa blue house, sasa sjui ni ya blue embu ngoja nigugu.ni lazima zote zipakwe rangi nyeupe?
Hata Mimi nasikiaNasikia Burundi Ikulu yao ni nyumba ya kupanga ya mtu binafsi je kuna ukweli wowote hapo?