Ikulu zetu za Afrika Mashariki

Ikulu zetu za Afrika Mashariki

ff76State-House-Tanzania.jpg

Hii picha ya lini?
Naona kama hiyo ni bendera ya Chama fulani, kama ni kweli kwa nini isiwe ile ya wote?
 
Hivi hii ya Uganda ndio hii alikuwa anaitumia Idd Amin??
 
Hii picha ya lini?
Naona kama hiyo ni bendera ya Chama fulani, kama ni kweli kwa nini isiwe ile ya wote?
Hiyo ni bendera ya Rais. Anapokuwepo na hiyo inakuwepo. Ukiiona hiyo ujue Mkulu wa wadanganyika yupo maeneo hayo, yupo kitaa.
Link Tanzania: President

Link2. Tanzania Presidential Flag

Ile ya wadanganyika wote, ndio hiyo ingine.
Link Tanzania Flag colors - meaning of Tanzania Flag

Usishangae, Kule Zanzibar , Rais wa nchi ya Zanzibar pia ana bendera yake , tofauti na bendera ya Zanzibar.
Hapa utaziona hizo vipambio. Link Zanzibar (Tanzania)
 
Asante kwa darsa mkuu, kumbe mkulu nae ana yake, imefanana na ya chama.
 
I hope kuna siku nitafanya kazi kama mkuu wa nchi hapo magogoni labda 2025 baada ya Mheshimiwa,Mtukufu Dr Magufuli kumaliza muda wake.
 
Back
Top Bottom