abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,154
Hahaaaa
Apewe pole pole ili kumuenzi jpm
Apewe pole pole ili kumuenzi jpm
Hangaya anataka kujaza mademu tu kwenye utawala wake,na anawadharau sana wanaume.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Bahati mbaya karibu wote hao uliowataja kuwa walikuwa wasomi mahiri, wamehusika kuingia mikataba ya kimangungo, Kama huyo Prof.mwandosya Hadi unajiuliza huo usomi ni kwa ajili gani ikiwa mikataba tu wanashindwaHivi vyuo vikuu siku hizi kuna watu wenye commitment na mawazo chanya kama walivyowahi kupatikana kina Mark James Mwandosya, Prof. Benno Ndulu, Dr. Philip Mpango, Prof. Costa Mahalu, Prof. Kabudi? Au watu wazima waliokuzwa kwenye system na kuwa na exposure na hekima kama kina Dr. Augustine Philip Mahiga, Matern Lumbanga(Balozi), Rose Migiro na Balozi Sefue?
Kuna balozi wetu wa sasa China Bwana. Mbelwa Kairuki, naona kama akili zake zina full betri. Ateuliwe kuwa mbunge then apewe waziri wa Elimu.
Nimesema Mbelwa Kairuki anaweza kufit kwa nionavyo sasa. Mbona kama vile watu smart na wenye commitment nchi hii hawaonekani kabisa. Ukijaribu kutafakari, huwaoni hata ukifumba macho. Kuna mahali tulikosea. Kama vile watu wengi wameamua kuficha vipaji.Bahati mbaya karibu wote hao uliowataja kuwa walikuwa wasomi mahiri, wamehusika kuingia mikataba ya kimangungo, Kama huyo Prof.mwandosya Hadi unajiuliza huo usomi ni kwa ajili gani ikiwa mikataba tu wanashindwa
hahahahaha, Ndalichako Profesa arudi kupiga lecture tu pale UDSM....hii wizara apewe Babu Tale au Mzee wetu Kishimba..ikishindikana kabisa apewe Dr Msukuma....
Miaka yote tumekuwa tukiweka wasomi bilabila sasa hebu tujaribu lasaba B tuone, wakishindwa basi tutaketa Mzungu kutoka London..
Na wewe ni ass holeKila kitu nyie ni mizaha tuu, no wonder Trump aliwaita shit hole....
Anasumbuliwa na inferiority complexKama anavyohisi wanaume wanamdharau
Elimu ni jambo serious sana, ndio engine ya nchi.Wamtoe mwigulu mchemba fedha wampeleke elimu
Alishasema hilo akitoka kwenye kitu awe kawapa wanawake wengi fursaHangaya anataka kujaza mademu tu kwenye utawala wake,na anawadharau sana wanaume.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Yule bwana ni mbunifu wa kutaka sifa, mwigulu akikaa elimu atawaza nini cha kuboreshaElimu ni jambo serious sana, ndio engine ya nchi.
Utaona vipi vipaji ikiwa kigezo cha watu kushika madaraka ni kuangalia ubini wao,,, utaskia “Mzee xxx ambaye ndio babaake na huyu bwana alikipigania sana chama enzi zile hatuwezi kulisahau hilo” mara paaka kijana wake anapewa uwaziri!Nimesema Mbelwa Kairuki anaweza kufit kwa nionavyo sasa. Mbona kama vile watu smart na wenye commitment nchi hii hawaonekani kabisa. Ukijaribu kutafakari, huwaoni hata ukifumba macho. Kuna mahali tulikosea. Kama vile watu wengi wameamua kuficha vipaji.
Hata marais wajao hawaonekani kabisa.
Tuwe makini sana katika kujenga watu potential kwa Taifa kwa siku zijazo.