Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

RAIS JOHN MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI TANZANIA

Jumla ya Mawazi 21

(1) Ulinzi - Elias Kuandikwa

(2) Mambo ya Ndani - George Simbachawene

(3) Ujenzi - Mhandisi Chamlilo

(4). Afya - Dkt Doroth Gwajima

(5) Elimu - Professor Joyce Ndalichako

(6) Tamisemi - Suleiman Jafo

(7) Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora. - Joji Mkuchika

(8). Muungano - Ummy Mwalim

(10) Kilimo. - Adolph Mkenda

(11) Mifugo. - Mashimba Mashauri Ndaki

(12). Ardhi - William Lukuvi

(13) Ofisi Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge - Jenister Mhagama

(14) Ofisi ya Rais Uwekezaji - Professor Kitila Mkumbo

(15) Katiba na Sheria - Mwigilu Nchemba

(16) Nishati - Kalemani

(17) Madini - Dotto Biteko

(18) Maji - Juma Aweso

(19) Maliasili na Utalii - Dkt Ndumbaro

(20) Waziri wa Michezo Innocent Bashungwa

(21) Waziri wa Viwanda na Biashara Geofrey Mwambe
Yapo mapungufu but its ok
 
bora huyo utendaji wake una julikana na anajulikana kabisa bila shida yoyote ile plus CV YAKE TUNAIJUA VYEMA KABISA ,sasa huyo mhhhh haa hatumjui vipi CV yake ??? au kisa mke wa ASKOFU RASHID ?? ASEEEEE MODS huu uzi msiufute natamani TISS wamwonyeshe bila shida .
 
Back
Top Bottom