Ikitokea Umeshika 500M utaifanyia nini.??

Ikitokea Umeshika 500M utaifanyia nini.??

ANZA KWANZA KUMJALI WATU WA NYUMBANI KWAKO KABLA YA MALAYA(Malaya Hana shukrani Hana HURUMA na WEWE)
1 Timotheo 5:8.
: "Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini".
Maana midomo ya malaya hudondosha asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; Ni mkali kama upanga wenye makali kuwili."-Mithali 5:3-4
 
“Too many people are thinking of security instead of opportunity. They seem more afraid of life than death.” –James F. Byrnes

“
In the middle of difficulty lies opportunity.” –Albert Einstein
 
Bonds UTT Amis mil 300
Hisia nawekeza mil 50
Real estate nawekeza mil 100
Mil 50 nazungusha zizaliane zikizaa nawekeza zaidi na zaidi huko juu.
Malengo ni kuwa na passive income Kwa ukubwa hata ukipata majanga umelala kitandani pesa zinaingia
Acha zako Abigail, chukua 100m ukale bata kwanza. Nenda zako sehemu ukatulie kama mwezi hivi ukila bata la uhakika, hapo unanitafuta twende wote nikakusugue mgongo kidogo ukirudi bongo utaendelea na hiO 400m🤣🤣
 
Back
Top Bottom