Ikitokea Umeshika 500M utaifanyia nini.??

Nitaongeza kiwango Cha utoaji WA sadaka KUSAIDIA MASIKINI wasiokuwa na mahala pa kulala,wasiokuwa na nguo,wasiokuwa na chakula,wagonjwa,mayatima.

Nitachangiabuj ujenzi WA makanisa,na huduma ya INJILI,watu wengi waokoke waache dhambi wampokee Yesu

Nitasidia sana ndugu ZANGU wote ,charity nitaanzia kwenye familia yangu,wazazi na ndugu ZANGU WA Karen bu.
Duh! Si itaisha sasa
 
Haya mambo yote Kwa hio Milioni 500 mkuu?
 
Nitafanya kwa sehemu kwa KIASI..kwa sisi MASIKINI hiyo hela ni nyingi sana ,inatosha kutoa sehemu kwa AJILI ya familia ,wazazi, ndugu jamii,na kanisa FUNGU LA KUMI 10% ,kwa sisi MASIKINI hata ukiwagawia kidogo kidogo wanarudhika,..kama sasa hivi nikimtumia mama yangu mzazi shilingi elfu Tano au elfu KUMI tu .anaridhika ,ANASHUKURU mara mbilimbili na kuniombea kwa MUNGU baraka mara mbilimbili.

LABDA kwa matumizi ya anasa za DUNIA ndio haitoshi..waulize waliotumia kwa anasa kuhonga Malaya ,starehe na anasa hazikuwatosha hata walioshinda BIG BROTHER AFRICA BBA zililiwa mara moja na anasa za DUNIA.

lakini KWA matumizi yanayompendeza MUNGU ni nyingi zikiwa na baraka,si umeona YESU alilisha watu 5000 kwa samaki 3 na MIKATE 5 TU.(vichache vyenye baraka ya Mungu ni vingi)
Vingi visivyo na baraka ya Mungu ni vichache.

Ukimpa mama Yako mzazi shilingi elfu 20 atakushukuru,ukihonga Malaya MILIONI 20 anaweza akakulaumu mbona HUJATUMA NA YA KUTOLEA?
 
HAITAISHA ukianza na MUNGU ukaanza kwa kutoa fungu la KUMI,na ukitumia kwa baraka kufanya mambo mema ikawa baraka kwa wengine ,BASI ITABARIKIWA itakuwa na ulizinzi WA Mungu.
Mwanamke wa Sarepta (au Serepta) alikuwa mjane maskini kutoka mji wa Sidoni aliyemkaribisha na kumlisha Nabii Eliya wakati wa ukame mkubwa uliotokea Israeli, kama inavyoelezwa katika 1 Wafalme 17:8-16.

Maelezo Muhimu Kuhusu Mwanamke wa Sarepta

• Kazi na Hali Yake: Alikuwa mjane aliyekuwa katika lindi la umaskini kiasi kwamba alikuwa akiokota kuni mbili ili ajipikie chakula cha mwisho yeye na mwanawe kisha wafe.
• Ukarimu na Imani: Alimtii Nabii Eliya kwa kumtengenezea mkate mdogo kwanza kabla ya kujipikia yeye na mwanawe, akimwamini Mungu wa Israeli.
• Muujiza wa Mafuta na Unga: Kupitia ukarimu wake, Mungu alifanya muujiza ambapo lile pipa la unga halikupunguka wala chupa ya mafuta haikuisha hadi mvua iliponyesha na ardhi kutoa tena mazao
 
Back
Top Bottom