Associate Professa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2026
- 471
- 674
Ntamgonga Posh queen, Sanchi, malaika qute,
Nitafanya kwa sehemu kwa KIASI..kwa sisi MASIKINI hiyo hela ni nyingi sana ,inatosha kutoa sehemu kwa AJILI ya familia ,wazazi, ndugu jamii,na kanisa FUNGU LA KUMI 10% ,kwa sisi MASIKINI hata ukiwagawia kidogo kidogo wanarudhika,..kama sasa hivi nikimtumia mama yangu mzazi shilingi elfu Tano au elfu KUMI tu .anaridhika ,ANASHUKURU mara mbilimbili na kuniombea kwa MUNGU baraka mara mbilimbili.
LABDA kwa matumizi ya anasa za DUNIA ndio haitoshi..waulize waliotumia kwa anasa kuhonga Malaya ,starehe na anasa hazikuwatosha hata walioshinda BIG BROTHER AFRICA BBA zililiwa mara moja na anasa za DUNIA.
lakini KWA matumizi yanayompendeza MUNGU ni nyingi zikiwa na baraka,si umeona YESU alilisha watu 5000 kwa samaki 3 na MIKATE 5 TU.(vichache vyenye baraka ya Mungu ni vingi)
Vingi visivyo na baraka ya Mungu ni vichache.
Ukimpa mama Yako mzazi shilingi elfu 20 atakushukuru,ukihonga Malaya MILIONI 20 anaweza akakulaumu mbona HUJATUMA NA YA KUTOLEA?
HAITAISHA ukianza na MUNGU ukaanza kwa kutoa fungu la KUMI,na ukitumia kwa baraka kufanya mambo mema ikawa baraka kwa wengine ,BASI ITABARIKIWA itakuwa na ulizinzi WA Mungu.
Mwanamke wa Sarepta (au Serepta) alikuwa mjane maskini kutoka mji wa Sidoni aliyemkaribisha na kumlisha Nabii Eliya wakati wa ukame mkubwa uliotokea Israeli, kama inavyoelezwa katika 1 Wafalme 17:8-16.
Maelezo Muhimu Kuhusu Mwanamke wa Sarepta
• Kazi na Hali Yake: Alikuwa mjane aliyekuwa katika lindi la umaskini kiasi kwamba alikuwa akiokota kuni mbili ili ajipikie chakula cha mwisho yeye na mwanawe kisha wafe.
• Ukarimu na Imani: Alimtii Nabii Eliya kwa kumtengenezea mkate mdogo kwanza kabla ya kujipikia yeye na mwanawe, akimwamini Mungu wa Israeli.
• Muujiza wa Mafuta na Unga: Kupitia ukarimu wake, Mungu alifanya muujiza ambapo lile pipa la unga halikupunguka wala chupa ya mafuta haikuisha hadi mvua iliponyesha na ardhi kutoa tena mazao
Wash wash business ,mbona hiyo pesa ya kawaida?😎🫵Hizo 500M umezipatia wapi?
Kwa hili akili yako utakuwa na hazina binguni ila duniani utakuwa maskiniNitaongeza kiwango Cha utoaji WA sadaka KUSAIDIA MASIKINI wasiokuwa na mahala pa kulala,wasiokuwa na nguo,wasiokuwa na chakula,wagonjwa,mayatima.
Nitachangiabuj ujenzi WA makanisa,na huduma ya INJILI,watu wengi waokoke waache dhambi wampokee Yesu
Nitasidia sana ndugu ZANGU wote ,charity nitaanzia kwenye familia yangu,wazazi na ndugu ZANGU WA Karen bu.
Hutaki Atcl?.Naenda zangu kujichimbia pale Qebeq ,Canada nafanya course from scratch kuanzia PPl,Cpl, Hadi ATpl halafu namalizia na Instrument rating ya either A350 au B787. Af kisha naenda kutega kwa Sir Tim Clark kama ata I consider CV yangu then nipewe chuma
hapana toa mawazo hapoUnataka uibe busness idea zetu wewe 😅
Ngoja waje.
Yako kabisaNimeshika au ya kwangu kabisa
Ni ndogo amaNi nyingi sana au
unaweza zinduka zimekataNakamata totoz mbili kali naenda zangu Zenj kwenye ile hotel iliyo chini ya Bahari, nikaongee na Samaki huku nikitafakari mabisiness ideas mbali mbali za kuwekeza😊😊

inaweza kua umebet, umetapeli au umeuza nyumba ya urithi whatever mia tano ipo mkononi mwako unafanyia nini?Imetoka wapi!?
au sioUmeamka mleta mada au bado umelala unaota
inaweza kua umebet, umetapeli au umeuza nyumba ya urithi whatever 500M ipo mkononi mwako unafanyia nini?Hizo 500M umezipatia wapi?
Pesa Haina maskini Wala tajiri mkuu ila anyway itakuwa ni jambo jema kutoa Kwa moyo wakoNitafanya kwa sehemu kwa KIASI..kwa sisi MASIKINI hiyo hela ni nyingi sana ,inatosha kutoa sehemu kwa AJILI ya familia ,wazazi, ndugu jamii,na kanisa FUNGU LA KUMI 10% ,kwa sisi MASIKINI hata ukiwagawia kidogo kidogo wanarudhika,..kama sasa hivi nikimtumia mama yangu mzazi shilingi elfu Tano au elfu KUMI tu .anaridhika ,ANASHUKURU mara mbilimbili na kuniombea kwa MUNGU baraka mara mbilimbili.
LABDA kwa matumizi ya anasa za DUNIA ndio haitoshi..waulize waliotumia kwa anasa kuhonga Malaya ,starehe na anasa hazikuwatosha hata walioshinda BIG BROTHER AFRICA BBA zililiwa mara moja na anasa za DUNIA.
lakini KWA matumizi yanayompendeza MUNGU ni nyingi zikiwa na baraka,si umeona YESU alilisha watu 5000 kwa samaki 3 na MIKATE 5 TU.(vichache vyenye baraka ya Mungu ni vingi)
Vingi visivyo na baraka ya Mungu ni vichache.
Ukimpa mama Yako mzazi shilingi elfu 20 atakushukuru,ukihonga Malaya MILIONI 20 anaweza akakulaumu mbona HUJATUMA NA YA KUTOLEA?
Huku utasubiri kwanza ziagizwe mpya ndio upewe chumaHutaki Atcl?.
Hapana sio ndogoNi ndogo ama