Ikitokea Umeshika 500M utaifanyia nini.??

Ikitokea Umeshika 500M utaifanyia nini.??

Naitupa yote huku Halafu mwanamke aje abadilishe umiliki wa mali zangu ni pah pah ya kichwa😂
1791227506304.jpg
 
Naenda zangu kujichimbia pale Qebeq ,Canada nafanya course from scratch kuanzia PPl,Cpl, Hadi ATpl halafu namalizia na Instrument rating ya either A350 au B787. Af kisha naenda kutega kwa Sir Tim Clark kama ata I consider CV yangu then nipewe chuma
Yani una ½ bil Bado unawaza ajira😀?
 
WanaJF Niadje?
Ikitokea Umeshika 500M utaifanyia nini.??
Mimi ningegawa hiyo 500M kwa akili, si kwa mihemko. Ningewekeza kwenye biashara zenye mzunguko wa pesa, nikaweka sehemu kwenye ardhi na nyumba za kupanga, nikatenga akiba ya dharura na kusaidia familia kwa mipaka. Lengo si kuonekana nina pesa, bali kuhakikisha hata baada ya miaka 10 pesa bado inanizalishia pesa. Mtaji ni kitu kimoja, uwezo wa kuutunza ni kitu kingine. 💯
 
Akitia tu mguu ndani ya gheto lako hiyo 150m ndiyo imeyeyuka mazima.
Atabakia kuokota makopo au chupa za plastic mitaani.
Kama ni ya kuokota, mgao wa mirathi, utapeli hapo sawa ataipuna. Lakini kama nimeisotea frm th scratch halambi hata mia
 
Dah inashangaza sana huna idea ya kuifanyia hiyo kitu? Kila mtu anaplan zake Hadi zitimie.hiyo 500 m ni ndogo so ni ngumu kueleza idea binafsi wengi tuna unfinished business nying sana
1. Maden
Kumalizia ujenzi
Kuboresha hali Fulani
Kuna kupanua au kuanzisha BIASHARA
Kusapot jamii church,ndugu,kampem Fulani ambayo ni interest ya mtu
Au kuwekeza tu sehemu ukavuna faida
Lakini kama mpaka sasa hujui uifanyie Nini hiyo hela hata ueleweshwe vipi huwezi kutoboa labda ihigadhi kwanza chomoa kama 50m kula wee fanya starehe wee kama ndani ya mwezi Mmoja haisha iyo 50 m basi utafanikiwa
Nb usinunue gari mpaka uwekeze sehemu na kuanza kupata faida
 
Back
Top Bottom