Ijue kanuni ya VSP unapochagua mke wa kuoa

Thank you

ni kweli hujakosea ila kuna mtu kauliza swali je umempata ana vyote ila sio bikra hutakuoa sababu tu sio bikra
lengo la kanuni ni kupata jibu linalokaribiana zaidi na ukweli yaani hata kama sio 100% basi angalao iwe hata 90% hivi.

Kuna situation ambazo mwanamke anapoteza bikira mfano kubakwa, kufanya mazoezi magumu au kulaghaiwa akiwa bado mdogo sana katika mazingira kama hayo hauwezi kumlaumu huyu mwanamke, na hapo ndipo unapokuja umuhimu wa kuijua past ya mwanamke.

Hauwezi kuoa mwanamke ambae haujui past yake au unajua ana past chafu halafu ukasema past doesn't matter..
 
Kwenye makosa hakuna aliye mkamilifu ...Maisha yana mengi binadamu anavunja kanuni kilq kona ,kote lakini msahama upo pale pale.
Linapokuja suala la kufanya maamuzi ya mustakabali wa maisha yako usiongozwe sana na huruma. When it comes to your interests be ruthless and judgemental. As long as you are not responsible for her messy then you don't owe her a bail out
 
Moja ya jumbe nyingi ambazo nimekua nikipokea PM kwangu ni watu kutaka kujua mwanamke yupi ni sahihi kumuoa. Leo nataka kuliezea ilo suala kwa faida ya wote. Katika andiko hili nitafanya rejea ya kijana ambae anaanzisha familia kwa mara ya kwanza, ana stable income kuweza kuhudumia familia na yupo katika interval ya miaka 20-35.

Sasa kijana tumia kanuni ya VSP( virginity, submissive, productive)

1. VIRGINITY/BIKIRA
Kwanza kabisa nataka nikuakikishie kwamba wanawake bikira wapo, ugumu wa kuwapata utatokana na circle yako. Sasa nitaelezea sababu kuu 3 za kwanini unatakiwa kuoa mwanamke bikira

a. suala la kiroho.
Katika ulimwengu wa kiroho tukio ambalo linahusisha umwagaji damu ilo ni agano. Katika masuala ya kiroho damu ni alama nzito sana. Damu ya mwanamke bikira ambayo inatoka katika vagina anapoingiliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza ule ni mkataba ambao hauvunjiki baina yao.

Hivyo basi mwanamke ambae umemkuta hana bikira hauwezi kutengeneza nae muunganiko wa kiroho kwa sababu katika ulimwengu wa kiroho uyo sio mke wako, ni mke wa mwanaume ambae alimtoa bikira.

b. Suala la saikolojia.
Katika hali ya kawaida kila mwanamke ana kumbukumbu ya maex wake kichwani. Kila kitu utakachofanya nae katika akili yake anakulinganisha na hao maex wake. Ni dhahiri hauwezi kuwazidi maex wake wote kwenye kila kipengere

Sasa ilo suala linamfanya awe na unstable emotions. Kila akifikiria kwa huyu alikua anapata hiki anakosa hiki, kwa yule alikua anapata hiki anakosa hiki, kwako anapata hiki anakosa hiki anakua hajui exactly anataka nini kwenye mahusiano/ndoa. Hapo kwenye vipengere ambavyo anahisi kuna upungufu ndipo zitakapoanzia dharau na tamaa ya kwenda nje kutafuta wa kumtimzia fantansies zake.

c. suala la heshima yako kama mwanaume.
Hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukuheshimu ikiwa anaujua uchi wa mkeo. Awe alimchakata kabla au baada ya wewe kumuoa lakini kama tu anaujua uchi wa mkeo basi mwanaume uyo hawezi kukuheshimu, na hii ndio sababu kwamba kosa la mke kuchepuka halisameheki. Kuna watakaopinga kinafiki tu lakini ukweli iyo ndio saikolojia yetu wanaume.

2. SUBMISSIVE/MTIIFU
Heshima inaenda sambamba na utiifu. Utiifu ndio msingi wa kuhehimiwa na kusikilizwa kama kiongozi ndani ya nyumba. Marry a submissive woman who knows her strength lies on complementing man's role, not challenging it.

3. PRODUCTIVE/MWENYE TIJA
Lazima uzingatie huyu mwanamke analeta nini mezani, kumbuka hapa simaanishi lazima awe na mchango wa kifedha. Namaanisha ana mchango gani katika ustawi wa familia.

Kama ni mama wa nyumbani anaplay vipi part yake. Kila kitu kipo kimpangilio nyumbani?, anasimamia bajeti ya matumizi ya nyumbani bila kufuja hela kwa mambo yasiyokua na maana? n.k

Kama nae anatoka kutafuta hela, je hela anayopata kwenye kipato chake inaonekana katika ulipaji wa bills za familia?

HITIMISHO.
Kijana ukiamua kuoa unatakiwa kujua kuoa sio tu kitendo kuonyesha upendo na utayari wa kuanzisha familia na mwanamke, bali pia ni kitendo cha kuiweka hatma ya maisha yako kiuchumi, kiafya na kiroho mikononi mwa mwanamke. Take your time, vet properly, judge a woman harshly and ruthless based on her past.

Don't be a simp.
Kiongozi hii naipataje PDF
 
NAFIKIRI kuna ugumu kukutana na mwanamke mwenye izo sifa zote
this year kwa upande wangu nimekutana na mwanamke bikra mtoto wa efu mbili lakini shida ni mvivu sana kuanzia kwa bed hadi kwenye kazi za kawaida ni mtu wakulala sana iii sijui imekaaje
 
😂😂😂
Ila wote walikuwa bikra

Msingi wa ndoa bora ni kuoa kwa kufuata nyota zenu elimu ya nyota haifundishwi kwa wengi lakini ni basic.
Pana makundi ya watu hawawezi kaa pamoja itakuwa ni ndoa ndoano hata ufungishwe ndoa na papa pia Pana herufi haziwezi kaa pamoja,ningeyajua haya mapema ningechagua sahihi.
Kwa sababu kizazi cha sasa hakitaki kuishi kwenye ndoa kwa misingi ya maandiko yao.
Solution ni nyota
 
Naona na single faza wanashadadia waoe bikra huku wamewaharibia wanawake maisha
Unakuta lenyewe ndio lilimtoa na bikira likampa na ujauzito likakimbia sasa hivi Toto lake Lina miaka6 na ex wake hana mahusiano ya kueleweka ana shindwaa kumuoa anajidai yu atafuta bikira
Wanaoeneza dini ndio wanaokojolea vitabu vitakatifu.
 
Suala la single mother pia, zamani walikua wanaonekana ni victim wa ulaghai na unyanyasaji wa kingono wa wanaume lakini sasa hivi single mother wanaanza kuonekana wakosaji na kinachowakuta ni consequencies za tamaa, jeuri na ufanyaji mbovu wa maamuzi yao.
Na hao single mothers wanajiona hivyo kama mnavyowaona nyie?!!
 
Kwenye
Virginity 1/1000
Submissive 10/1000
Reproductive 100/10000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom