Ijue kanuni ya VSP unapochagua mke wa kuoa

Tumehalalisha haya yote kuona ni kawaida , wapo vijana wadogo miaka 20 washatembeza sana rungu . Mtu kaharibu hata mabinti 10 , sasa hapo katumia kipawa cha ushawishi vibaya ...

Jamii haiwezi kuharibika kama mwanaume atakuwa jasiri na kiongozi mwenye huruma , huku mtaani unakuta kichaa ana mimba , japo Mungu anawanusuru hawpati complications kabisa katika kujifungua ..Kuna watu wana mtihani hata wa viungo kabisa ila wanaume wanabebesha mimba .

Kma ukitafakari basi wanaume ndiyo wa hovyo dunia, asilimia 90% za mila za duniani zimempa mwanaume mamlaka ya kuamua ndoa japo kuwa anayelinda ndoa ni mwanamke mwenyewe ... Mwanaume akiamua asioe inawezekana ila mwanamke anaweza kupendwa na kuolewa kama ni mapenzi yatakuja mbele kwa mbele .

Rafiki hapa ofisi amewatoa bikra madogo wawili , mmoja alikuwa intership na mwingine tuliajiriwa naye pamoja ..Ila kaenda kuoa kwao huko Mara binti mdgo ..Huu ni uharibu unatokana na mwanaumbe ila asili inamuhukumu mwanamke ..Wanawake ni dhaifu sna kwa wanaume kama ukilijua hili basi utaelewa.

Wanaume tuna nguvu sana ya ushawishi hii ni dunia nzima , hata wafanyaje asili itabaki hivyo .Mwanaume anaweza kumfukuzia mwanamke hata miaka 2 na akampata kwa ushawishi ...Wanawake kuna umri wakifika ni rahisi sana kupata ushawishi ikichangiwa na mabadiliko ya kimwili , wale wenzetu wanakataa kabisa hata kuwachanganya na wanaume kweny elimu zao au wanataka waolewe umri ule wakiwa bado wadogo .....Ukiijua nguvu ya mwanamme basi ni rahisi kumuharibu mwanamke kama akiwa na dhamira.

wanawake wanapingwa mpaka mtungo bila ya kujijua , watu wanakamia kweli mpaka mtu anaingia kwenye mtego .kama una huruma basi ni wachache sana ...Kuna hawa wanaokatisha wanafunzi mpaka masomo kwa mimba za utotoni .. Hizi kesi zipo sana unless wanaume tuwe na akili moja .
Mkuu hongera sana jamii inahitaji wanaume wanaoweza kusimama na kuongea ukweli kupinga maovu ya wanaume wenzao na siyo kuyatetea kisa tu yamefanywa na jinsia yake, sisi wengine tumeongea hadi tumechoka watu wanakaza mafuvu na wengine wanaishia kutushambulia na kutuita feminists na single mothers kisa tunawakosoa, ila mimi nawaambia tu siku watakapoacha kudeal na matokeo ya tatizo na kudeal na mzizi basi watakuwa wamepiga hatua moja kuelekea kwenye mabadiliko ila vinginevyo tumekaa pale..naombea tuendelee kuwa hai kuanzia miaka kumi ijayo tutarudi hapa kukumbushana tumefikia wapi
 
Hapo ndipo unapokuja umujimu wa kila mtu kufikiria mustakabali wa maisha yake pale anapofanya maamuzi. Ikawa mwanamke hajabakwa basi kuna sehemu nae alifanya makosa ya kimaamuzi
 
Kuoa bikra pia ni redflag yote itakuja kwenye tabia ya mtu😂😂namjua mke wa mtu aliyeolewa akiwa bikra ambaye anatembea na mume wa mtu na anafurahia anakwambia anapata experience mpya
Bikira ni moja ya kiashiria cha tabia njema na maadili mazuri.
 
Mkuu hongera sana jamii inahitaji wanaume wanaoweza kusimama na kuongea ukweli kupinga maovu ya wanaume wenzao na siyo kuyatetea kisa tu yamefanywa na jinsia yake, sisi wengine tumeongea hadi tumechoka watu wanakaza mafuvu na wengine wanaishia kutushambulia na kutuita feminists na single mothers kisa tunawakosoa, ila mimi nawaambia tu siku watakapoacha kudeal na matokeo ya tatizo na kudeal na mzizi basi watakuwa wamepiga hatua moja kuelekea kwenye mabadiliko ila vinginevyo tumekaa pale..naombea tuendelee kuwa hai kuanzia miaka kumi ijayo tutarudi hapa kukumbushana tumefikia wapi
Mtoa mada na wewe huwa hakuna tofauti sababu kila mmoja anavutia kwake
Wewe huwa unaamini mwanaume ndo mwenye makosa na unawatetea sana wanawake bila kujali makosa yao, huo ndo u feminist wenyewe. Kama ungekuwa una balance you could have had a point
 
Hatuwezi kutatua tatizo bila la kulijua , wengi hawajui tatizo ni sisi wanaume ...Mimi binafsi siwezi kuchezea mtoto wa mtu kwa namna yoyote ile.
 
Hapo ndipo unapokuja umujimu wa kila mtu kufikiria mustakabali wa maisha yake pale anapofanya maamuzi. Ikawa mwanamke hajabakwa basi kuna sehemu nae alifanya makosa ya kimaamuzi
Pande mbili ila anayehukumiwa ni sehemu moja kwa sana, tusema ngono lazima awe mke na mume ila mimba atabeba mke na mtoto afatuana ubini wa baba (mume) ... Kiukweli wanaume tufukirie nje yq box ..
 
Exactly,matatzo mengi ambayo wanalaumiwa wanawake source inakua ni mwanaume mwenyewe
Umepanua mapaja kwa hiyari yako umetolewa bikira au umeshika mimba halafu source ya tatizo awe wanaume ambae hajakukuta bikira au amekukuta ukiwa single mother.!

Tatizo ni yule irresponsible man/badboy aliekutumia na kukuacha baada ya kimaliza haja zake, sio mwanaume ambae hataki kukuoa kwa sababu amekukuta single mother au hauna bikira, na chanzo cha tatizo ilo ni ufanyaji wako mbovu wa maamuzi
 
Kuna mambo mengine ni magumu sana kiongozi sikupingi sana, ila natoa mfano wa kunihusu kbs, nilioa miaka mingi sana iliyopita, by the way nipo kwenye floor ya 5. Niliona bikra na binti mzuri by that time alikuwa na 22yrs tu na ni submissive sana lakini hakua na uzazi, na hana kosa wala hajawahi kuwa na mwanaume mwingine yeyote! Tulikuja kujua like 10yrs baadaye na nilikuja kulazimika kutumia zaidi ya Tzs 50m kufanya matibabu apate mtoto just kwa huruma na kujutia ila hapo nani mwenye hatia? Bahati nzuri akapata mapacha baada ya process ya in vitro fertilization. Lakini kiburi na zile tabia za wanawake zipo palepale ugomvi kila siku yani ni kama nyumba ina wanaume wawili, na anaona haki yake anataka mtoto mwingine na cost ya sasa ni zaidi ya 80m za kibongo anajua tu ntafanya na anadai ni haki yake. So kwa fweza hiyo ningeamua kuzaa nje, ningekua tofauti na director wa umeme (RIP)? Siamini sana kwenye miujiza na maombi coz nimesoma na kukulia kwenye sciense na ninapoishi kuna the best healthcare service globally ila ni expensive sana lakini I did it na siwezi kurudia tena.
 
Mwanaume malaya anaweza akaendeleza umalaya wake kwenye ndoa.

Umezungumzia tija/kujituma, na sio kipato. Wapo wanaovumiliana.

Hatuna haja ya kufuata mapokeo ya kijamii, tutumie akili tu.
Tunarudi pale pale mzee baba, mwanaume na mwanamke wanahukumiwa kwa vigezo tofauti. Mume kuchepuka haina madhara kubwa ukilinganisha na mke kuchepuka, mfano rahisi kabisa ni Bartazar kawagonga wanawake 300+ na kuwachukua video kabisa lakini mkewe kamsamehe na ndoa yao bado ipo hai, ingetokea mke ndio kagongwa na wanaume 300 ndoa ilikua unakufa siku iyo iyo baada ya skendo kuvuja
 
Tumehalalisha haya yote kuona ni kawaida , wapo vijana wadogo miaka 20 washatembeza sana rungu . Mtu kaharibu hata mabinti 10 , sasa hapo katumia kipawa cha ushawishi vibaya ...

Jamii haiwezi kuharibika kama mwanaume atakuwa jasiri na kiongozi mwenye huruma , huku mtaani unakuta kichaa ana mimba , japo Mungu anawanusuru hawpati complications kabisa katika kujifungua ..Kuna watu wana mtihani hata wa viungo kabisa ila wanaume wanabebesha mimba .

Kma ukitafakari basi wanaume ndiyo wa hovyo dunia, asilimia 90% za mila za duniani zimempa mwanaume mamlaka ya kuamua ndoa japo kuwa anayelinda ndoa ni mwanamke mwenyewe ... Mwanaume akiamua asioe inawezekana ila mwanamke anaweza kupendwa na kuolewa kama ni mapenzi yatakuja mbele kwa mbele .

Rafiki hapa ofisi amewatoa bikra madogo wawili , mmoja alikuwa intership na mwingine tuliajiriwa naye pamoja ..Ila kaenda kuoa kwao huko Mara binti mdgo ..Huu ni uharibu unatokana na mwanaumbe ila asili inamuhukumu mwanamke ..Wanawake ni dhaifu sna kwa wanaume kama ukilijua hili basi utaelewa.

Wanaume tuna nguvu sana ya ushawishi hii ni dunia nzima , hata wafanyaje asili itabaki hivyo .Mwanaume anaweza kumfukuzia mwanamke hata miaka 2 na akampata kwa ushawishi ...Wanawake kuna umri wakifika ni rahisi sana kupata ushawishi ikichangiwa na mabadiliko ya kimwili , wale wenzetu wanakataa kabisa hata kuwachanganya na wanaume kweny elimu zao au wanataka waolewe umri ule wakiwa bado wadogo .....Ukiijua nguvu ya mwanamme basi ni rahisi kumuharibu mwanamke kama akiwa na dhamira.

wanawake wanapingwa mpaka mtungo bila ya kujijua , watu wanakamia kweli mpaka mtu anaingia kwenye mtego .kama una huruma basi ni wachache sana ...Kuna hawa wanaokatisha wanafunzi mpaka masomo kwa mimba za utotoni .. Hizi kesi zipo sana unless wanaume tuwe na akili moja .
Thank you
Bikira ni moja ya kiashiria cha tabia njema na maadili mazuri.
ni kweli hujakosea ila kuna mtu kauliza swali je umempata ana vyote ila sio bikra hutakuoa sababu tu sio bikra
 
Moja ya jumbe nyingi ambazo nimekua nikipokea PM kwangu ni watu kutaka kujua mwanamke yupi ni sahihi kumuoa. Leo nataka kuliezea ilo suala kwa faida ya wote. Katika andiko hili nitafanya rejea ya kijana ambae anaanzisha familia kwa mara ya kwanza, ana stable income kuweza kuhudumia familia na yupo katika interval ya miaka 20-35.

Sasa kijana tumia kanuni ya VSP( virginity, submissive, productive)

1. VIRGINITY/BIKIRA
Kwanza kabisa nataka nikuakikishie kwamba wanawake bikira wapo, ugumu wa kuwapata utatokana na circle yako. Sasa nitaelezea sababu kuu 3 za kwanini unatakiwa kuoa mwanamke bikira

a. suala la kiroho.
Katika ulimwengu wa kiroho tukio ambalo linahusisha umwagaji damu ilo ni agano. Katika masuala ya kiroho damu ni alama nzito sana. Damu ya mwanamke bikira ambayo inatoka katika vagina anapoingiliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza ule ni mkataba ambao hauvunjiki baina yao.

Hivyo basi mwanamke ambae umemkuta hana bikira hauwezi kutengeneza nae muunganiko wa kiroho kwa sababu katika ulimwengu wa kiroho uyo sio mke wako, ni mke wa mwanaume ambae alimtoa bikira.

b. Suala la saikolojia.
Katika hali ya kawaida kila mwanamke ana kumbukumbu ya maex wake kichwani. Kila kitu utakachofanya nae katika akili yake anakulinganisha na hao maex wake. Ni dhahiri hauwezi kuwazidi maex wake wote kwenye kila kipengere

Sasa ilo suala linamfanya awe na unstable emotions. Kila akifikiria kwa huyu alikua anapata hiki anakosa hiki, kwa yule alikua anapata hiki anakosa hiki, kwako anapata hiki anakosa hiki anakua hajui exactly anataka nini kwenye mahusiano/ndoa. Hapo kwenye vipengere ambavyo anahisi kuna upungufu ndipo zitakapoanzia dharau na tamaa ya kwenda nje kutafuta wa kumtimzia fantansies zake.

c. suala la heshima yako kama mwanaume.
Hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukuheshimu ikiwa anaujua uchi wa mkeo. Awe alimchakata kabla au baada ya wewe kumuoa lakini kama tu anaujua uchi wa mkeo basi mwanaume uyo hawezi kukuheshimu, na hii ndio sababu kwamba kosa la mke kuchepuka halisameheki. Kuna watakaopinga kinafiki tu lakini ukweli iyo ndio saikolojia yetu wanaume.

2. SUBMISSIVE/MTIIFU
Heshima inaenda sambamba na utiifu. Utiifu ndio msingi wa kuhehimiwa na kusikilizwa kama kiongozi ndani ya nyumba. Marry a submissive woman who knows her strength lies on complementing man's role, not challenging it.

3. PRODUCTIVE/MWENYE TIJA
Lazima uzingatie huyu mwanamke analeta nini mezani, kumbuka hapa simaanishi lazima awe na mchango wa kifedha. Namaanisha ana mchango gani katika ustawi wa familia.

Kama ni mama wa nyumbani anaplay vipi part yake. Kila kitu kipo kimpangilio nyumbani?, anasimamia bajeti ya matumizi ya nyumbani bila kufuja hela kwa mambo yasiyokua na maana? n.k

Kama nae anatoka kutafuta hela, je hela anayopata kwenye kipato chake inaonekana katika ulipaji wa bills za familia?

HITIMISHO.
Kijana ukiamua kuoa unatakiwa kujua kuoa sio tu kitendo kuonyesha upendo na utayari wa kuanzisha familia na mwanamke, bali pia ni kitendo cha kuiweka hatma ya maisha yako kiuchumi, kiafya na kiroho mikononi mwa mwanamke. Take your time, vet properly, judge a woman harshly and ruthless based on her past.

Don't be a simp.
Umetisha mkali hongera

Strength: complementor not a challenger
Key points: take your time and vet properly
Slogan: judge a woman past harshly and ruthlessly
Bonus: Never take marriage for granted enjoying it is emotional but decision on marriage requires critical and analytical mind it's ether one chance one goal or one goal loose it all.

Virginity brings all the subsequents i.e submissiveness and productive (also no submission no production (accepting and implementation of orders are productive ingredients)
 
Mtoa mada na wewe huwa hakuna tofauti sababu kila mmoja anavutia kwake
Wewe huwa unaamini mwanaume ndo mwenye makosa na unawatetea sana wanawake bila kujali makosa yao, huo ndo u feminist wenyewe. Kama ungekuwa una balance you could have had a point
Wewe sema tu kwamba hujawahi kukutanana na posts zangu zinazokosoa wanawake na siyo kunisingizia eti nawatetea wanawake, mimi huwa napingana na wanaume wanaopenda kuwatupia lawama wanawake kwenye kila tatizo hata lililosababishwa na wao wenyewe, hawa wanaume wa humu kama hujawajua huwa hawataki ukosoe maovu yao kabisa wanataka ukosoe maovu ya wanawake tu halafu wao uwasifie hata ikibidi uongee uongo vinginevyo kwao unakuwa adui
 
Naona na single faza wanashadadia waoe bikra huku wamewaharibia wanawake maisha
Unakuta lenyewe ndio lilimtoa na bikira likampa na ujauzito likakimbia sasa hivi Toto lake Lina miaka6 na ex wake hana mahusiano ya kueleweka ana shindwaa kumuoa anajidai yu atafuta bikira
Katika uzi wangu nimebainisha kwamba walengwa wakuu ni vijana ambao wanaanzisha familia yaani mume na mke wanaanza 0-0
 
Kuna mambo mengine ni magumu sana kiongozi sikupingi sana, ila natoa mfano wa kunihusu kbs, nilioa miaka mingi sana iliyopita, by the way nipo kwenye floor ya 5. Niliona bikra na binti mzuri by that time alikuwa na 22yrs tu na ni submissive sana lakini hakua na uzazi, na hana kosa wala hajawahi kuwa na mwanaume mwingine yeyote! Tulikuja kujua like 10yrs baadaye na nilikuja kulazimika kutumia zaidi ya Tzs 50m kufanya matibabu apate mtoto just kwa huruma na kujutia ila hapo nani mwenye hatia? Bahati nzuri akapata mapacha baada ya process ya in vitro fertilization. Lakini kiburi na zila tabia za wanawake zipo palepale ugomvi kila siku yani ni kama nyuma ina wanaume wawili. So kwa fweza hiyo ningeamua kuzaa nje, ningekua tofauti na director wa umeme (RIP)? Siamini sana kwenye miujiza na maombi coz nimesoma na kukulia kwenye sciense na ninapoishi kuna the best healthcare service globally ila ni expensive sana lakini I did it na siwezi kurudia tena.
Kwenye kila kitu kuna exception lakini hatuwezi kufanya maamuzi kwa kuangalia exceptionality. Ukweli wa jumla unabaki kwamba mwanamke bikira ni chaguo bora zaidi kuoa ukilinganisha na ambaye ashatumika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom