Ijue kanuni ya VSP unapochagua mke wa kuoa

Moja ya jumbe nyingi ambazo nimekua nikipokea PM kwangu ni watu kutaka kujua mwanamke yupi ni sahihi kumuoa. Leo nataka kuliezea ilo suala kwa faida ya wote. Katika andiko hili nitafanya rejea ya kijana ambae anaanzisha familia kwa mara ya kwanza, ana stable income kuweza kuhudumia familia na yupo katika interval ya miaka 20-35.

Sasa kijana tumia kanuni ya VSP( virginity, submissive, productive)

1. VIRGINITY/BIKIRA
Kwanza kabisa nataka nikuakikishie kwamba wanawake bikira wapo, ugumu wa kuwapata utatokana na circle yako. Sasa nitaelezea sababu kuu 3 za kwanini unatakiwa kuoa mwanamke bikira

a. suala la kiroho.
Katika ulimwengu wa kiroho tukio ambalo linahusisha umwagaji damu ilo ni agano. Katika masuala ya kiroho damu ni alama nzito sana. Damu ya mwanamke bikira ambayo inatoka katika vagina anapoingiliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza ule ni mkataba ambao hauvunjiki baina yao.

Hivyo basi mwanamke ambae umemkuta hana bikira hauwezi kutengeneza nae muunganiko wa kiroho kwa sababu katika ulimwengu wa kiroho uyo sio mke wako, ni mke wa mwanaume ambae alimtoa bikira.

b. Suala la saikolojia.
Katika hali ya kawaida kila mwanamke ana kumbukumbu ya maex wake kichwani. Kila kitu utakachofanya nae katika akili yake anakulinganisha na hao maex wake. Ni dhahiri hauwezi kuwazidi maex wake wote kwenye kila kipengere

Sasa ilo suala linamfanya awe na unstable emotions. Kila akifikiria kwa huyu alikua anapata hiki anakosa hiki, kwa yule alikua anapata hiki anakosa hiki, kwako anapata hiki anakosa hiki anakua hajui exactly anataka nini kwenye mahusiano/ndoa. Hapo kwenye vipengere ambavyo anahisi kuna upungufu ndipo zitakapoanzia dharau na tamaa ya kwenda nje kutafuta wa kumtimzia fantansies zake.

c. suala la heshima yako kama mwanaume.
Hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukuheshimu ikiwa anaujua uchi wa mkeo. Awe alimchakata kabla au baada ya wewe kumuoa lakini kama tu anaujua uchi wa mkeo basi mwanaume uyo hawezi kukuheshimu, na hii ndio sababu kwamba kosa la mke kuchepuka halisameheki. Kuna watakaopinga kinafiki tu lakini ukweli iyo ndio saikolojia yetu wanaume.

2. SUBMISSIVE/MTIIFU
Heshima inaenda sambamba na utiifu. Utiifu ndio msingi wa kuhehimiwa na kusikilizwa kama kiongozi ndani ya nyumba. Marry a submissive woman who knows her strength lies on complementing man's role, not challenging it.

3. PRODUCTIVE/MWENYE TIJA
Lazima uzingatie huyu mwanamke analeta nini mezani, kumbuka hapa simaanishi lazima awe na mchango wa kifedha. Namaanisha ana mchango gani katika ustawi wa familia.

Kama ni mama wa nyumbani anaplay vipi part yake. Kila kitu kipo kimpangilio nyumbani?, anasimamia bajeti ya matumizi ya nyumbani bila kufuja hela kwa mambo yasiyokua na maana? n.k

Kama nae anatoka kutafuta hela, je hela anayopata kwenye kipato chake inaonekana katika ulipaji wa bills za familia?

HITIMISHO.
Kijana ukiamua kuoa unatakiwa kujua kuoa sio tu kitendo kuonyesha upendo na utayari wa kuanzisha familia na mwanamke, bali pia ni kitendo cha kuiweka hatma ya maisha yako kiuchumi, kiafya na kiroho mikononi mwa mwanamke. Take your time, vet properly, judge a woman harshly and ruthless based on her past.

Don't be a simp.
Bikra napata wapi?
 
VSP imekaa kimkakati sana,.....hii ukiiotea,kataa ndoa utawaona wamechanganyikiwa
 
Hapo kwenye bikra 99% ya wanaume wameoa wake wasio wao.

Vipi kama kakosa bikra ila ana vigezo hivo viwili vingine (Productive & Submissive)
Au Kama ana bikra na hana hivyo vigezo vingine (Submissive & Productive)

Maana najua kupata full package ni 0.5%
Mungu hakupi vyote
 
NAFIKIRI kuna ugumu kukutana na mwanamke mwenye izo sifa zote
this year kwa upande wangu nimekutana na mwanamke bikra mtoto wa efu mbili lakini shida ni mvivu sana kuanzia kwa bed hadi kwenye kazi za kawaida ni mtu wakulala sana iii sijui imekaaje
Zakuambiwa changanya na zako mzee.. ya humu yasome, yabebe ila huko kitaa ongezeq na akili zako.
 
Moja ya jumbe nyingi ambazo nimekua nikipokea PM kwangu ni watu kutaka kujua mwanamke yupi ni sahihi kumuoa. Leo nataka kuliezea ilo suala kwa faida ya wote. Katika andiko hili nitafanya rejea ya kijana ambae anaanzisha familia kwa mara ya kwanza, ana stable income kuweza kuhudumia familia na yupo katika interval ya miaka 20-35.

Sasa kijana tumia kanuni ya VSP( virginity, submissive, productive)

1. VIRGINITY/BIKIRA
Kwanza kabisa nataka nikuakikishie kwamba wanawake bikira wapo, ugumu wa kuwapata utatokana na circle yako. Sasa nitaelezea sababu kuu 3 za kwanini unatakiwa kuoa mwanamke bikira

a. suala la kiroho.
Katika ulimwengu wa kiroho tukio ambalo linahusisha umwagaji damu ilo ni agano. Katika masuala ya kiroho damu ni alama nzito sana. Damu ya mwanamke bikira ambayo inatoka katika vagina anapoingiliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza ule ni mkataba ambao hauvunjiki baina yao.

Hivyo basi mwanamke ambae umemkuta hana bikira hauwezi kutengeneza nae muunganiko wa kiroho kwa sababu katika ulimwengu wa kiroho uyo sio mke wako, ni mke wa mwanaume ambae alimtoa bikira.

b. Suala la saikolojia.
Katika hali ya kawaida kila mwanamke ana kumbukumbu ya maex wake kichwani. Kila kitu utakachofanya nae katika akili yake anakulinganisha na hao maex wake. Ni dhahiri hauwezi kuwazidi maex wake wote kwenye kila kipengere

Sasa ilo suala linamfanya awe na unstable emotions. Kila akifikiria kwa huyu alikua anapata hiki anakosa hiki, kwa yule alikua anapata hiki anakosa hiki, kwako anapata hiki anakosa hiki anakua hajui exactly anataka nini kwenye mahusiano/ndoa. Hapo kwenye vipengere ambavyo anahisi kuna upungufu ndipo zitakapoanzia dharau na tamaa ya kwenda nje kutafuta wa kumtimzia fantansies zake.

c. suala la heshima yako kama mwanaume.
Hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukuheshimu ikiwa anaujua uchi wa mkeo. Awe alimchakata kabla au baada ya wewe kumuoa lakini kama tu anaujua uchi wa mkeo basi mwanaume uyo hawezi kukuheshimu, na hii ndio sababu kwamba kosa la mke kuchepuka halisameheki. Kuna watakaopinga kinafiki tu lakini ukweli iyo ndio saikolojia yetu wanaume.

2. SUBMISSIVE/MTIIFU
Heshima inaenda sambamba na utiifu. Utiifu ndio msingi wa kuhehimiwa na kusikilizwa kama kiongozi ndani ya nyumba. Marry a submissive woman who knows her strength lies on complementing man's role, not challenging it.

3. PRODUCTIVE/MWENYE TIJA
Lazima uzingatie huyu mwanamke analeta nini mezani, kumbuka hapa simaanishi lazima awe na mchango wa kifedha. Namaanisha ana mchango gani katika ustawi wa familia.

Kama ni mama wa nyumbani anaplay vipi part yake. Kila kitu kipo kimpangilio nyumbani?, anasimamia bajeti ya matumizi ya nyumbani bila kufuja hela kwa mambo yasiyokua na maana? n.k

Kama nae anatoka kutafuta hela, je hela anayopata kwenye kipato chake inaonekana katika ulipaji wa bills za familia?

HITIMISHO.
Kijana ukiamua kuoa unatakiwa kujua kuoa sio tu kitendo kuonyesha upendo na utayari wa kuanzisha familia na mwanamke, bali pia ni kitendo cha kuiweka hatma ya maisha yako kiuchumi, kiafya na kiroho mikononi mwa mwanamke. Take your time, vet properly, judge a woman harshly and ruthless based on her past.

Don't be a simp.
Nilioa mwanamke mwenye hizo sifa zote tatu. Ila hilo la mwisho bado ni debatable kwangu, na ningerudia kuoa upya nisingemuoa huyu.
 
Tumehalalisha haya yote kuona ni kawaida , wapo vijana wadogo miaka 20 washatembeza sana rungu . Mtu kaharibu hata mabinti 10 , sasa hapo katumia kipawa cha ushawishi vibaya ...

Jamii haiwezi kuharibika kama mwanaume atakuwa jasiri na kiongozi mwenye huruma , huku mtaani unakuta kichaa ana mimba , japo Mungu anawanusuru hawpati complications kabisa katika kujifungua ..Kuna watu wana mtihani hata wa viungo kabisa ila wanaume wanabebesha mimba .

Kma ukitafakari basi wanaume ndiyo wa hovyo dunia, asilimia 90% za mila za duniani zimempa mwanaume mamlaka ya kuamua ndoa japo kuwa anayelinda ndoa ni mwanamke mwenyewe ... Mwanaume akiamua asioe inawezekana ila mwanamke anaweza kupendwa na kuolewa kama ni mapenzi yatakuja mbele kwa mbele .

Rafiki hapa ofisi amewatoa bikra madogo wawili , mmoja alikuwa intership na mwingine tuliajiriwa naye pamoja ..Ila kaenda kuoa kwao huko Mara binti mdgo ..Huu ni uharibu unatokana na mwanaumbe ila asili inamuhukumu mwanamke ..Wanawake ni dhaifu sna kwa wanaume kama ukilijua hili basi utaelewa.

Wanaume tuna nguvu sana ya ushawishi hii ni dunia nzima , hata wafanyaje asili itabaki hivyo .Mwanaume anaweza kumfukuzia mwanamke hata miaka 2 na akampata kwa ushawishi ...Wanawake kuna umri wakifika ni rahisi sana kupata ushawishi ikichangiwa na mabadiliko ya kimwili , wale wenzetu wanakataa kabisa hata kuwachanganya na wanaume kweny elimu zao au wanataka waolewe umri ule wakiwa bado wadogo .....Ukiijua nguvu ya mwanamme basi ni rahisi kumuharibu mwanamke kama akiwa na dhamira.

wanawake wanapingwa mpaka mtungo bila ya kujijua , watu wanakamia kweli mpaka mtu anaingia kwenye mtego .kama una huruma basi ni wachache sana ...Kuna hawa wanaokatisha wanafunzi mpaka masomo kwa mimba za utotoni .. Hizi kesi zipo sana unless wanaume tuwe na akili moja .
Ningeandika kama ulivyoandika Mkuu
 
Ukienda nae kwa akili anaweza kurekebishika
Changamoto kubwa. Akili ya kujiongeza ni tatizo. Alafu ubishi mwingi sana kwa jambo analokuwa amepania hata kama unaona kabisa huko mbeleni hatoboi unaona mkwamo mkubwa. Akiona humsupport anaamua kufanya bila kukushirikisha, tena anavizia ukiwa haupo. Akifeli visingizio vingi. Alafu mwanaume unapokuwa umeset project yako ni mbishi kuelewa, mengine naforce tu kivyangu sina support, ila after some time or years kitu kikianza kutoa matokeo ndo anaanza kusifia. Sijui kama umeshawahi kukutana na mwanamke wa aina hii.
 
Hizi kampeni za kifeminia mfano malkia wa nguvu, vipindi vya dadaz kwenye tv n.k zimewapumbaza wanawake kiasi cha kufikiri wana uwezo mkubwa wakati kiuhalisia hawana uwezo huo.

Unahitajika uvumilivu mkubwa sana kuishi na mwanamke mwenye iyo delusion ya kujiona ana akili zaidi ya mwanaume. Mimi nashukuru mzee wangu alinipiga consultation kwenye haya masuala ya ndoa. Aliniambia nikitaka kujenga familia imara best option ni mke ambae mama wa nyumbani.
 
mwanamke asiye na bikra, huyo ni MALAYA tu kama makahaba na machangudoa wengine. dawa na adhabu yake ni kumf*ra mk*ndu tu. judge prostitute woman harshly!
 
Huu ushaurii namba 1 hauwahusu single father… muwaoe mliowazalisha kenge nyie
Je aliyezalishwa alikutwa bikra. Elewa somo kwanza. By the way mimi starehe yangu namba moja inabaki kuwa msuba/ganja/msokoto
 
Kuoa bikra pia ni redflag yote itakuja kwenye tabia ya mtu😂😂namjua mke wa mtu aliyeolewa akiwa bikra ambaye anatembea na mume wa mtu na anafurahia anakwambia anapata experience mpya
Duuh
 
Hayana formula yaani kumuhukumu mwanamke kisa eti alimuamini mtu mwenye jinsia yako akampa utamu
hayana formula huwezi kumuhukumu mwanamke kwa kumuamini mwanaume mwenzio wakati nyie wenyewe hamuwezi kuwa na mahusiano bila kudemand sex mwanaume anayetaka bikra kwanza na yeye awe bikra,pia bado nasimamia point yangu bikra hai guarantee kutulia kwenye ndoa kugawa papuchi ovyo ni tabia tu ya mtu
 
Wadanganye watoto wenzako mke mwema mtu hupewa na Mungu pili hayo mengine ni ya muda ,Mali ubikira hupita tu ni ujinga wa muda
 
Moja ya jumbe nyingi ambazo nimekua nikipokea PM kwangu ni watu kutaka kujua mwanamke yupi ni sahihi kumuoa. Leo nataka kuliezea ilo suala kwa faida ya wote. Katika andiko hili nitafanya rejea ya kijana ambae anaanzisha familia kwa mara ya kwanza, ana stable income kuweza kuhudumia familia na yupo katika interval ya miaka 20-35.

Sasa kijana tumia kanuni ya VSP( virginity, submissive, productive)

1. VIRGINITY/BIKIRA
Kwanza kabisa nataka nikuakikishie kwamba wanawake bikira wapo, ugumu wa kuwapata utatokana na circle yako. Sasa nitaelezea sababu kuu 3 za kwanini unatakiwa kuoa mwanamke bikira

a. suala la kiroho.
Katika ulimwengu wa kiroho tukio ambalo linahusisha umwagaji damu ilo ni agano. Katika masuala ya kiroho damu ni alama nzito sana. Damu ya mwanamke bikira ambayo inatoka katika vagina anapoingiliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza ule ni mkataba ambao hauvunjiki baina yao.

Hivyo basi mwanamke ambae umemkuta hana bikira hauwezi kutengeneza nae muunganiko wa kiroho kwa sababu katika ulimwengu wa kiroho uyo sio mke wako, ni mke wa mwanaume ambae alimtoa bikira.

b. Suala la saikolojia.
Katika hali ya kawaida kila mwanamke ana kumbukumbu ya maex wake kichwani. Kila kitu utakachofanya nae katika akili yake anakulinganisha na hao maex wake. Ni dhahiri hauwezi kuwazidi maex wake wote kwenye kila kipengere

Sasa ilo suala linamfanya awe na unstable emotions. Kila akifikiria kwa huyu alikua anapata hiki anakosa hiki, kwa yule alikua anapata hiki anakosa hiki, kwako anapata hiki anakosa hiki anakua hajui exactly anataka nini kwenye mahusiano/ndoa. Hapo kwenye vipengere ambavyo anahisi kuna upungufu ndipo zitakapoanzia dharau na tamaa ya kwenda nje kutafuta wa kumtimzia fantansies zake.

c. suala la heshima yako kama mwanaume.
Hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukuheshimu ikiwa anaujua uchi wa mkeo. Awe alimchakata kabla au baada ya wewe kumuoa lakini kama tu anaujua uchi wa mkeo basi mwanaume uyo hawezi kukuheshimu, na hii ndio sababu kwamba kosa la mke kuchepuka halisameheki. Kuna watakaopinga kinafiki tu lakini ukweli iyo ndio saikolojia yetu wanaume.

2. SUBMISSIVE/MTIIFU
Heshima inaenda sambamba na utiifu. Utiifu ndio msingi wa kuhehimiwa na kusikilizwa kama kiongozi ndani ya nyumba. Marry a submissive woman who knows her strength lies on complementing man's role, not challenging it.

3. PRODUCTIVE/MWENYE TIJA
Lazima uzingatie huyu mwanamke analeta nini mezani, kumbuka hapa simaanishi lazima awe na mchango wa kifedha. Namaanisha ana mchango gani katika ustawi wa familia.

Kama ni mama wa nyumbani anaplay vipi part yake. Kila kitu kipo kimpangilio nyumbani?, anasimamia bajeti ya matumizi ya nyumbani bila kufuja hela kwa mambo yasiyokua na maana? n.k

Kama nae anatoka kutafuta hela, je hela anayopata kwenye kipato chake inaonekana katika ulipaji wa bills za familia?

HITIMISHO.
Kijana ukiamua kuoa unatakiwa kujua kuoa sio tu kitendo kuonyesha upendo na utayari wa kuanzisha familia na mwanamke, bali pia ni kitendo cha kuiweka hatma ya maisha yako kiuchumi, kiafya na kiroho mikononi mwa mwanamke. Take your time, vet properly, judge a woman harshly and ruthless based on her past.

Don't be a simp.
Imekaa vizuri! Barikiwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom