Ijue kanuni ya VSP unapochagua mke wa kuoa

Ijue kanuni ya VSP unapochagua mke wa kuoa

NAFIKIRI kuna ugumu kukutana na mwanamke mwenye izo sifa zote
this year kwa upande wangu nimekutana na mwanamke bikra mtoto wa efu mbili lakini shida ni mvivu sana kuanzia kwa bed hadi kwenye kazi za kawaida ni mtu wakulala sana iii sijui imekaaje
Ugumu lazima uwepo lakini ni bora kuangaika hapo kwenye kutafuta kuliko kufanya gamble kwa mwanamke mwenye red flag
 
Msingi wa ndoa bora ni kuoa kwa kufuata nyota zenu elimu ya nyota haifundishwi kwa wengi lakini ni basic.
Pana makundi ya watu hawawezi kaa pamoja itakuwa ni ndoa ndoano hata ufungishwe ndoa na papa pia Pana herufi haziwezi kaa pamoja,ningeyajua haya mapema ningechagua sahihi.
Kwa sababu kizazi cha sasa hakitaki kuishi kwenye ndoa kwa misingi ya maandiko yao.
Solution ni nyota
Itakua vizuri ukipata nafasi utoe ilo somo la nyota
 
Na hao single mothers wanajiona hivyo kama mnavyowaona nyie?!!
Kutoka ndani ya mioyo yao nafsi zinawasuta, Ingawa itikadi za kisasa mfano feminism na independent woman zinawaaminisha kwamba wao ni wanawake imara lakini ukweli kutoka moyoni hakuna mwanamke anaefurahia kuwa na mtoto ambae baba hayupo kwenye maisha yake.
 
Bila umejibu kwa kukwepa kwa sababu una uhakika ulichokiongea ni probability!
Exception ipo kwenye kila kitu lakini hatuwezi kutumia exceptionality kufanya general conclusion. Bila kuangalia factors zingine, kimaadili mwanamke bikira na ambaye sio bikira hauwezi kuwaweka kwenye mzani mmoja.
 
Moja ya jumbe nyingi ambazo nimekua nikipokea PM kwangu ni watu kutaka kujua mwanamke yupi ni sahihi kumuoa. Leo nataka kuliezea ilo suala kwa faida ya wote. Katika andiko hili nitafanya rejea ya kijana ambae anaanzisha familia kwa mara ya kwanza, ana stable income kuweza kuhudumia familia na yupo katika interval ya miaka 20-35.

Sasa kijana tumia kanuni ya VSP( virginity, submissive, productive)

1. VIRGINITY/BIKIRA
Kwanza kabisa nataka nikuakikishie kwamba wanawake bikira wapo, ugumu wa kuwapata utatokana na circle yako. Sasa nitaelezea sababu kuu 3 za kwanini unatakiwa kuoa mwanamke bikira

a. suala la kiroho.
Katika ulimwengu wa kiroho tukio ambalo linahusisha umwagaji damu ilo ni agano. Katika masuala ya kiroho damu ni alama nzito sana. Damu ya mwanamke bikira ambayo inatoka katika vagina anapoingiliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza ule ni mkataba ambao hauvunjiki baina yao.

Hivyo basi mwanamke ambae umemkuta hana bikira hauwezi kutengeneza nae muunganiko wa kiroho kwa sababu katika ulimwengu wa kiroho uyo sio mke wako, ni mke wa mwanaume ambae alimtoa bikira.

b. Suala la saikolojia.
Katika hali ya kawaida kila mwanamke ana kumbukumbu ya maex wake kichwani. Kila kitu utakachofanya nae katika akili yake anakulinganisha na hao maex wake. Ni dhahiri hauwezi kuwazidi maex wake wote kwenye kila kipengere

Sasa ilo suala linamfanya awe na unstable emotions. Kila akifikiria kwa huyu alikua anapata hiki anakosa hiki, kwa yule alikua anapata hiki anakosa hiki, kwako anapata hiki anakosa hiki anakua hajui exactly anataka nini kwenye mahusiano/ndoa. Hapo kwenye vipengere ambavyo anahisi kuna upungufu ndipo zitakapoanzia dharau na tamaa ya kwenda nje kutafuta wa kumtimzia fantansies zake.

c. suala la heshima yako kama mwanaume.
Hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukuheshimu ikiwa anaujua uchi wa mkeo. Awe alimchakata kabla au baada ya wewe kumuoa lakini kama tu anaujua uchi wa mkeo basi mwanaume uyo hawezi kukuheshimu, na hii ndio sababu kwamba kosa la mke kuchepuka halisameheki. Kuna watakaopinga kinafiki tu lakini ukweli iyo ndio saikolojia yetu wanaume.

2. SUBMISSIVE/MTIIFU
Heshima inaenda sambamba na utiifu. Utiifu ndio msingi wa kuhehimiwa na kusikilizwa kama kiongozi ndani ya nyumba. Marry a submissive woman who knows her strength lies on complementing man's role, not challenging it.

3. PRODUCTIVE/MWENYE TIJA
Lazima uzingatie huyu mwanamke analeta nini mezani, kumbuka hapa simaanishi lazima awe na mchango wa kifedha. Namaanisha ana mchango gani katika ustawi wa familia.

Kama ni mama wa nyumbani anaplay vipi part yake. Kila kitu kipo kimpangilio nyumbani?, anasimamia bajeti ya matumizi ya nyumbani bila kufuja hela kwa mambo yasiyokua na maana? n.k

Kama nae anatoka kutafuta hela, je hela anayopata kwenye kipato chake inaonekana katika ulipaji wa bills za familia?

HITIMISHO.
Kijana ukiamua kuoa unatakiwa kujua kuoa sio tu kitendo kuonyesha upendo na utayari wa kuanzisha familia na mwanamke, bali pia ni kitendo cha kuiweka hatma ya maisha yako kiuchumi, kiafya na kiroho mikononi mwa mwanamke. Take your time, vet properly, judge a woman harshly and ruthless based on her past.

Don't be a simp.
Hoja ya kwanza imekaa tenge kimtindo. Kuna sababu kadhaa za binti kupoteza usichana ikiwa ni pamoja na aina ya michezo na kuendesha baiskeli. Aidha, kama ni agano zito hivyo, maana yake linahusu pande zote mbili. Ili kuleta matokeo unayoyasema lazima mwanaume ni bikra au hakuwahi kumtoa mtu bikra na mwanamke nae awe bikra. Kinyume na hapo hiyo hoja inakosa uhalali.
 
Hoja ya kwanza imekaa tenge kimtindo. Kuna sababu kadhaa za binti kupoteza usichana ikiwa ni pamoja na aina ya michezo na kuendesha baiskeli. Aidha, kama ni agano zito hivyo, maana yake linahusu pande zote mbili. Ili kuleta matokeo unayoyasema lazima mwanaume ni bikra au hakuwahi kumtoa mtu bikra na mwanamke nae awe bikra. Kinyume na hapo hiyo hoja inakosa uhalali.
Ni kweli, kuna namna ambayo ule uzio kwenye vagina ya mwanamke unaondoka bila kufanya mapenzi mfano mwanamke akiwa mtu wa kufanya mazoezi au kazi ngumu, lakini iyo haimaniishi kwamba mwanamke uyo sio bikira.

Uyo mwanamke bado bikira na akiingiliwa kwa mara ya kwanza hata kama damu zisipotoka lakin ile tightness kwenye njia ya vagina itakuwepo. Damu bado inasimama kama alama ya agano kwa sababu masuala ya kiroho hayatambui iyo exception.

Suala la mwanaume kutokua na bikira kukosa uzito ni kwa sababu uzoefu wa kwanza wa mwanaume kufanya mapenzi hauambatani na yeye kutoka damu(ambayo ndio alama ya agano katika ulimwengu wa kiroho), ndio maana kiroho mwanaume anaweza kuwa na wake wengi lakini haiwezekani kwa mwanamke kuwa na waume wengi kwa sababu akishatoka damu ya bikira tu mkataba wake wa kutengeneza muunganiko wa kiroho na mtu mwingine unakua umeishia hapo
 
Ngoja waje watoto wa Single Mothers wakupinge 😃
 
Sema wewe na mashoga zako/mabinti zako hamna izo sifa. Tulioa kwa kufuata consultation ya wazee wetu tumepata wake wenye sifa zote tajwa na migogoro ya kuletewa dharau na kuchapiwa mke tunaisikia tu uko nje.
Mkeo hagegedwi mzeya na watu wengine...mweee
 
Kuna situation ambazo mwanamke anapoteza bikira mfano kubakwa, kufanya mazoezi magumu au kulaghaiwa akiwa bado mdogo sana katika mazingira kama hayo hauwezi kumlaumu huyu mwanamke, na hapo ndipo unapokuja umuhimu wa kuijua past ya mwanamke.

Hoja ya kwanza imekaa tenge kimtindo. Kuna sababu kadhaa za binti kupoteza usichana ikiwa ni pamoja na aina ya michezo na kuendesha baiskeli. Aidha, kama ni agano zito hivyo, maana yake linahusu pande zote mbili. Ili kuleta matokeo unayoyasema lazima mwanaume ni bikra au hakuwahi kumtoa mtu bikra na mwanamke nae awe bikra. Kinyume na hapo hiyo hoja inakosa uhalali.
Unfortunately; there hardly is a way unaweza ku-prove amebakwa, baiskeli, kazi ngumu, deliberately, n.k. Hizo ni sababu za non-virgins wote. So, if any, count her as a collateral damage and move onto the next one on your search list.
 
Unfortunately; there hardly is a way unaweza ku-prove amebakwa, baiskeli, kazi ngumu, deliberately, n.k. Hizo ni sababu za non-virgins wote. So, if true, count her as a collateral damage and move onto the next one on your search list.
Kweli kabisa, hakuna ambae atakosa sababu ya kujitetea. No virgin no deal.
 
Unfortunately; there hardly is a way unaweza ku-prove amebakwa, baiskeli, kazi ngumu, deliberately, n.k. Hizo ni sababu za non-virgins wote. So, if any, count her as a collateral damage and move onto the next one on your search list.
You got it warped. Before jumping headlong into my comment, you could have spent your time more wiser by interrogating the context, otherwise you sound mediocre.
 
Mwanaume na mwanamke hawahukumiwi kwa kigezo kimoja, yaani sifa ambazo zinaweza kukupa muongozo katika kuchagua mke bora ni tofauti na zile za kuchagua mume bora,

mfano suala la body count kwa mwanaume inaweza isiwe shida lakini kwa mwanamke kama mileage ya body count inasoma namba kubwa iyo inamchafulia profile.

Vilevile kuna suala la kipato, mwanamke anaweza kuingia kwenye mahusiano/ndoa akiwa masikini ambae hana chochote na mahusiano yakaenda lakini mwanaume kuingia kwenye mahusiano/ndoa bila kuwa na stable income mambo yatakwama
Mkuu niende wapi nchi hii nikampate bikra?
 
Hapo kwenye bikra 99% ya wanaume wameoa wake wasio wao.

Vipi kama kakosa bikra ila ana vigezo hivo viwili vingine (Productive & Submissive)
Au Kama ana bikra na hana hivyo vigezo vingine (Submissive & Productive)

Maana najua kupata full package ni 0.5%


Mkuu kupata fully package ni uamuzi wako mwenyewe, huwezi kushushiwa mwanamke mwenye izo package zote, zingine ni wajibu wako kuziinstal ndani ya mwanamke mfano unyenyekevu ni swala la kiroho i.e UNYENYEKEVU upo ndani ya uchaji wa MUNGU na ni kinyume cha kiburi


Asili ya unyenyekevu ni MUNGU na mwanae Yesu kristo 👉 unyenyekevu ni utamaduni wa mbinguni na maisha ya Yesu tangu mbinguni hadi kufanyika mwili na kufa na kupaa mbinguni yaliakisi UNYENYEKEVU wa Mungu


Asili ya kiburi ni ibilisi shetani i.e mwelevu yaani anatumia akili kutenda kazi zake na anadeal na watu wenye akili hadeal na wajinga😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom