Ijue kanuni ya VSP unapochagua mke wa kuoa

Ni humu tu kwenye sosho midia ndo mnadanyana!
Sio kweli, ukifatilia mtaani na mitandaoni utaona wanaume wanaanza kubadilika na kufungua code.

mfano zamani mama alikua anatukuzwa sana hata kama baba yupo na ilikua inaonekana sawa lakini sasa hivi fanya hivyo watu watahoji vipi mbona baba umemsahau.

Zamani kwenye matabaka ypte ya wanaume, feminist walikua wanaonekana wanawake wema wanaopigania masilahi ya wanawake wenzao nakumbuka primary tumemsoma mama getrude mongella kamwagiwa sifa kweli kweli, lakini ukifatilia sasa hivi utaona narrative imebadilika wanaume washaamka na kuona hawa femimist ni tatizo.

Suala la single mother pia, zamani walikua wanaonekana ni victim wa ulaghai na unyanyasaji wa kingono wa wanaume lakini sasa hivi single mother wanaanza kuonekana wakosaji na kinachowakuta ni consequencies za tamaa, jeuri na ufanyaji mbovu wa maamuzi yao.

Uenda bado matokeo ya injili ya redpill hayajawa implemented kwa 100% kiasi cha baadhi yenu kushindwa kuona mabadiliko ya jumla. Wanawake wenzenu watakaoingia kwenye dating pool miaka 10 mbele ndio watakutana na matokeo. Kwaiyo badala ya kuvimba ni bora mkaawaweka kwenye mstari wadogo na mabinti zenu kabla wanaume hawajawa emotionless kabisa
 
Mnaharibu watoto wa watu halafu mnakuja kuandika uthenge , hizo protocal zote zimevunjwa na mwanaume ..Mnashawishi watoto wa watu kuwafanya vibaya kwa malengo mengi ila baadaye inakuwa tofauti
Wanaume waaribifu ni percent ndogo sana ukilinganisha na wanawake walioaribika. Kumbuka kwenye kufanya uzinzi/anasa mwanaume anahitaji hela lakini anachohitaji mwanamke ni kuwa hai tu.
 
Ukiji-adjust kwenye circle nzuri unapata mkuu.
Kwetu wapo wengi tu , huku sambaani Lushoto ni wengi sana ...Unaweza kuwachukua ila lazima uwe kijana wa dini kidogo .

Kuna mmoja hapa alipata mtihani sana enzi hizo , alitolewa bikra na jamaa akaenda kuoa mwanamke mpya kabisa mbichi ..Demu mpaka leo anakosa soko , kakonda kwa mawazo ..Muda mwingine analia tu mwenyewe . Tatizo yaani acha tu mpaka aibu .

Sasa hapo unaona sisi binadamu tunaleteana ugumu wenyewe , huyu jamaa asingemtoa bikra angekuwa dili .
 
Alichokifanya uyo mwamba sio kitu kizuri lakini hapo ndipo unapokuja umuhimu wa mwanamke kuwa accountable. Hiyo binti angefanya maamuzi sahihi ya kutunza usichana wake mpaka aoelewe uenda hayo yasingemkuta.

Leo hii wanawake wanaona kujitunza ni suala ambalo limepitwa na wakati wanaona kuwa single mother sio kinyume na maadili hii ni kwa sababu hawawajibishwi. Wanaona jinsi malaya mashuhuri ma single mother wanaolewa.

Wanawake sio wajinga, huwa hawabakwi, wanajua wanachokifanya, wanawafanya kwa hiyali yao na wanaelewa matokeo yake. Zikichukuliwa hatua kali za kuwawajibisha kwa maamuzi yao mabovu kama uko kwenu automaticaly na wao watakaa kwenye mstari. Lakini tukiendelea kuwachekea chekea na misemo ya past does'nt matter iyo circle ya maamuzi yao mabovu itaendelea
 
Wanaume waaribifu ni percent ndogo sana ukilinganisha na wanawake walioaribika. Kumbuka kwenye kufanya uzinzi/anasa mwanaume anahitaji hela lakini anachohitaji mwanamke ni kuwa hai tu.
Tumehalalisha haya yote kuona ni kawaida , wapo vijana wadogo miaka 20 washatembeza sana rungu . Mtu kaharibu hata mabinti 10 , sasa hapo katumia kipawa cha ushawishi vibaya ...

Jamii haiwezi kuharibika kama mwanaume atakuwa jasiri na kiongozi mwenye huruma , huku mtaani unakuta kichaa ana mimba , japo Mungu anawanusuru hawpati complications kabisa katika kujifungua ..Kuna watu wana mtihani hata wa viungo kabisa ila wanaume wanabebesha mimba .

Kma ukitafakari basi wanaume ndiyo wa hovyo dunia, asilimia 90% za mila za duniani zimempa mwanaume mamlaka ya kuamua ndoa japo kuwa anayelinda ndoa ni mwanamke mwenyewe ... Mwanaume akiamua asioe inawezekana ila mwanamke anaweza kupendwa na kuolewa kama ni mapenzi yatakuja mbele kwa mbele .

Rafiki hapa ofisi amewatoa bikra madogo wawili , mmoja alikuwa intership na mwingine tuliajiriwa naye pamoja ..Ila kaenda kuoa kwao huko Mara binti mdgo ..Huu ni uharibu unatokana na mwanaumbe ila asili inamuhukumu mwanamke ..Wanawake ni dhaifu sna kwa wanaume kama ukilijua hili basi utaelewa.
Alichokifanya uyo mwamba sio kitu kizuri lakini hapo ndipo unapokuja umuhimu wa mwanamke kuwa accountable. Hiyo binti angefanya maamuzi sahihi ya kutunza usichana wake mpaka aoelewe uenda hayo yasingemkuta.

Leo hii wanawake wanaona kujitunza ni suala ambalo limepitwa na wakati wanaona kuwa single mother sio kinyume na maadili hii ni kwa sababu hawawajibishwi. Wanaona jinsi malaya mashuhuri ma single mother wanaolewa.

Wanawake sio wajinga, huwa hawabakwi, wanajua wanachokifanya, wanawafanya kwa hiyali yao na wanaelewa matokeo yake. Zikichukuliwa hatua kali za kuwawajibisha kwa maamuzi yao mabovu kama uko kwenu automaticaly na wao watakaa kwenye mstari. Lakini tukiendelea kuwachekea chekea na misemo ya past does'nt matter iyo circle ya maamuzi yao mabovu itaendelea
Wanaume tuna nguvu sana ya ushawishi hii ni dunia nzima , hata wafanyaje asili itabaki hivyo .Mwanaume anaweza kumfukuzia mwanamke hata miaka 2 na akampata kwa ushawishi ...Wanawake kuna umri wakifika ni rahisi sana kupata ushawishi ikichangiwa na mabadiliko ya kimwili , wale wenzetu wanakataa kabisa hata kuwachanganya na wanaume kweny elimu zao au wanataka waolewe umri ule wakiwa bado wadogo .....Ukiijua nguvu ya mwanamme basi ni rahisi kumuharibu mwanamke kama akiwa na dhamira.

wanawake wanapingwa mpaka mtungo bila ya kujijua , watu wanakamia kweli mpaka mtu anaingia kwenye mtego .kama una huruma basi ni wachache sana ...Kuna hawa wanaokatisha wanafunzi mpaka masomo kwa mimba za utotoni .. Hizi kesi zipo sana unless wanaume tuwe na akili moja .
 
Tumehalalisha haya yote kuona ni kawaida , wapo vijana wadogo miaka 20 washatembeza sana rungu . Mtu kaharibu hata mabinti 10 , sasa hapo katumia kipawa cha ushawishi vibaya ...

Jamii haiwezi kuharibika kama mwanaume atakuwa jasiri na kiongozi mwenye huruma , huku mtaani unakuta kichaa ana mimba , japo Mungu anawanusuru hawpati complications kabisa katika kujifungua ..Kuna watu wana mtihani hata wa viungo kabisa ila wanaume wanabebesha mimba .

Kma ukitafakari basi wanaume ndiyo wa hovyo dunia, asilimia 90% za mila za duniani zimempa mwanaume mamlaka ya kuamua ndoa japo kuwa anayelinda ndoa ni mwanamke mwenyewe ... Mwanaume akiamua asioe inawezekana ila mwanamke anaweza kupendwa na kuolewa kama ni mapenzi yatakuja mbele kwa mbele .

Rafiki hapa ofisi amewatoa bikra madogo wawili , mmoja alikuwa intership na mwingine tuliajiriwa naye pamoja ..Ila kaenda kuoa kwao huko Mara binti mdgo ..Huu ni uharibu unatokana na mwanaumbe ila asili inamuhukumu mwanamke ..Wanawake ni dhaifu sna kwa wanaume kama ukilijua hili basi utaelewa.

Wanaume tuna nguvu sana ya ushawishi hii ni dunia nzima , hata wafanyaje asili itabaki hivyo .Mwanaume anaweza kumfukuzia mwanamke hata miaka 2 na akampata kwa ushawishi ...Wanawake kuna umri wakifika ni rahisi sana kupata ushawishi ikichangiwa na mabadiliko ya kimwili , wale wenzetu wanakataa kabisa hata kuwachanganya na wanaume kweny elimu zao au wanataka waolewe umri ule wakiwa bado wadogo .....Ukiijua nguvu ya mwanamme basi ni rahisi kumuharibu mwanamke kama akiwa na dhamira.

wanawake wanapingwa mpaka mtungo bila ya kujijua , watu wanakamia kweli mpaka mtu anaingia kwenye mtego .kama una huruma basi ni wachache sana ...Kuna hawa wanaokatisha wanafunzi mpaka masomo kwa mimba za utotoni .. Hizi kesi zipo sana unless wanaume tuwe na akili moja .
Pole sana mkuu inaonekana mtoa mada kakupiga mshale wa jicho la kushoto..
 
Sema wewe na mashoga zako/mabinti zako hamna izo sifa. Tulioa kwa kufuata consultation ya wazee wetu tumepata wake wenye sifa zote tajwa na migogoro ya kuletewa dharau na kuchapiwa mke tunaisikia tu uko nje.
Umetoa Uzi Ili watu watoe maoni Yao Sasa ya nin unanishambulia personal ulitaka Kila mtu awe anakubaliana na wewe? Halaf kingine hunijui sikujui kama unanichukulia tofaut kisa nilichoandika unakosea sijui kumtukana mtu hata kama simjui
 
Kwetu wapo wengi tu , huku sambaani Lushoto ni wengi sana ...Unaweza kuwachukua ila lazima uwe kijana wa dini kidogo .

Kuna mmoja hapa alipata mtihani sana enzi hizo , alitolewa bikra na jamaa akaenda kuoa mwanamke mpya kabisa mbichi ..Demu mpaka leo anakosa soko , kakonda kwa mawazo ..Muda mwingine analia tu mwenyewe . Tatizo yaani acha tu mpaka aibu .

Sasa hapo unaona sisi binadamu tunaleteana ugumu wenyewe , huyu jamaa asingemtoa bikra angekuwa dili .
Exactly,matatzo mengi ambayo wanalaumiwa wanawake source inakua ni mwanaume mwenyewe
 
Mwanaume na mwanamke hawahukumiwi kwa kigezo kimoja, yaani sifa ambazo zinaweza kukupa muongozo katika kuchagua mke bora ni tofauti na zile za kuchagua mume bora,

mfano suala la body count kwa mwanaume inaweza isiwe shida lakini kwa mwanamke kama mileage ya body count inasoma namba kubwa iyo inamchafulia profile.

Vilevile kuna suala la kipato, mwanamke anaweza kuingia kwenye mahusiano/ndoa akiwa masikini ambae hana chochote na mahusiano yakaenda lakini mwanaume kuingia kwenye mahusiano/ndoa bila kuwa na stable income mambo yatakwama
Mwanaume malaya anaweza akaendeleza umalaya wake kwenye ndoa.

Umezungumzia tija/kujituma, na sio kipato. Wapo wanaovumiliana.

Hatuna haja ya kufuata mapokeo ya kijamii, tutumie akili tu.
 
Hapo umeongea points za maana, ila na kwa upande mwingine kama huyo mwanaume nae ni mara ya kwanza kufanya tendo la ndoa mambo yatakuwa mazuri sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom