Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,991
- 94,565
Nina experience kubwa na Wabongo usiwaamini 100 percent ya maelezo yao.Hapa nilikua nachek details nikutumie PM naona nilifuta, nilimuuliza vizuri akanijibu ngoja utapata maelezo na wewe ujifunze, lakini kama sijasahau pale hua wakitoka hasa Burundi au Tanzania wakifika pale wanahangaika kupata kitu kama papers then wakishaondoka ndio nitolee lakini kuondokea Mayotte inakua rahisi kama sijasahau, kitu kingine alichowahi kunieleza ni fursa ya matunda na vile vipikipiki kama vi vespar ndio vinapiga boda boda