Ijue Botswana japo kidogo tu

Ijue Botswana japo kidogo tu

Unaingia na viza.kuna jamaa kaniambia bila viza hauingii
 
Daaaaah

Hio no 6 nikajua itakuwa economic status, kumbe ni health status
 
Visa on arrival. Tupo nao kwenye SADC
Hivi.ukiwa na passport. Unaonyesha kila border si ndio!?kwa mfano.umefika mpakani tunduma ukaulizwa unakwenda wapi.utajibu nini?na je uhamiaji wanaweza wakakukataza hata kama una passport ya halali.endapo wakijua unapokwenda hauna ndugu wala nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom