zitto alisema bitter but truth..........inauma but ngumu kumeza
Nasikiliza TBC wamemtangaza mgombea wa CCM mshindi.Siamini. Nadhani Wamechakachua. CDM mapambano yanaendelea ........................................, Never give up!
Huyu jamaa anaetangaza matokeo ni mwajiriwa wa serikali ya CCM. Chadema piganieni TUME HURU ya uchaguzi otherwise tutaendelea kushuhudia mazingaombwe yaleyale.
Kamanda Mbowe, Slaa, Zitto aluta kontinua, tuko pamoja nanyi.
kama tunaonewa kwanini tusiseme?
Umetokea wapi wewe, post 56 vipi umetumwa na Nape nini????????Huu ni mwanzo tuu.Uchaguzi ujao CHADEMA itakuwa na mbunge mmoja tu na huo ndio utakuwa mwisho wa CHADEMA.KWISHA HABARI YAO MAGWANDA.
BAKWATA wameshinda
Juhudi za uchakachuaji za magamba zimefanikiwa,Swali kwa nini hadi waliopata kura chache nao wamesusa kuja? hata jamaa wa solar power nae kasusa, nadhani tusubiri tamko na upinzani hasa Chadema tutajua mengi coz wamekuwa kimya sana,the way magamba walivyo, lazima wamefanya umafia
Je huu umati ulikuwa unamanisha nini?
![]()
Vyama vya upinzani Chadema,Cuf,na vingine vingi viongozi wao hawaobekani kwenye eneo la kutangazia matokeo ya Uchaguzi tofauti na taratibu za Uchaguzi.
Source ITV