Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

Kwa ukwel ccm,serikal,polisi,bakwata na usalama wa taifa wameshnda igunga.sasa tunaomba ahad zote zilizoahdiwa zitekelezwe,vinginevyo 2015 tutawafumua vibaya. Kwa sasa jaribun bahat yenu kabla hayajawafika shingon maana peoplez power tunatisha KIPOLITICS
 
Haya ni matokeo mazuri sana kwa Cahdema. Mtu yeyote mwenye kujua siasa na mwenye akili timamu anaweza kuona kuwa Chadema wamepiga atua sana. Hili jimbo sasa huwezi kuliweka mikoni mwa CCM miaka ijayo au chaguzi zijazo. Kumbuka Chadema walikuwa hawana nguvu sana katika jimbo hili miaka iliyopita lakini sasa wanawatoa makamasi CCM/Serikali. kama tungekuwa na tume huru ya uchaguzi na kuondoa vyeo vya mkuu wa wilaya na mikoa kuteuliwa na Rais, hapa upinzani ungepita tu. Ndiyo CCM wameweza kutetea jimbo lao lakini wenye akili wameona kuwa mambo siyo rahisi tena kwao. Nchi hii soon itakombolewa.
Hongera Chadema, mimi naona huu ni ushindi (Najua wenye upeo mdogo watasema ushindi ni ushindi tu lakini sidhani kama CCM wanasherekea kwa moyo wote) Upinzani sasa unaanza kuingia akili mwa watu.
Ujumbe huu umfikie Faiza Fox na team yake!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
naona Propaganda za cdm zimegonga ukuta

images
 
Nawapongeza CCM kwa kutangazwa washindi. Ni kweli uchaguzi umeisha na matokeo yametangazwa.

1. Cha kushangaza waliokuwa wanaonekana katika TBC 1 wakihojiwa au walioonekana hawakuonyesha uso wa furaha.
2.Mugulu Nchemba amewalalamikia CDM kuwa wamefanya mambo mengi mabaya
a) Wamemwagia mtu tindikali
b) Wamechoma nyumba ya kiongozi wa CCM
c) Wamemvua DC (Kimario) vazi lake la kiimani na kulitupa chini
Pamoja na malalamiko mengine anaomba vyombo vya dola viishughulikie CDM.

CHADEMA mnasemaje juu ya malalamiko haya? Je Ninyi mnalalamikia nini waliotangazwa washindi?

CUF wamekubali matokeo na kusisitiza kuwa ni halali. Mtatiro ameongeza kuwa sasa kinachokubalika ni kuhonga wapiga kura na amesema chama chake ndicho kilichokuwa na mgombea bora kuliko wote. Lakini anaona wananchi wameamua walivyotaka.
 
CCM kwa kuchachua eti wanataka kumchachua Dr. Slaa hawawezi kabisa
 
This was a very stiff and closely contested election, and there is every indication that we are making progress in our efforts to create a democratic state; congrats to all parties for showing political maturity (despite some nasty incidences here and there); hopefully, every party will take stock of what transpired and strive to forge ahead with better plans and strategies.
 
Mtatiro: Tulikuwa na mgombea mzuri lakini tumeshindwa vibaya sana! Bila pesa hupati kura, CCM wamefanikiwa kwa nguvu ya fedha less than a minute ago

twitter
Nakubaliana na Mtatiro kwa asili mia moja! CCM sasa hivi bila kuhonga hawajafanya kampeni! Inasikitisha sana kwa chama ambacho huko nyuma kilikuwa kinaheshimika sana ndani na nje ya nchi sasa hivi kime-stoop so low hadi kufikia kuweka mikakati ya kuwahonga wapigakura ili kishinde!
 
This was a very stiff and closely contested election, and there is every indication that we are making progress in our efforts to create a democratic state; congrats to all parties for showing political maturity (despite some nasty incidences here and there); hopefully, every party will take stock of what transpired and strive to forge ahead with better plans and strategies.
 
na haya yanafanana na hayo hii ni blod ya mjengwa toka watu wao wa ccm ,wezi sana hawa jamaa wa magamba

Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata...
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
 
CCM wametunga mimba nyingine: Lazima wajifungue chura Igunga: Watupe maji na barabara sasa. Poor thing.........CHadema wamefungua njia 2015. Wataisoma....................
 
We will issue an official statement soon this evening .

Tutaeleza nini kilitokea na nini kimefanyika na nini muelekeo wetu na nini kitafanyika .
 
Magwanda ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Hamkubaliki.

Huna akili wewe,hao 23 elfu unaona si watu
 
Haya ni matokeo mazuri sana kwa Cahdema. Mtu yeyote mwenye kujua siasa na mwenye akili timamu anaweza kuona kuwa Chadema wamepiga atua sana. Hili jimbo sasa huwezi kuliweka mikoni mwa CCM miaka ijayo au chaguzi zijazo. Kumbuka Chadema walikuwa hawana nguvu sana katika jimbo hili miaka iliyopita lakini sasa wanawatoa makamasi CCM/Serikali. kama tungekuwa na tume huru ya uchaguzi na kuondoa vyeo vya mkuu wa wilaya na mikoa kuteuliwa na Rais, hapa upinzani ungepita tu. Ndiyo CCM wameweza kutetea jimbo lao lakini wenye akili wameona kuwa mambo siyo rahisi tena kwao. Nchi hii soon itakombolewa.
Hongera Chadema, mimi naona huu ni ushindi (Najua wenye upeo mdogo watasema ushindi ni ushindi tu lakini sidhani kama CCM wanasherekea kwa moyo wote) Upinzani sasa unaanza kuingia akili mwa watu.
Nina uhakika 100% kama ingekuwa ni level playing field CDM ingeibuka mshindi Igunga...!
 
Back
Top Bottom