Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

CCM wameanza kushangilia na maandamano ya pikipiki na magari. Sijui kama wana kibali cha maandamano ya pikipiki na magri.
 
Huu ni mwanzo tuu.Uchaguzi ujao CHADEMA itakuwa na mbunge mmoja tu na huo ndio utakuwa mwisho wa CHADEMA.KWISHA HABARI YAO MAGWANDA.
 
Huyu jamaa uchaguzi wa mwaka jana aligombea kwa tiketi ya CCM lakini akanyofolewa kwenye kura za maoni, naona furaha yake leo iko wazi kabisa, mimi nadhani kama mwandishi wa habari alitakiwa asichague sides waziwazi kiasi hiki, huu unazi ni hatari sana.
 
CCM sasa wajue kwamba hakuna ushindi wa mteremko! Serikali nzima ya CCM ilihamia Igunga na bado Chadema wamewakaribia kwa kura. Hivi sasa ni wakati wa Chadema kuelewa na kulifanyika kazi suala la 'ujinga' wa watu wa vijijini ambao ni rahisi sana kurubuniwa. Natoa wito kwa 'makada/makamanda' wa Chadema walio mijini kuweka mikakati ya makusudi kabisa ya kuwaelimisha wananchi wa vijijini haki zao na wajibu wao ili isiwe rahisi kurubuniwa. Nilichokiona Igunga ni kwamba kwa CCM sasa maji yako shingoni. Chadema, CUF msife moyo kazeni buti tu iko siku hawa mafisadi wasaliti wa wananchi wataangukia pua zao! Miaka 50 ya Uhuru lazima ilete mabadiliko.
 
Mwakilishi wa Chadema kaibuka
analalamika ile mbayyaaaaaaaaaaaaa
 
Welaaa welaaa.kama hutaki ipotezeee.KAFUMU NDIE MSHINDI.
 
Wiki nzima shughuli zangu hazitaenda vizur nipo affected na haya matokeo.
Wakazi wa Igunga wamedanganywa na wakadanganyika.
 
Wakuu jk yupo igunga, sijui kafata nn?

Hujui kafuata nini? Kwani Mwanza alifuata nini wakati Masha aliposhindwa au kule Shinyanga usiku usiku alifuata nini wakati Chadema ilipochukua jimbo baadaye mkurugenzi akatangaza ushindi wa CCM kwa kura 1?
 
safar bado ndefu,kafumu atafumuliwa 2015.kwa sasa aendelee kuibia serikal kwa kusain mikataba mibovu,mwiz mkubwa huyu!naomba hata ktk kuazimisha miaka 50 ya uhuru wataje kuwa moja ya mafanikio ya serikal ya ccm ni wizi(ufisadi).
 
Huyu jamaa uchaguzi wa mwaka jana aligombea kwa tiketi ya CCM lakini akanyofolewa kwenye kura za maoni, naona furaha yake leo iko wazi kabisa, mimi nadhani kama mwandishi wa habari alitakiwa asichague sides waziwazi kiasi hiki, huu unazi ni hatari sana.

Sasa si umtafute mshee nae hiyo furaha, sisi inatuhusu nn !
 
Chadema imetangaza kukataa matokeo

wameamua kuandaa maandamano
 
Of course CCM ni wezi wa kila kitu,kura mpaka rasilimali za watanzania..ila mwisho wenu ni awamu hii tu,2015 mtakaa bench!
 
Back
Top Bottom