Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

BAKWATA wameshinda

salah.jpg

umenena bakwata wanafiki sana lakini afadhali mwisho wa kafu umekuwa wa kishndo chopa imeuza kura zaidi ya 8000 za mwaka jana.cdm tusonge mbele mabadliko soon.mwaka jana atukuweka mgombea lakni maendleo si mabaya ukiweka na propaganda za udini,tindkal,kuchoma nyumb nk.
 
Nani huyo CCMMMMM NA CDM mtajijua na siasa zenu za maji taka
 
Only 29% did the voting??????????? Something is very wrong somewhere!!!!!!!!!
 

Jk, CUF walikuwa wanatambia mtaji wa kura 10,000 za 2010, so calculation ni hizi; 10,000-2104=7,896 ambazo kwa uswahiba wao na CCM, kura hizo ama wamewagawia CCM, au CCM wamezichakachua.
 
Okey wana haki ya kususa. na wanastahili pongezi jaribu kufikiri , wanapambana na ccm, cuf , bakwata na serikali, we kataka akiri yako na elimu yako ya madrasa unategea haki hapo????? acha kufikiri kwa kutumia masaburi .[/Q]

Hayo yamekuja baada ya kukosa ubunge??????? Huna lolote ni majungu tu na udini wenu
 
Wananchi wa Igunga, mmejichagulia miaka 4 ya dhuluma, mmepewa nafasi ya kujisahihisha, mmeshindwa.
Ila jaribuni kuwakumbushia ahadi zao.
 
hawakubaliki na nani? magamba?
CHADEMA wameonyesha uwezo
 
Wananchi wa Igunga, mmejichagulia miaka 4 ya dhuluma, mmepewa nafasi ya kujisahihisha, mmeshindwa.
Ila jaribuni kuwakumbushia ahadi zao.

Mzee unajua unaitaji PCM leo maana kichwa kitauma saaaana
 
Hatimaye ule muda muafaka uliokua ukisubiriwa na watanzania wengi umewadia na ccm kimeibuka kidedea ktk uchaguzi mdogo igunga na kuigaragaza vibaya cdm.source tume ya taifa ya uchaguzi igunga-noel mwakalindile

Fikiri vizuri kabla ya kuandika, ccm wametangazwa kushinda lakini ukweli ni kwamba waanze kujipanga kuwa wapinzani na kama umefuatilia uchaguzi huu utakubaliana na mimi kwamba Chadema ndio wamefanya vizuri sana, uchaguzi uliokwisha ccm walipata kura zaidi ya 38,000 + na cuf kura 9,000+ na katika uchaguzi huu Chadema wamepata kura 23,000+ , ccm 26,000+ na cuf 2,000+, fikiri vizuri kwa matokeo hayo.

pia walioandikishwa kupiga kura ni 170,000+ waliopiga kura last year 48,000+ uchaguzi huu 53,000+.


Jamani naamini Jimbo hili bado ni gumu come 2015 let wait and see 2015 sio mbali Mungu akitupa uhai sisi bado vijana tunaweza kuwepo 30+ years na ninauhakika tukiwa hai tutashuhudia mabadiliko makubwa sana nchi hii. matokeo ya igunga ni mtazamo wa taifa na mwelekeo wa 2015.

Nawapongeza sana Chadema na tupo pamoja.
 
Mgao wa mahindi wazaa matunda.
Sijui watanzania wamelogwa na nani.

ccm wanatumia umaskini wetu kama mtaji wao wa siasa. Hakuna aliyetuluga, tumejiloga wenyewe kwa tama zetu ndogondogo.
 
Only 29% did the voting??????????? Something is very wrong somewhere!!!!!!!!!

1. Dafatari limechezewa;

-Wapiga kura halali wengi wanakosa nafasi ya kupiga kura

-Majina ya wapiga kura feki ni mengi sana, hayo yamewekwa kwa sababu maalum.


2. Vitisho kwa wapiga kura, polisi na baadhi ya wabunge kufanya maonyesho ya silaha za moto hadharani.

3. Baadhi ya Wananchi kuuza shahada zao kutokana na ghilba ya wanaccm.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom