Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,288
<br />Sasa kama issue imeshapotezewa unaileta ya nini hapa?
<br />
MMMH HAHAHAHAHA TEHETEHE! MULIKA MWIIIIIZIIIII!!!!
<br />Sasa kama issue imeshapotezewa unaileta ya nini hapa?
1.......... kigogo huyo anayeongoza kampeni za chama hicho kuvamia chumba ambacho watuhumiwa hao walikuwamo na kuanza kumwadhibu mkewe kwa kipigo.
2..............zilivujishwa na kundi la vijana wengine wa kiume walio katika timu hiyohiyo ya kampeni ya CCM ambao ndiyo waliopenyeza taarifa hizo kwa mume wa mwanamke anayetuhumiwa.
<br />Staili ya Dk SLAA hiyo ya kupora wake za watu.
Nasikia ni Nchemba? haya ni baadhi tu ya mafunzo waliyopata vijana wakati wakiwa kambini more to come.nikiongozi mkuu wa kampeni jimboni igunga