Igunga: Kigogo wa CCM afumaniwa na mke wa mtu

Status
Not open for further replies.
KAZI NZURI GAZETI LA TANZANIA DAIMA KWA KUFANYA KAZI ZA PROPAGANDA KWA MANUFAA YA CHADEMA! :angry:
Nashindwa kuhusisha "Fumanizi" na Msimamo wa Chadema au hata CCM. An iresponsible leader has been caught in the act and that is that. As far as I know simuoni aliyepo ndani ya CCM anayeweza "kumtupia jiwe" mwenzao.
 
Habari za kimbea. Mtu kufumaniwa na mke wa mtu ni tatizo binafsi. Mod's vip tena hii kitu, toa.
Umenikumbusha alivyosema Ditopile baada ya kupatikana na kisanga kinachofanana na hiki cha Igunga.Nahisi Ingawa mkuu humu JF unajulikana kama Mzee, busara hukujaliwa maana huoni kwamba kiongozi anatarajiwa awe na uadilifu au aachie uongozi. Nyerere alisema mabarabara yapo mengi tu ya kufanyia uhuni ila uwe umeachia dhamana ya kuwa kiongozi. Ulimsikia?
 
hili ni ndoa tena mbaya zaidi kama RA alivyosema hizi ndizo siasa uchwara wanapiga kampeni kuanzia kura hadi miili ya wake za wenzao hii ni shem kwa ccm
 
Hiyo ndiyo staili aliyosema mama kikweete kuwa ni kampeni ya nyumba hadi nyumba na kitanda hadi kitanda.
 
Hilo ndilo tatizo la kutumia chupi kila sehemu,vyuoni walitumia chupi,makazini wanatumia chupi,kwenye siasa wanatumia chupi,ni aibu na fedhea kwa chama na nchi,hadi kampeni zinaisha naona idadi za wajawazito zitaongezeka na idadi za maambukizi pia,CHAMA CHA MAPENZNDUZI
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuonyesha ccm walivyo .sasa kazi kwenu wana Igunga kama kiongozi huyo ameweza kumla uroda mke wa mtu kama mtaichagua ccm basi mtakua mmeridhia wake zenu waendelee kuliwa uroda kwa kwenda mbele . Hivi hawa ni viongozi ama ni mashetani? Matukio yanayoendelea ndani ya nchi yetu ni dhahiri kwamba ccm haitufai
 
Huu ni ufunuo ili watu waweze kuijua CCM vema. Mwigulu alisifiwa sana na Mukama kuwa ni jembe na amefanya uratibu mzuri wa kampeni na kwa mafanikio. Ambalo hatukulijua ni kuwa Mukama alimaanisha kuwa Mwigulu anatekeleza falsafa ya mama mkubwa ya kampeni ya kitanda kwa kitanda na shuka kwa shuka.
Kwa hili Igunga wamedhalilishwa, kama hawawezi kuzuia hamu zao kwa kipindi kirefu si wangekuja na wake zao badala ya kula wake za makada wenzao kwa mtaji ule wa chama wa 400M?
 
07igu.jpg

Hiyo picha ya mama DC na huyo kijana imenichekesha sana japo si kicheko cha furaha.
 
Tutajieni hao wahusika humu mliopo huko, Ingawa ianonesha vigogo wanaongoza kampeni ya magamba ni Mchemba (Mh MB), wekeni wazi hapa
 
Tutajieni hao wahusika humu mliopo huko, Ingawa ianonesha vigogo wanaongoza kampeni ya magamba ni Mchemba (Mh MB), wekeni wazi hapa
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;mkuu nimesha wataja hapo juu tafuta posti hiyo kwenye huu uzi, labda niongeze mtaa wanapoish hao wana ndoa unaitwa MASANGA. Ova!
 
Guys, how can a woman betray her marriage by this infidelity? How on earth can she dare to 'open' her legs just a few meters from her own home? It seems this woman is capable of getting a 'quick' wherever regardless of the situation....
And the culprit; he ought to had his balls sliced off!!
 
Huu ni ufunuo ili watu waweze kuijua CCM vema. Mwigulu alisifiwa sana na Mukama kuwa ni jembe na amefanya uratibu mzuri wa kampeni na kwa mafanikio. Ambalo hatukulijua ni kuwa Mukama alimaanisha kuwa Mwigulu anatekeleza falsafa ya mama mkubwa ya kampeni ya kitanda kwa kitanda na shuka kwa shuka.
Kwa hili Igunga wamedhalilishwa, kama hawawezi kuzuia hamu zao kwa kipindi kirefu si wangekuja na wake zao badala ya kula wake za makada wenzao kwa mtaji ule wa chama wa 400M?
If you look closely on reputations attached to CCM leaders you won't fail to see that the intercept among them all is 'promiscuities'..It is actually just short of becoming a leadership culture in this land. To auntheticate my argument I can think of hundreds of examples by theway who can't?
 
Huu ni ufunuo ili watu waweze kuijua CCM vema. Mwigulu alisifiwa sana na Mukama kuwa ni jembe na amefanya uratibu mzuri wa kampeni na kwa mafanikio. Ambalo hatukulijua ni kuwa Mukama alimaanisha kuwa Mwigulu anatekeleza falsafa ya mama mkubwa ya kampeni ya kitanda kwa kitanda na shuka kwa shuka.
Kwa hili Igunga wamedhalilishwa, kama hawawezi kuzuia hamu zao kwa kipindi kirefu si wangekuja na wake zao badala ya kula wake za makada wenzao kwa mtaji ule wa chama wa 400M?
Binafsi sikumwelewa Mukama aliposema Mwigullu ni jembe maana sasa tunashuhudia uratibu wake unavyofanyika hadi kwa wake za watu, nasikia alipotimuka alisahau kufuri lake akachukua la yule kimada.
 
Kwani kuna ubaya gani si kwa starehe zao acheni wivu wa kike nyie!!
Inaonekana wewe huna mke au mme kwa hiyo huwezi ku feel machungu yake hapa si masuala ya girlfriend na boyfriend wa shuleni kua kwanza uyaone.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom