Igunga: Kigogo wa CCM afumaniwa na mke wa mtu

Status
Not open for further replies.
Siri moja wapo ya CCM ni hii ya kuwapaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa. Yafunueni hayo huyo meneja ajulikane anavyotumia pesa za chama chake kuhonga na kula uroda na wake za watu. Hizo siri za CCM ziko hadharani sasa.
Dr. Slaa wakati wa kampeni mwaka jana alitangaza mchumba wake mwanzoni kabisa, na hii ni kuwaondolea watu udhia wa kufikira anatembea na kuruka njia. Kikwete katika kampeni alikuwa na njia yake na mke wake njia yake, sijajua nani aliyekuwa namjinafsi wakati wote wa kampeni?
 
Mwiguru Mchemba ni kigogo wa juu mwenye dhamana ya kampeni za uchaguzi wa bunge Igunga, siwajui vigogo wengine waliopewa dhamana hiyo.
 
Huyu Mwigulu fedha za kifisadi zimemlevya mpaka anawarudi wake wa magamba wenziwe, kweli fedha fedheha.
He! Kumbe ni Mwigulu? Hiyo kali, Mke kada wa CCM,mume kada wa CCM,mpiga mambo kiongozi wa CCM, kweli kazi na dawa. Kumbe ndio maana hawaishi kuitisha vikao vya usiku ili wapate muda wa burudani? Kama story hii ni ya kweli ni aibu huyo meneja wa kampeni wa CCM kuendelea na kazi hiyo. Ila kwa vile CCM aibu kwa ni mwiko watamalizana kiaina.
 
Nyie Tanzania Daima habari yenu nzuri, lakini wakati mwingine wekeni majina. Ni ufisadi kuficha majina ya watenda maovu, jamii inapaswa kuambiwa ukweli na sio kupindisha.
 
Habari za kimbea. Mtu kufumaniwa na mke wa mtu ni tatizo binafsi. Mod's vip tena hii kitu, toa.
 
CCM ni wazinzi kweli kweli...ukiona mpenzi wako wa kike kutwa kiguu na njia kwenye mambo yasiyo rasmi na yaliyo rasmi ya CCM ujue watamgeukia tu.

Mtajeni huyo mzinzi tafadhali!!
 
07igu.jpg

Mkuu wa wilaya ya Igunga, Fatuma Kimario
akiwa amekamatwa na wanachama wa Chadema
baada kukutwa akifanya kikao na viongozi wa Vijiji na Kata
kilichokuwa kikifanyika ndani ya Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Isakamilwa,
eneo ambalo Chadema walikuwa na mkutano wa kampeni
za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga.

Igunga moto unakolea, maana kila kukicha full vituko.
  • Kada wa CCM ambaye ni mkuu wa wilaya kufumaniwa akifanya vikao vya siri wakati Chadema wanaratiba ya mkutano hapo kijijini.
  • Kada wa CCM kufumaniwa na mke wa kada mwenzake.
Nakumbuka alivyosema Shibuda kwamba itikadi za CCM ni demokrasia pana.
 
KAZI NZURI GAZETI LA TANZANIA DAIMA KWA KUFANYA KAZI ZA PROPAGANDA KWA MANUFAA YA CHADEMA! :angry:
Wacha ushambenga, kazi ya gazeti ni kuripoti hata kama ni CDM, MKIFANYA MADUDU MTAUMBUKA MWAKA HUU!!!!!!!!! Tupe jina la huyo Mkulu Fuska big up Tanzania Daima!!!!!!
 
Wacha ushambenga, kazi ya gazeti ni kuripoti hata kama ni CDM, MKIFANYA MADUDU MTAUMBUKA MWAKA HUU!!!!!!!!! Tupe jina la huyo Mkulu Fuska big up Tanzania Daima!!!!!!

Sitoi Big up kwa Tanzania Daima sababu hawajamtaja jina mtuhumiwa ! Hizi habari zote za "JINA KAPUNI" sizifagilii hata kidogo , zinaonyesha habari haina ushahidi ndo mana wanaogopa kutaja watu kwa kuogopa kushitakiwa. Waandishi wa habari, fanyeni kazi yenu vizuri, fanyeni utafiti muwe na evidence mtuletee habari imekamilika, hizi habari za kiuogauoga zinaonyesha mu wavivu! Habari za type ya tetesi kila mtu anaweza kuzitoa,onyesheni tofauti.
 
Sitoi Big up kwa Tanzania Daima sababu hawajamtaja jina mtuhumiwa ! Hizi habari zote za "JINA KAPUNI" sizifagilii hata kidogo , zinaonyesha habari haina ushahidi ndo mana wanaogopa kutaja watu kwa kuogopa kushitakiwa. Waandishi wa habari, fanyeni kazi yenu vizuri, fanyeni utafiti muwe na evidence mtuletee habari imekamilika, hizi habari za kiuogauoga zinaonyesha mu wavivu! Habari za type ya tetesi kila mtu anaweza kuzitoa,onyesheni tofauti.
Huyo ni Mwigulu Mchemba habari ndio hiyo, wakanushe sasa kama sio kweli!!!!!!!!!!!!!!
 
Habari za kimbea. Mtu kufumaniwa na mke wa mtu ni tatizo binafsi. Mod's vip tena hii kitu, toa.
Hilo ni tatizo la mtu binafsi, unapewa dhamana ya kukaa na wake za watu kumbe unawasalandia eti tatizo la mtu binafsi??? CCM kumbe ni wazinzi eti ni tatizo binafsi, huyo mtu mkewe aliyetoa uroda unafikiri anajisikiaje, peleka mkeo basi kama ni jambo dogo?????????
 
Uzinzi ni sera ya CCM ndio maana ma DC na ma DED wengi wanawake hawajaolewa
 
Uzinzi ni sera ya CCM ndio maana ma DC na ma DED wengi wanawake hawajaolewa

07igu.jpg


Nadhani kukolewa na kutoolewa ni ridhaa ya mtu na wala si kigezo cha kufanya ufuska kipindi cha kampeni.
Wengi wa wanawake ambao wanataka kuingia kwenye siasa ni wale wanaojiona wako huru kwa vile kuna baadhi wakishakuwa katika maisha ya ndoa kuna makandokando ya kifamilia na taratibu nyingine za kifamili zinazomfanya asijisikie huru katika masuala ya kisiasa.

Mwanamke awapo kazini pamoja na misafara ya kikazi kibao hufikia hali ya kutoaminiana baina ya wanandoa, ingwa kuna baadhi wanaofanya hivyo, lakini baadhi hutokea misuguano fulani ingawa hatuwezi kuiona wazi na baadhi wamefikia hatua ya kutengana.
 
Mosi, kigogo wa magamba anayeongoza kampeni za igunga ni nani kati ya hawa; matson chizii na mwigulu mchemba




SIAMINI KAMA KUNA VIONGOZI WAWILI.
KIONGOZI NI 1 TUU
TUWEEKENI WAZI TUJUE NI YUPI?
 
CCM jamani;

1. Ufisadi wao,

2. EVENTS za kinyemela wao,

3. Fujo za Al Anur kukodishwa kwa ajili ya ugaidi wao,

4. Rushwa ya ubwabwa kwa vitoto vyao wana-Igunga ni wao,

5. Kupiga mke hadi kumua kule Lindi,

6. Na sasa kazi yao ni kubaka wake za watu kule Igunga na kusambaza hovyo UKIMWI
 
Unafikiri kuna haja ya kuficha aliyefanya tukio hilo ni MWIGULU hakuna mwingine. Na mwanamke amesharud kwa wazazi wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom