IGP Sirro: Ukiwa na mtoto mhalifu halafu usitoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama wewe ni tatizo kwa Watanzania

Nenda ukasimame na wewe wapige pembeni
Huo ndio ukweli wa tulichotokea utake usitake shauri yako, tena mie ndio hawatonipata kabisa maana sina mwili mkubwa kama Hamza sasa yule mwili wote ule ila bado mlikuwa mnapiga pembeni sasa mie si ndio hamtonibahatisha kabisa.
 
Awakanye watu wake waache dhuluma.
Walinipora madini Itigi december 2020 wakataka rushwa ya laki 4 nikawapa na madini wakanipora.Pesa wamechukua na madini wakachukua wakaniacha mtupu.
Kama wanapita humu wanajua hili.
Mungu atanilipia.
Uwe na kibali usiwe na kibali lzm wakutafutie sababu Ili wakupore.
 
Well trained askali and equiped asingeweza pigwa risasi, askali wetu wako na mazoea mabaya. Wengi ffu ni form four pass mark, unamupeleka Police hata reasoning ya mazingira ya kazi kama alishindwa shule uko, sawa atamaliza kozi atapangiwa kituo Cha kazi yanarudi yale yale ya form four division four.
ukiwa well trained unakua immune to bullets ama vipi?
 
Kauli hii, endapo itadababisha polisi kuingiza gia ya mauaji "Killing Spree", ICC inamhusu huyu kamanda.

Sina hakika alichomaanisha huyu kamanda wetu, lakini inaweza kuwa ni kuwatia hamasa askari waue raia bila kufuata taratibu za kisheria zinazotambulika.

Tuombe heri, labda Sirro, siku zijazo atalazimika kukemea mauaji yatlnayotarajiwa kuendeshwa kwa maagizo yake. Tuombe Uzima.
Si kauli nzuri
 
Umejuaje kama ni gaidi? Rais aliagiza uchunguzi wa kina, ripoti umeipata?
Binafsi naona ilipaswa bunge liunde tume ya kuchunguza kiini hasa cha kisa cha Hamza. Ripoti hizo zitatusaidia siku za usoni.

Tuache tabia ya kuishi kama viumbe wasioona mbele na wasioweza kujifunza kutokana na yanayowatokea kila siku.
kwenye wall paper ya simu yangu kuna picha ya Hamza,status yangu zimejaa picha za Hamza huko,kuanzia juzi 25 aug a.k.a yangu najiita Hamza wa salenda.
kesho weekend nashusha miguu ya mbuzi miwili huku nikipata moja moto moja baridi na washkaji tukiazimisha Hamza day.



Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kauli hii hapa chini ni wazi Sirro anamfokea Step Maa

"Wakati mwingine tunaambiwa tunatumia nguvu kubwa sana sio au hatutendi haki sio? Lakini yanapotekea hapa hatusikii mtu anasema habari ya haki ya polisi maana yake nini msiwe na Double Standard. Kazi hii ni ngumu sana mtu akiiona hivi anajua ni kitu rahisirahisi tu lakini kudeal na mhalifu sio jambo dogo"
 
Back
Top Bottom