IGP Mwema must go now!!

How long shall we wait for this guy to go? NI kweli wabunge wanaogopa kutaka aondolewe? watu wangapi wameteswa mikononi mwa polisi na kufa; ni mara ngapi tumelalamikia nguvu zinazotumiwa na polisi dhidi ya wanaharakati? Kwanini anaendelea kuwa IGP wakati jeshi lake limehusishwa na kashfa nyingi sana za uvunjaji wa haki za binadamu na zile za kiraia? Na mara ngapi tumeona jeshi hili likitumia "intelligensia" kuzuia maandamano ya kisiasa lakini ikikosa "intelligence" linapokuja suala la utekaji nyara?

Waliomuua kijana yule wa Ubungo kule Igunga wamepatikana?
Waliowapiga wabunge Kirumba wamepatikana?
Tarime?
Arusha?
Songea?

Bado we don't see this pattern of gross incompetence ya Said Mwema na uongozi wa Jeshi la Polisi? Shemeji yaRais? so what? Ushemeji wao unalihusu nini taifa. Said Mwema must go NOW!!! We have had enough of this level of mediocrity!

Unaota ndoto za mchana, hii nchi ingekuwa ya kiuwajibikaji leo hii tusingekuwa na the so Called Kikwete as our president kwasababu amefeli vitu vingi sana alivyoahidi kuvifanya kwa kinywa chake.
 
Bado we don't see this pattern of gross incompetence ya Said Mwema na uongozi wa Jeshi la Polisi? Shemeji yaRais? so what? Ushemeji wao unalihusu nini taifa. Said Mwema must go NOW!!! We have had enough of this level of mediocrity!

Mzee, hebu fafanua vizuri hili la ushemeji wake na Rais, nani kaoa kwa mwenzake?
 
Nadhani shemeji yake anamlinda, labda anataka watu waingie barabarani kumkataaa na kumshinikiza aondoke, Tz bado hatujafika kiwango cha viongozi kujipima wenyewe na kuachia ngazi
 
Mie sidhani kama mtawala wetu ana upe wa kuona maakamanda wa polisi wa kuwapa vyeo hivyo. Tunataka mfumo mzima wa serikali ubadilishwe
 
What about Kikwete? Shouldn't he go too? If everybody else appointed by him must go so should he.

I say Kikwete and company, all of them must go.
 
Binadamu wote nai sawa yote haya kwa sababu Dr kapigwa wangapi wanauawa/wameuawa acha maalbino binamu yangu ameuawa wki iliyopita tu leo kapigwa Dr ndio mnatoa maoni watz tuache mawazo ya zimamoto...
 
Shemeji wa mkubwa aondoke? Hapana! serikali yetu inaongozwa hivyo hivyo!
 
Siyo kujiuzulu tu. Lazima washitakiwe hasa RPC kwasababu hata Songea amecha ameua watu 4 bila makosa na ile Tume haijatoa majibu hadi milele!
 
Yaani huyu kazi yake ni kuua tu ! Ifike mahali wananchi tuamue tusitegemee hawa watu kujiuzulu hata siku moja !
 
How long shall we wait for this guy to go? NI kweli wabunge wanaogopa kutaka aondolewe? watu wangapi wameteswa mikononi mwa polisi na kufa; ni mara ngapi tumelalamikia nguvu zinazotumiwa na polisi dhidi ya wanaharakati? Kwanini anaendelea kuwa IGP wakati jeshi lake limehusishwa na kashfa nyingi sana za uvunjaji wa haki za binadamu na zile za kiraia? Na mara ngapi tumeona jeshi hili likitumia "intelligensia" kuzuia maandamano ya kisiasa lakini ikikosa "intelligence" linapokuja suala la utekaji nyara?

Waliomuua kijana yule wa Ubungo kule Igunga wamepatikana?
Waliowapiga wabunge Kirumba wamepatikana?
Tarime?
Arusha?
Songea?

Bado we don't see this pattern of gross incompetence ya Said Mwema na uongozi wa Jeshi la Polisi? Shemeji yaRais? so what? Ushemeji wao unalihusu nini taifa. Said Mwema must go NOW!!! We have had enough of this level of mediocrity!
Mkuu,maswahiba wake wenyewe hawawajibishwi ndo ije kuwa shemeji?JK ndiyo wa kuondoka.Hata EL angekuwa mtu wa dini yake asingeacha ajiuzulu,hivyi ndivyo nilivyomsoma.Labda abanwe sana ndo atakubali Mwema aachie ngazi.Hadi usawa huu hawalaani mauwaji hayo,hilo ni tosha kujuwa nani yuko nyuma ya mipango yote ya mauwaji na kuihujumu chadema.Kama mnabisha mwulizeni Mh Zitto.
 
Tatizo la watu wengi,ni kuwa huku kwenye Keyboard.Kutoa ushahuri na shutuma pale zinapobidi,lakini si wapambanaji wa kweli.

Tuungane na wapambanaji kwa mambo mbalimbali.MMK nakupongeza kaka yangu kwa kuwa karibu na nyumbani.Uliko huko unaweza kuendelea kula chapati na coffee bila kuhitaji kujua lolote la nyumbani,lakini kwa Moyo wako na uzalendo wa ndani unaguswa na kuumizwa na mambo mengi ya huku nyumbani.Asante sana.

ndugu wana JF,dawa ni kupambana kwa kutumia akili,rasilimali,na vipaji vyetu kwa kubuni njia mbalimbali za kumuondoa adui serikali ya CCM.

Tanzania hatujawahi kuwa na AMANI YA Kweli toka Nyerere aondoke madarakani,naongea tangu nyerere aondoke madarakani,sababu enzi za mwalimu nilikuwa mtoto nilikula Buruga,na ugali wa yanga duh! na kulala bureeeeeeeeee 70's.Kama HAKI hakuna,huwezi kupata amani.

Naungana na hoja Said Mwema you must Gooooooooooo!!! & Chagonja Operation Kamanda.Fanyeni hivyo kwa hiari vinginevyo mda waja mtatoka mkiwa na chongo.
 
Nadhani shemeji yake anamlinda, labda anataka watu waingie barabarani kumkataaa na kumshinikiza aondoke, Tz bado hatujafika kiwango cha viongozi kujipima wenyewe na kuachia ngazi
wana jf, please be considerate.
mlinzi mkuu kabisa wa mkulu, Sheikh Yahaya ndio kesha tangulia mbele ya haki na sina uhakika kama mrithi wake ana nguvu kama baba. Sasa na huyu akiondoka mnadhani atasurvive vipi!!!?
Ila sema angewasisitiza vijana wao hawa waache kutuua lakini ndio hivyo tena, maziwa yameshamwagika ni bora kupisha Watanzania wengine wenye nia njema na watanzania wenzao

JK anajuwa akiwajibishwa mtu,basi ina maana m4c imepata baraka za kutokuwa harrased,wako kwenye hard times,that's. My take.
 
Tatizo la watu wengi,ni kuwa huku kwenye Keyboard.Kutoa ushahuri na shutuma pale zinapobidi,lakini si wapambanaji wa kweli.

Tuungane na wapambanaji kwa mambo mbalimbali.MMK nakupongeza kaka yangu kwa kuwa karibu na nyumbani.Uliko huko unaweza kuendelea kula chapati na coffee bila kuhitaji kujua lolote la nyumbani,lakini kwa Moyo wako na uzalendo wa ndani unaguswa na kuumizwa na mambo mengi ya huku nyumbani.Asante sana.

ndugu wana JF,dawa ni kupambana kwa kutumia akili,rasilimali,na vipaji vyetu kwa kubuni njia mbalimbali za kumuondoa adui serikali ya CCM.

Tanzania hatujawahi kuwa na AMANI YA Kweli toka Nyerere aondoke madarakani,naongea tangu nyerere aondoke madarakani,sababu enzi za mwalimu nilikuwa mtoto nilikula Buruga,na ugali wa yanga duh! na kulala bureeeeeeeeee 70's.Kama HAKI hakuna,huwezi kupata amani.

Naungana na hoja Said Mwema you must Gooooooooooo!!! & Chagonja Operation Kamanda.Fanyeni hivyo kwa hiari vinginevyo mda waja mtatoka mkiwa na chongo.
nakuheshimu sana dada Josephine na naamini unachokisema as you a verified user! Umenigusa
 
Back
Top Bottom