IGP Mwema must go now!!

IGP Mwema must go now!!

Mauaji ya mwandishi wa habari Mr. Mwangosi huko mkoani Iringa yamekua si tu kuipa CDM umaarufu na kutambulika zaidi ndani na nje ya nchi bali imeleta taswira mpya ya utovu wanizam tena wahari yajuu ndani ya jeshi lapolisi. ukifuatilia mkasa wa marehemu mwangosi kutoka kwa shuhuda wa tukio lakin pia kutoka katika picha zatukio zilizoonyesha jinsi kifo kilivyotokea inaonyesha wazi Inspector wa polisi mwenye nyota tatu alizuia askali wenye rank ya chini yake wasi muuwe marehemu lakin walikaidi amli ya kiongozi huyo mwenye kuwazid rank na hatimaye kumuuwa, hii ni utovu mkubwa wa nizam na niusaliti kwa namna nyingine, kwasisi wote tulio bahatika kupata mafunzo ya kiusalama hasa katika jesh utii nikitu muhimu sana. Inanipa wasiwasi hata kuamini iposiku wewe IGP utatoa order kwa askari walio chin yako lakin hawatakusikia hatimaye wanaweza kuku piga risasi hata wewe mwenyewe kama ambavyo hawakumsikia kiongozi wao Inspector mwenye nyota tatu alipo wakataza kumuuwa marehemu mwangosi, jiangalie sio askari wote wanakupenda wengine wanapenda uhalibikiwe, fikiria, tafakari kisha chukua hatua.
 
Na kuna tetesi kua hua akiona hajaonekana kwenye Tv na vyombo vya habari hua anachukua Silaha na kuita wanahabari kua Zimekamatwa mikononi mwa majambazi na wanawashikilia baadhi yao. Kwa haraka nilibisha kabisa ila hivi karibuni aliibuka na styl yake kama kawa. Nilimtazama na kua na ualakini katika presentation yake, kivipi?

Kwanza hua anazifumbata silaha kana kwamba hazihitaji uchunguzi zaidi mahakamani, hapa namaanisha "Fingure prints" kwani hua hana special gloves hivyo kufuta ushahidi au kujipa jukumu la kua yeye ndie jambazi kuweka Prints zake pale kwenye silaha.

Pili matukio yote hua amejipanga kwa kua huongelea sehemu iliyotayarishwa kana kwamba anakuja hutubia waandishi wa habari hadi nembo ya Jeshi la polisi inakuepo.

Tatu katika matukio yote anayoita waandishi wa habari hakuna picha iliyowahi pigwa wala kuonyeshwa kwa vyombo vya habari zaidi ya maelezo yake na kukumbatio silaha za watuhumiwa wa miaka ya 1994 ambao wako jela tayari. Au ulishawahi kumuona katika eneo la tulio akitoa habari zake LIVE? Nikumbushe labda nimesahau.

KOVA/ MWEMA ni ceremonial figure tu pale hana chochote zaidi ya hayo niliyoweza kudadavua.........

Mkuu umeniwahi kwa hili ila umeweka details za kutosha. Mimi hasa huwa na cheka sana nikimwona KOVA na macho yake ameyatoa utadhani ni kweli kumbe fix. Huwa nakumbuka pia yule mzee wa majambia ya cuf naye staili ilikuwa ileile!
 
How long shall we wait for this guy to go? NI kweli wabunge wanaogopa kutaka aondolewe? watu wangapi wameteswa mikononi mwa polisi na kufa; ni mara ngapi tumelalamikia nguvu zinazotumiwa na polisi dhidi ya wanaharakati? Kwanini anaendelea kuwa IGP wakati jeshi lake limehusishwa na kashfa nyingi sana za uvunjaji wa haki za binadamu na zile za kiraia? Na mara ngapi tumeona jeshi hili likitumia "intelligensia" kuzuia maandamano ya kisiasa lakini ikikosa "intelligence" linapokuja suala la utekaji nyara?

Waliomuua kijana yule wa Ubungo kule Igunga wamepatikana?
Waliowapiga wabunge Kirumba wamepatikana?
Tarime?
Arusha?
Songea?

Bado we don't see this pattern of gross incompetence ya Said Mwema na uongozi wa Jeshi la Polisi? Shemeji yaRais? so what? Ushemeji wao unalihusu nini taifa. Said Mwema must go NOW!!! We have had enough of this level of mediocrity!
Mwanakijiji ,hapa nilionalo tatizo sio Said Mwema wala polisi hapa tatizo ni utawala,CCM na JK wenyewe hawa watu wanatekeleza ajenda ya siri ya chama tawala CCM.Wameshindwa kwa hoja,wameshindwa kwa ushawishi hawakubaliki hivyo kilichobaki sasa ni mabavu,wako tayari kwa lolote lile hata kama inapobidi kupoteza maisha ya watu.Wameisha gudua mwisho wao uko karibu,wanachotaka kukifanya ni kupandikiza machafuko miongoni mwa watanzania ili wakishaondoka waje na kauli ya kua amani imetoweka kwa vile CCM haipo madarakani.Hapa wa kubanwa JK na CCM tunapolalamikia jeshila polisi tunawapa muda wa kuvuta puumzi.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
katika ule utamaduni wa kulindana baada ya vigogo kufanya madudu serikalini, nina imani pia hata viongozi wa juu wa jeshi la polisi nchini wanaweza kulindwa kwa mtindo huo huo.

Kumekuwepo na wimbi la mauaji yanayofanywa na polisi mara kwa mara lakini hakuna hatua zinazochukuliwa.Hata hivyo, tukio la kuwawa kwa bomu kwa mwandishi wa habari huko mkoani Iringa limewaacha polisi uchu kwa maana ya kwamba hawana cha kuficha.Kuna ushahidi wa wazi wa picha zilizopigwa zikionyesha askari polisi kushiriki katika unyama ule.Mbali na ushahidi wa picha pia waandishi wa habari walioshuhudia tukio lile walitoa ushahidi mwingine kuthibitisha ushiriki wa polisi kupitia taarifa ya habari ya ITV ya jana ssa 2 usiku(03/09/2012).

Kwa kuzingatia mazingira haya naamini ni vigumu kwa polisi kukwepa lawama.Hata hivyo, ni mawazo na mtazamo wangu kuwa vigogo wa polisi kuanzia IGP na wasaidize wake badala ya kuwajibishwa kama ambavyo wengi wangependa, badala yake utasikia wamepangiwa kazi nyingine kama vile kupewa ubalozi n.k.

Tabia hii si ngeni hapa nchini na ningeshauri kupitia katiba mpya tuweke kipengele kinachopiga marufuku watumishi wa umma kupangiwa kazi nyingine baada ya kufanya makosa katika utumishi wao.Iwekwe wazi kuwa mtu akivurunda hasi viongozi wa juu serikalini ndio iwe mwisho wa utumishi wake na achukuliwe hatu mara moja.Pia kipengele hicho kiweke wazi kuwa mamlaka ya nidhamu isipochukua hatua katika muda fulani basi mamlaka hiyo nayo iwajibishwe.
 
Unyanyasaji wa raia na VIFO vingi vya raia vya mfululizo vimekua HAVIKEMEWI wala Wahusika kuchukuliwa hatua na serikali ya ccm.Hii ni wazi kuwa KUNA SIRI NA NJAMA ZA MAUAJI YA MAKUSUDI kabisa kama silaha ya kuzuia nguvu kubwa ya Chadema, Kukichafua chadema kwa kukihusisha mauaji.

Kwakua serikali ya ccm Ina JESHI, SILAHA, MAHAKAMA NA PESA NA UBABE.Kupambana nayo kunahitajika nguvu kubwa zaidi. NASHAURI: 1. Watanzania tunatakiwa kuzifikisha na kuziweka uchi taarifa zote za matukio ya mtiririko wa MAUWAJI yanayofanywa na serikali hii kwa wahisani (Donners) wote .2. kutupia mtiririko wote wa taarifa zote na matukio kwenye link zote za wanaharakati wote wa haki za binadamu duniani .3. Kukusanya vielelezo vya mauaji yote ya utawala wa raisi kikwete na kuviweka kwenye link zote zinazohusiana na Mahakama za uhalifu za kimataifa. Hizi ndio silaha pekee zilizobakia kwa wanyonge kwa nia ya kuishinikiza serikali iache UNYAMA NA KULINDA DEMOKRASIA NA UHURU WA VYAMA VYA UPINZANI.Haya Yaliwezekana KENYA...

Kuendelea kubakia Kulalamika tuu na kucomment, ku-like na kupost tuu kwenye hii mitandao pekeyake Hakutasaidia kuleta mabadiliko yoyote.Mwisho wa siku yatapita mtasahau na yataendelea kutokea mabaya zaidi.KUCHUKUA HATUA NDIO SILAHA YA MAPAMBANO kuliko kuelezea tuu majanga kwa ufasaha bila kuchukua hatua.
 
Yes this Dude MUST Go ... The question is HOW do you start making him GOOO!!
 
Udini noma..na hii dhambi lazima tuzae nayo.

MWENYEZ MUNGU TUEPUSHE.
 
Udini noma..na hii dhambi lazima tuzae nayo.

MWENYEZ MUNGU TUEPUSHE.
 
Kama kweli tuna serikali inayojali wananchi wake , IGP, na RPC Iringa inabidi wajiuzuru
 
Binadamu wote nai sawa yote haya kwa sababu Dr kapigwa wangapi wanauawa/wameuawa acha maalbino binamu yangu ameuawa wki iliyopita tu leo kapigwa Dr ndio mnatoa maoni watz tuache mawazo ya zimamoto...

tatizo letu wa tz tuna kurupuka sana.
Nchi ingekuwa inatawaliwa kwa jazba namna hiyo tusingefika.
Tunashindawa hata kuelewa kuwa u igp sio cheo cha kisiasa, ni nafasi nyeti sana.
Huwezi kuamka tu asbh na kusema namuondoa igp au namuondoa mkuu wa majeshi.
Tunaongozwa mno na ushabiki wa kichama na kushindwa kufikiria mambo kwa marefu na mapana yake.
 
How long shall we wait for this guy to go? NI kweli wabunge wanaogopa kutaka aondolewe? watu wangapi wameteswa mikononi mwa polisi na kufa; ni mara ngapi tumelalamikia nguvu zinazotumiwa na polisi dhidi ya wanaharakati? Kwanini anaendelea kuwa IGP wakati jeshi lake limehusishwa na kashfa nyingi sana za uvunjaji wa haki za binadamu na zile za kiraia? Na mara ngapi tumeona jeshi hili likitumia "intelligensia" kuzuia maandamano ya kisiasa lakini ikikosa "intelligence" linapokuja suala la utekaji nyara?

Waliomuua kijana yule wa Ubungo kule Igunga wamepatikana?
Waliowapiga wabunge Kirumba wamepatikana?
Tarime?
Arusha?
Songea?

Bado we don't see this pattern of gross incompetence ya Said Mwema na uongozi wa Jeshi la Polisi? Shemeji yaRais? so what? Ushemeji wao unalihusu nini taifa. Said Mwema must go NOW!!! We have had enough of this level of mediocrity!

Mkuu MM,
Aondole aende wapi? Haya ndiyo matokeo ya nepotism!!! Unapokuwa weak or dhaifu kiongozi ni lazima katika sehemu nyeti uweke wa kwenu wa kukulinda!!! So shemeji can do!!!
 
mkuu mimi ni mwananchi wa kawaida kabisa,na huu ni ushauri wangu kama raia na kwa mujibu wa katiba nadhani ni haki yangu kutoa maoni au ushauri,na hii ni kwa manufaa yako na taifa kwa ujumla na wapenda haki na amani ya raia walio wengi maskini wasioweza kujilinda wao na familia zao.sembuse kuzilinda maliasili zetu zinazoporwa mchana peupe seuze na wale ambao walikula kiapo kikatiba kufa kwa kuzilinda maliasili zetu kwa manufaa ya sasa na vizazi vyetu vijavyo

Binafsi nina imani na wewe,lakini ninapata mashaka kwamba huenda kuna vcizingiti unakumbana navyo katika kukuacha uchukuwe maamuzi magumu labda kutoka sehemu fulani

Kwa sababu katika hali halisi tusingwtarajia mambo yotew hatya kutendeka bila kusikia kauli au tamko rami kutoka kwako likiwa ni pamoja na kuchukua hatua madhubuti ambazo zingeonyesha traswira yako katika kuchukizwa na haya yanayotokea sasaa hivi nchini huku yakiwahusisha vijana wetu wa jeshi la polisi ambalo wewe ni kamishna mwenye maamuzi ya kuweza kukabiliana na hali hii ndani ya jehi hilo na kurudisha nidhamu kwa askari na pia imani kwa wananchi dhidi ya jeshi la polisi nchin ambayo kwa kiwango kikubwa imeporeomoka kama si karibu kuwa endangered species

Ebu tuangalie kwa uchache yaliyojiri hivi kareibuni tu (maana tukitaja yote humu basi hata thread itawachosha wasomaji kama ifuatavyo

*Mauaji ya mwangosi
*mauaji ya kijana kule morogoro.
*kukamatwa askari katika tukio la wizi wa shehena bandarini dar es salaam
*mauaji ya raia waliokuwa wakndamana kwenda kumuona mkuu wa mkoa kule songea kufikisha kilio ch
ao,dhidi ya mauaji yaliyokuwa yamekithiri dhidi ya raia wema.na watu waliosadikiwa kuwa majambazi
*kukamatwa kwa askari polisi kutoka wilayani biharamuro,wilayani serengeti wakiwa na pembe za ndovu
*kuuawa kwa askari waliokuwa na pembe za ndovu huko kagera.
*kukamatwa askari polisi mkoani simiyu wakisafirisha mirungi kupeleka mwanza katrika kizuizi cha barabarani huko lamadi
Sasa mkuu kwa haya machache ambayo walau yanatufikia sisi raia wa kawaida, achilia mbali yale
ambayo ni nyeti na yanaishiajuu kwa juu.
Hitimisho mkuu naomba kuuliza hivi huwa unapata usingizi mwororo siku hizi?
Mimi ningekushauri kama unaweza uchukuwe maamuzi magumu katika muda huu muafaka ili walao upate usingizi mwema wakati ukila pensheni yako

.naomba kuwakilisha ......wana bodi mjadala uko wazi mwenye lako pia karibu ili tujaribu kupasua vicxhwa na hili kwa manufaa ya taifda letru
 
Jibu hapa ni moja....kuna tofauti kubwa sana kati ya jesh na kaz zingne kionz wa jesh eti ajiuzuru hlo suala kichwan kwako ondoa kabisa.
 
Kuna hadithi moja siikumbuki ya jamaa aliyekubali kumbeba mtu mgongoni; halafu huyo mtu kumbe lilikuwa dubwasha gani sijui likang'ang'ania mgongoni....
 
Jibu hapa ni moja....kuna tofauti kubwa sana kati ya jesh na kaz zingne kionz wa jesh eti ajiuzuru hlo suala kichwan kwako ondoa kabisa.

Hizo kazi nyingine ni zipi ambazo watu wanajiuzulu kwa kuwajibika? As far as i can remember ni Mwinyi tu na Edward Lowassa walijiuluzu hapa Tanzania. Mzee Mwinyi alijiuzulu kwa hiari na Endward Lowassa alisukumwa. Who else?
Kimsingi kujiuzulu kwa kuwajibika hapa Tanzania ni ndoto za alinacha.
 
Atatokaje wakati anaifanya kazi aliyotumwa na na bosi wake?
 
Heshima mbele. Facts tells me you are great thinker... though you will great if you reduce habit of talking about people and focus or systems, framewor, policies..... and I guarantee yoube wow great thinker in our nation.
 
Shida ya nchi yetu ingawa majeshi yetu hayapaswi kufungamana n'a chama chochote cha kisiasa, lakini kwa kuwa Rais anayewateua ndiyo kiongozi mkuu wa chama tawala, kwà hiyo qualification no1 ya kuteuliwa kuwa mkuu wa vyombo vya usalama n'a ulinzi ni lazima uwe mkereketwa wa Magamba!!
 
Hivi vyombo vya ulinzi n'a usalama ni wazi viko biased vikiegemea upande wa magamba, hebu angalia JWTZ ilivyoshupalia issue ya yule askari wake kupiga tu picha n'a Lema, mbona mwaka 2010 Shimbo aliitisha kikao n'a waandishi wa habari n'a kuvipiga mkwara vyama vya upinzani kuwa hawana kuyapokea matokeo ya Tume yatakayoitangaza CCM kuwa imeshinda, mbona JWTZ haikumkemea kamanda huyo kuwa anakwenda kinyume cha utaratibu wa mfumo wa vyama vingi??!!
 
Back
Top Bottom