Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
Du ama kweli mzee wa D**t huwaachii mwaka huu
Malizia hapo Detroit-Michigan.
kweli hawaachi kakomaa nao, polisi wenyewe wanamlalamikia kwamba policy yake ya polisi jamii ndo imeleta haya,,sasa cjui ukute nao walizoea mno utumiaji mabavu leo kutransform into more proffessionalism inawawia taabu ama karush mno kujikita na utalaam ilhali mentality ya mapolisi ni ubavu ubavu@ngunguri