Umenikumbusha Mh. Rwakatale alivyotengenezewa movie ya ugaidi chini ya director field Marshall Chemba, kumbe ugaidi wanaujua wao, na sasa wanaufanyia mazoezi. Ngoja kilichopandwa ndio kivunwe.Hii ni vita ya kina Bashite na Mwigulu.
Yaani hii ni vita ya wao kwa wao.
Kipindi walikuwa wanapanga mission za KIJINGA kutupa mabomu kule Olasiti kanisani, Tindikali Zanzibar, Mabomu uwanja wa Soweto Arusha, vita ya wachinja ng'ombe kule Mwanza n.k hawakujua walichokuwa wanakitengeneza.
Sasa wanapambana wao kwa wao.
Na muuwane mpaka mmalizane lkn mind u kuna zaidi ya hilo kwa kilichojengeka sasa
Kama walipanda Bangi, walitegemea wangevuna vanilla au karafuu?Mlichowafanya watu wa huko ninyi sisiemu na wenzenu mnakijua. Sasa badala ya kuchukua ile falsafa ya "we don't negotiate with the terrorists" ninyi inabidi mkae nao mjinyenyekeze! Hamtaki, muache yawakute!
Endeleeni pia kuipanda hii Mbegu inayoitwa "imani flani" yatakayojiri zaidi tuwe tayari pia kuyapokea. Uzuri natambua Record bado mnayo kwa yaliyotokea Geita kuhusu kuchinja.Ni kweli kuna kila dalili ya suala la kiimani nyuma ya hawa wauaji.
Serikali isipojipanga mapema hawa watu wataleta madhara makubwa sana na sioni dalili ya hawa watu kusarenda bila mikakati mikubwa sana.
Wanaonekana kwa kweli wamejaa huko Ikwiriri na nchi nzima kuanzia vijijini mpaka mijini. Kwa sasa kuna makundi yanayojifanya yanaimani sana za kidini na hayajali uhai wa wale wasiowaunga mkono.
Serikali itumie mfumo wa ulinzi wa Rwanda au Israel.
Ambapo jeshi linatumika sana kupata information na pia linashirikiana na polisi kulinda usalama wa nchi.
Tanzania tuna majeshi mengi sana lakini cha ajabu watu wa chache wanapora silaha na wanajificha porini na silaha zinatumika kuangamiza maisha ya watu.
Tujiulize kwa nini migambo hawaajiriwi na vijiji kama walinzi kama enzi za awamu ya kwanza ya Mwalimu.
Rwanda polisi na Jeshi wanashirikiana kwenye ulinzi kwa kupeana muda.
Mchana polisi wanafanya kazi na usiku Jeshi linaingia mtaani. Nchi inakua shwari kabisa.
Nchi zote ambazo zina watu wenye imani za kuua ua watu kwa ajili ya kujenga hofu zinazibitiwa kwa mfumo wa ulinzi unaofanana na ule wa Rwanda, Israel,Libya enzi za Gadaff na Iraq enzi za Sadam Husein.
Ni mfumo wa jeshi kuzibiti maeneo wakati wa usiku na kutumia zana kubwa na za kisasa kuwatafuta wahalifu.
Pia mara nyingine mauaji kama hayo wanasiasa hua hawakai siriasi kuyatokomeza kwani ni moja ya matukio ya kuhamisha watu kwenye mijadala mipana ya kuzungumzia umaskini wao na haki zao. Wanabaki wakijawa na hofu kubwa.
Lakini ninaamini kuwa bado hatujaamua kukaa na kufikiri vya kutosha namna ya kuwatokomeza hao majangili wenye viashiria vya kigaidi.
Siamini kuwa hatuna ndege za kijeshi zenye uwezo wa kutafiti na kujua kambi zao zilipo. Hao watu kwa vyovyote wanafanya mafunzo ya kijeshi.
Kwa kweli inabidi amiri jeshi mkuu abadili mfumo wa ulinzi ili doria zifanywe na majeshi yote kwa kubadilishana muda wa kazi kwa sababu polisi wakati mwingine uchache wao unawafanya wawe wanazidiwa maarifa kutokana na kufanya kazi wakiwa wamechoka. Mchana kutwa wanakimbizana na vibaka, wafungwa mahakamani na doria mabarabarani ,mara kukamata mabodaboda n.k. then wanafanya doria tena usiku. Ni wazi kuwa watakuwa wamechoka kiakili na kimwili.
Lakini kama wangekua wanasaidiana wanajeshi na kigambo wakati wa usiku ulinzi ungekua ni jukumu la wanajeshi. Polisi wangekuwa wanavua uniform na kuingia mtaani jioni kusaka taarifa za uhalifu.
Ni muda mrefu tangu hawa wauji wameanza lakini bado hawajakata tamaa mana inaonekana mizizi yake haijawahi kuguswa.
Na hili la kutangaza zawadi nalo pia sio ishu mana kuna watu wataanza kuropoka kuwa wameanza kazi ya kuwasaka hao majangili kwa lengo la kupata fedha hizo matokeo yake wataambulia kuuawa.
Cha msingi ni kuweka intelijensia ya uhakika hata ya kununua na kuwalipa kimya kimya kwa mikataba maalum kama wanavyofanya CIA na FBI.
11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu
Hii ni vita ya kina Bashite na Mwigulu.
Yaani hii ni vita ya wao kwa wao.
Kipindi walikuwa wanapanga mission za KIJINGA kutupa mabomu kule Olasiti kanisani, Tindikali Zanzibar, Mabomu uwanja wa Soweto Arusha, vita ya wachinja ng'ombe kule Mwanza n.k hawakujua walichokuwa wanakitengeneza.
Sasa wanapambana wao kwa wao.
Na muuwane mpaka mmalizane lkn mind u kuna zaidi ya hilo kwa kilichojengeka sasa
Mkuu watch it...Mlichowafanya watu wa huko ninyi sisiemu na wenzenu mnakijua. Sasa badala ya kuchukua ile falsafa ya "we don't negotiate with the terrorists" ninyi inabidi mkae nao mjinyenyekeze! Hamtaki, muache yawakute!
unaangalia muvi gani mkuu.enough is enough. Tuko kwenye final touches muda wowote natua bongo na vijana wangu 12 highly trained in combat na tutatumia advance latest and highly sophisticated military weapons.
Tukifika bongo tutadondoka na maparachute porini kibiti. Kibano tutakachokitembeza itakuwa historia. We will use scorched earth policy and counter surgency technique.
The impact will be devastating!
just stay tuned Bro the military offensive we are going to apply will send a clear and strong message to the terrorists that they've been messing with wrong guys.unaangalia muvi gani mkuu.
Mbona wajeshi wanamiminika deile toka last week. Ni wengi zaidi ya polisi walioenda huko.Nakubaliana na uchambuzi wako na nafurahi kwamba kuna watu wanaweza kuuchambua uhalifu na kutengeneza profile ya mhalifu kwa kiasi cha kuridhisha kiasi hiki. Inanikumbusha series ya 'Criminal Minds'.
Nami niongezee machache:
Kudos Technology
- Polisi wajaribu kuchambua namba za simu zinazotumika kati ya Dar na Kibiti,Ikwiriri na Rufiji. Let's hope watakuwa na software ya kuwawezesha kuchambua taarifa hizo. Kama hawana ni vizuri wakatafuta nguli wa IT kwa ajili ya kuanalyze taarifa za mitandao ya simu kwa watu wanaosafiri mara kwa mara kati ya Dar na miji hiyo.
- Sishauri JWTZ wahusishwe ktk hatua ya sasa. Polisi wana nafasi nzuri zaidi ya kusitisha mauaji haya kuliko JWTZ. Tatizo lililopo ni intelijensia. Serikali haijaweza kubaini kwa kina wahalifu ni kina nani, wana ajenda gani, na anagharamia uhalifu wao, wako wapi na nani anawaunga mkono. Ni jeshi la polisi na usalama wa taifa wanaoweza kupata taarifa za uhakika kuhusiana na jambo hilo kwa sababu ya mafunzo yao, uzoefu na ukaribu na jamii.
- Serikali imefanya vyema kutolihusisha jambo hili na dini. Dini ndio udhaifu wetu kama taifa. Haijalishi kama ni kweli dini inatumika au la.
- Watu wa Kibiti, Ikwiriri na Rufiji watumie hata mtandao kama hapa JF kutoa taarifa kwa vyombo vya dola ili tuweze kumaliza tatizo hili.
Kibano kwa raia? Maana jamaa ha ajulikani wala hawajulikani wanaishi wapi?enough is enough. Tuko kwenye final touches muda wowote natua bongo na vijana wangu 12 highly trained in combat na tutatumia advance latest and highly sophisticated military weapons.
Tukifika bongo tutadondoka na maparachute porini kibiti. Kibano tutakachokitembeza itakuwa historia. We will use scorched earth policy and counter surgency technique.
The impact will be devastating!