correctYeye katoa tu mchanganuo kwa uelewa wake. Mbona unataka kumfanya kama anawajua au yy ni mmojawao!!!! Ndo maana Mara kadhaa watu wanaogopa kuisaidia polisi kutokana na mitazamo kama yako
ndio hivyo lakini sio kila thread mkuuaiseee mkuu ngoja nikupe hongera hapa....nyuzi zote za jamii forum ninazozipitia wewe ndo wa kwanza kuchangia mkuu
Nahis wamekusoma wakaua mwanamke.. hawa jamaa ni wakatili sana.. naamini tuna jeshi imara litawadhibitiAfande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals
2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)
3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)
4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly
5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu
6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku
7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu
8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini
9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari
10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37
11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu
12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets
13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)
14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, hawaibi au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini
15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao
16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani
17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza, other law enforcement agencies should put reasonable amount of resources ktk hili janga
ntarudi
mwanamajimbi kwakweli inahuzunisha saana. mara nyingi serial killers never cross sex, color ila hawa sasa wanaelekea hukoNahis wamekusoma wakaua mwanamke.. hawa jamaa ni wakatili sana.. naamini tuna jeshi imara litawadhibiti
asante kwa ushauri wako nimekusikia mkuuYani yote unayoyafikiria na hata yale ambayo we huwezi kuyawaza tayari serikali na vyombo vya dola wanajua na hatua zinaendelea maana Tanzania kuna watu wamesoma ndani na nje ya nchi kuhusu masuala ya usalama kuzid unavyofikiria. Muhimu tambua kuwa hawa jamaa n hatari maana wametengeneza mazingira ya kuogopwa na raia kiasi kwamba raia hata mkipishana chooni hawez kukwambia lolote anaamin anaonwa na badae atauawa.
Hili linatufundisha tusiwe tunashabikia ujinga maana kipindi majamaa yanaua askari miaka iliyopita na kuchukua silaha raia wengi walifurahi pasipokujua kwamba askari anauawa ili silaha ipatikane ila lengo kubwa n matumiz ya badae. Muhim n serikali kuongeza budget kwa ulinzi wa raia na kuajiri askari wa kutosha mengine tuwaachie wenyewe maana hapa jmforums hakna wa kumshauri Sirro namna ya kufanya ulinzi, km unaweza kawashuri Kenya , Nigeria ,somalia , UK , USA na kwingneko ambako watu wanakufa every day.
i agree with you, jamii husika ni lazima ishirikiane na jeshi la police kuwafichua hao watuHovyo sana, madawa yanapokosekana mbona hamsemi Waziri kuachia... Vipi kuhusu njaa, umeme kukatika, uchumi kuyumba, elimu wanafunz kutopewa mikopo kwa wakati.... Hizi zote ni changamoto, yatupasa kushirikiana wote... Hawa wauaji wapo miongoni mwetu, na tunawahifadhi. Tuwafichueni.
Acha ujinga wee mtu ni aibu kuonyesha ujinga wako hadharaniHii ni vita ya kina Bashite na Mwigulu.
Yaani hii ni vita ya wao kwa wao.
Kipindi walikuwa wanapanga mission za KIJINGA kutupa mabomu kule Olasiti kanisani, Tindikali Zanzibar, Mabomu uwanja wa Soweto Arusha, vita ya wachinja ng'ombe kule Mwanza n.k hawakujua walichokuwa wanakitengeneza.
Sasa wanapambana wao kwa wao.
Na muuwane mpaka mmalizane lkn mind u kuna zaidi ya hilo kwa kilichojengeka sasa
Nakubaliana na uchambuzi wako na nafurahi kwamba kuna watu wanaweza kuuchambua uhalifu na kutengeneza profile ya mhalifu kwa kiasi cha kuridhisha kiasi hiki. Inanikumbusha series ya 'Criminal Minds'.
Nami niongezee machache:
Kudos Technology
- Polisi wajaribu kuchambua namba za simu zinazotumika kati ya Dar na Kibiti,Ikwiriri na Rufiji. Let's hope watakuwa na software ya kuwawezesha kuchambua taarifa hizo. Kama hawana ni vizuri wakatafuta nguli wa IT kwa ajili ya kuanalyze taarifa za mitandao ya simu kwa watu wanaosafiri mara kwa mara kati ya Dar na miji hiyo.
- Sishauri JWTZ wahusishwe ktk hatua ya sasa. Polisi wana nafasi nzuri zaidi ya kusitisha mauaji haya kuliko JWTZ. Tatizo lililopo ni intelijensia. Serikali haijaweza kubaini kwa kina wahalifu ni kina nani, wana ajenda gani, na anagharamia uhalifu wao, wako wapi na nani anawaunga mkono. Ni jeshi la polisi na usalama wa taifa wanaoweza kupata taarifa za uhakika kuhusiana na jambo hilo kwa sababu ya mafunzo yao, uzoefu na ukaribu na jamii.
- Serikali imefanya vyema kutolihusisha jambo hili na dini. Dini ndio udhaifu wetu kama taifa. Haijalishi kama ni kweli dini inatumika au la.
- Watu wa Kibiti, Ikwiriri na Rufiji watumie hata mtandao kama hapa JF kutoa taarifa kwa vyombo vya dola ili tuweze kumaliza tatizo hili.
kwakifupi upo very wrong ila niwahakikishie kua kuna task force kubwa imeaundwa na inavishirikisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama ikiwemo military intelligence, Tiss na askari wenyewe wenye mamlaka ya kufanya kazi hizo kisheria. pia sio kila linalofanywa lazima tuambiwe kwa kifupi ni kwamba Sirro hayuko peke ake anashirikiana na wakuu wenzie katika hilo na kazi kubwa inafanyika....
ni vibaya kuongea wanayoyafanya hadharani kwakua ila kuna teknik wanayoitumia kwa sasa ambayo ni kujipaka asali mwili mzima ili kuwavuta nyuki na lazima watajaa tu.
kwahiyo nashauri tuache kujichanganya tuwaachie wahusika wafanye kazi yao.
kuna theory kadhaa nikipata nafasi baadae ntachangiaRudi na swali hili, chanzo cha haya mauwaji ni nini?
tell us morewakuu kuna habri hapa ambazo ni classified kuwa wafadhili na watu wanaojua mtandao huu wa kiislam na kigaidi ni high profile politicians.Kuna watu wanataka wanampango wa kuleta mambo ya Nigeria hapa na pia lengo lao ni kufanya Tanzania kuwa dola la kiislam.
We dearly need people like you when it comes to circumstances like this we need you so much please continue give some more Clues[/Q