IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

Bado nalingoja jinga moja litakaloanza kuhusisha matukio haya na dini ya kiislam kupitia ndoano ya ugaidi, hilo litakuwa jitu litakuwa JINGA sana liwe jitu la serikali au lichangiaji la mtandaoni..

Bado nalingoja jinga moja litakaloanza kuhusisha matukio haya na dini ya kiislam kupitia ndoano ya ugaidi, hilo litakuwa jitu litakuwa JINGA sana liwe jitu la serikali au lichangiaji la mtandaoni..
Too defensive......

kwa kifupi na kwa kusummirize kibiti panahitaji intelijensia ya kujiingiza katikati ya jamii (Collaborationa trick) ndipo ujue chanzo nini na ni watu gani, ndipo upande tactics za kuwakamata...mkitumia tu nguvu wale watu watawashinda.
nahisi ndio kinachofanyika sasa hivi. ova

Kile kinachoendelea huko Pwani hususani Kibiti,ni mambo ya hovyo sana, ni aibu, ni ukosefu wa utu, ni ukosefu wa ueledi kwa serikali haswa jeshi la polisi
Wana wakamata viongozi wa CUF, wanawatesa, wanapigwa risasi, wanaweka vizuizini, eti wana watafuta wauaji wa raia hususani viongozi wa ccm wanaouawa kila mara.

Haya ni mambo ya ovyo, yanachochea mpasuko ktk jamii, hakuna tena kutumia akili, kilichobaki ni ubabe, nguvu na utendaji wa kujilisha tuu.

Waziri wa mambo ya ndani ameshindwa kazi atuachie nchi ikiwa salama, huu ni wakati muafaka kwake kujiuzulu.

kwa kifupi na kwa kusummirize kibiti panahitaji intelijensia ya kujiingiza katikati ya jamii (Collaborationa trick) ndipo ujue chanzo nini na ni watu gani, ndipo upande tactics za kuwakamata...mkitumia tu nguvu wale watu watawashinda.
wako smart sana ukijichomeka wanakuondoa mapema......wanajuana sana wale

Bado nalingoja jinga moja litakaloanza kuhusisha matukio haya na dini ya kiislam kupitia ndoano ya ugaidi, hilo litakuwa jitu litakuwa JINGA sana liwe jitu la serikali au lichangiaji la mtandaoni..
Mbona wasi wasi mkuu?hata hujasikia tayari umeshapanic[emoji37] tulia.

Bado kuna wapuuzi watasema ni ugaidi cjui wakati hao waliouwawa ni waislamu inamana idara yetu ya usalama imeshindwa kabisa kutambua sababu za mauaji haya mpk inafikia kukamata watu kwa kuwahisi its shameful

Mbona wasi wasi mkuu?hata hujasikia tayari umeshapanic[emoji37] tulia.
Noh, ila obvious ndo inavyokuaga katika nchi zenye utendaji mdogo wa masuala ya kiupelelezi kama hizi za kwetu. propaganda za wamerkani juu ya uislam zimeharibu fikra za watu wengi sana

Yani yote unayoyafikiria na hata yale ambayo we huwezi kuyawaza tayari serikali na vyombo vya dola wanajua na hatua zinaendelea maana Tanzania kuna watu wamesoma ndani na nje ya nchi kuhusu masuala ya usalama kuzid unavyofikiria. Muhimu tambua kuwa hawa jamaa n hatari maana wametengeneza mazingira ya kuogopwa na raia kiasi kwamba raia hata mkipishana chooni hawez kukwambia lolote anaamin anaonwa na badae atauawa.
Hili linatufundisha tusiwe tunashabikia ujinga maana kipindi majamaa yanaua askari miaka iliyopita na kuchukua silaha raia wengi walifurahi pasipokujua kwamba askari anauawa ili silaha ipatikane ila lengo kubwa n matumiz ya badae. Muhim n serikali kuongeza budget kwa ulinzi wa raia na kuajiri askari wa kutosha mengine tuwaachie wenyewe maana hapa jmforums hakna wa kumshauri Sirro namna ya kufanya ulinzi, km unaweza kawashuri Kenya , Nigeria ,somalia , UK , USA na kwingneko ambako watu wanakufa every day.

Wameua mwanamke usiku wa leo. na katika point zako umeeleza kwamba hawaui wana wake.una lipi la kutueleza?

Upo vizuri kiongoz utalisaidia jeshi la polis na sisi raia kwa ujumla tunapoteza ndugu zetu

Hovyo sana, madawa yanapokosekana mbona hamsemi Waziri kuachia... Vipi kuhusu njaa, umeme kukatika, uchumi kuyumba, elimu wanafunz kutopewa mikopo kwa wakati.... Hizi zote ni changamoto, yatupasa kushirikiana wote... Hawa wauaji wapo miongoni mwetu, na tunawahifadhi. Tuwafichueni.

Wameua mwanamke usiku wa leo. na katika point zako umeeleza kwamba hawaui wana wake.una lipi la kutueleza?
Yeye katoa tu mchanganuo kwa uelewa wake. Mbona unataka kumfanya kama anawajua au yy ni mmojawao!!!! Ndo maana Mara kadhaa watu wanaogopa kuisaidia polisi kutokana na mitazamo kama yako

Back
Top Bottom