IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

Mjomba hizo findings mbona kama wewe upo kwenye inner cycle yao.. Umewajuaje viongozi wao ? Na kwamba huyo mzee ndiye anayetoa amri?
Nakumbuka kwenye movie hawa Jamaa wanao toa order mara nyingi hawatoi order moja kwa moja kwa walio chini yao na hiyo ili kujilinda ikitokea waliotumwa wamefanya fyongo basi sio rahisi kuwatia hatiani ma boss zao

Samahani mafian movies zimeniathiri
Itakuwa huyu mtoa post anawajua wauwaji ndio maana kaweka njia zake hizi ili wasikamatwe kirahisi wauwaji.
 
Interejensia kwa Chadema polisi wanaweza hapo vidume wanavishindwa polisi wetu hovyo kabisa
 
Habari za leo wana GT ! Huu ni mda muafaka sasa , jeshi letu la wananchi , jeshi la polisi , TISS , wakae chini wamalize hili tatizo la kibiti , lasivyo hili swala litazidi kuleta taharuki kwa jamii na watanzania kwa ujumla . kwa mtazamo wangu hawa watu wanambinu za hali ya juu ni dhahiri . Ni vema sasa jeshi la wananchi lipewe ruhusa ya kwenda kukabiliana na hii changamoto kwa sababu ndio saizi yao . sio kwamba nadharau jeshi letu la polisi , ila ni ukweli halisi kwamba hii imewazidi uwezo wa kimkakati.
 
Afande IGP Naomba uzingatie yafuatayo naamini yatakusaidia kujua una deal na watu wa aina gani huko mkoani pwani
1. You are dealing with a Very well organized and calculating criminals

2. Kuna kitu kikukbwa kinachowaunganisha (wanaongea lugha moja au ni watu wa dini moja)

3. Wana plan uhalifu kwa muda wa kutosha kwa kutumia wasiri walio ktk eneo husika, (surveying targets movements kabla hawajatekeleza tukio)

4. Kundi la wauaji (hit men) ni dogo kati ya watu 3 mpaka 7 na nguvu hutumika accordingly

5. Wana viongozi wasiozidi 2 wanaowatii na hao ndio wanaamrisha utekelezaji wa uhalifu

6. Kiongozi mmoja ni mtu mzima na kwa matukio aliyoyamrisha so far ni mtu amabye hapendi kuwe na confrontation kati ya wauaji na targets na huyu ndio anamrisha matukio mengi yanayotokelezwa usiku

7. Kiongozi mmoja yuko mid thirty, huyu ni hatari na he is ready for anything na most possibly aliamrisha matukio yote au mengi ya late evening including ya askari wetu

8. Ni watu ambao wako very mobile na wana sources of funding na majority wanaishi mjini

9. Kiongozi mmojawapo na/au kiranja wa hao hit men ana mafunzo ya kijeshi au alikua ni askari

10. Hawa wanaotekeleza uuaji ni watu wenye familia, wengi wako between 26 to 37

11. Very possible one of the hitmen ni mtu amabye amefanya kazi za porini kwa muda mrefu ikiwa pamoja na udereva wa kubeba mchanga, mkaa, kuni au mazao ya misitu na yuko familiar sana na maeneo ya misitu

12. Wameanza na weak targets (low level leaders) na kadri muda unavyoenda na kama hawatodhibitiwa wataenda hatua kubwa ya kuvamia makundi makubwa au bigger targets

13. Kwakua matukio mengi yanatokea late evening au usiku, hawa ni watu wanaohofia kujulikana, kukamatwa lakini pia usalama wa familia zao (just in case)

14. Kwakua wauaji wamekua wakiacha signatures zinazofanana kwa kila tukio, ikiwemo kutukuua wanawake, hawaibi au watoto kuna uwezekana mkubwa kinachowaunganisha ni dini

15. Karibu matukio mengi wanatumia assault rifles, na hatujasikia wao kutumia weapons of opportunity, ni muhimu kutumia mbinu na nguvu kuliko wanazotumia wao

16. Aina wa uhalifu huo kwakua sio common sana hapa kwetu, intelligence unazokusanya ni vema ukaenda beyond our borders na kama kuna simila unsolved cases kama hizo kwa nchi jirani

17. so far motive yao is to make a political statement polisi peke yao hawatoweza, other law enforcement agencies should put reasonable amount of resources ktk hili janga

==================================================


a. They are standing behind high powered riffles hunting innocent people

b. These are evils, cowards, weak and crazy people

c. Najaribu kupaza sauti za wajane na watoto wa marehemu wote waliouawa

===================================================

UPDATES..........................

1. Kwa mara ya kwanza wamebadilisha presentation of their political statement that they are trying to broadcast by targeting and killing a woman (I believe this must have brought a lot of misunderstanding among themselves)

2. Kuna chance kubwa saana ndani ya kundi la hawa jamaa kuna muhalifu ambaye ktk shughuli zake anashughulika na ufundi umeme, simu au ufundi pikipiki/gari na ni aina ya mtu amaye yuko very cautious na yuko radhi aendeshe pikipiki hata kilomita 60 kupiga simu moja na kurudhisha ujumbe kwa kundi ili wasigundulike their current location. Huyu kuna uwezekano ndio atakua ame develop communication mechanism and short communication formats wanapotaka kuwasiliana!

3. It is unusual for serial killers to cross sex or race lakini hawa wameanza kufanya, hii ni dalili njema kwa jeshi letu kwamba juhudi zao zitazaa matunda very soon, wanachojaribu kuonesha ni kwamba they can hit any target at any time lakini ukweli ni kwamba siku zao zinakaribia na tayari wanaona a heavy presence of police and other officers activities na hueanda some of their sources wameguswa na askari tayari

4. Laana ya damu za marehemu zinawalilia everywhere they go!!!!! Now, if Police get everything right na wakaendelea kuwasaka, watajaribu kutumia excessive amount of energy ( licha ya kutumia bunduki kuua watu wasio na makosa, wanaweza kutumia panga au kisu kuchoma/kukata miili ya marehemu sehemu za juu, kuwamwagia marehemu/ mahututi petrol and burn bodies au nyumba)

5. Idea ya kuwasubir mpaka wafanye mistake ili kuwakamata is right but not appropriate at this time, the pressure from all communities is so high. People are demanding answers (The damage has been massive)

6. Some few questions kwa wakazi wa maeneo hayo kama mnapata muda wa kusoma maelezo yangu

a. Kuna mtu au watu ambao ktk kipindi toka mauaji yaanze na walikua wakazi wa maeneo hayo wamefungwa jela long sentences na chanzo ni madai au mashtaka yaliyosababishwa na serikali za mitaa

b. Kuna watu au kikundi kilichopoteza ardhi au waliuza kwa bei ya chini na baadae wakagundua wamepoteza na wakajaribu kuirudisha bila mafanikio waliapa kulipiza kisasi


ntarudi
Bora urudi kwani hakuna mkakati hata mmoja ulioutoa wa kuwakamata watuhumiwa zaidi ya kututupia hisia zako za wasifu wao ambazo hazina uhusiano na mustakabali mzima wa kuwanasa na kuuzima ujangili wa uhai wa watu wasio na hatia
 
Hicho kikundi cha mauaji ya kibiti najua ni lazima kitakuwa kimepewa mafunzo ya jihad.

Na kwanamna yoyote ile hicho kikundi kwa baadaye kinamalengo ya kuja kuwa kikundi kikubwa cha ugaidi kama alsha bab boko haram nk.

Hicho kikundi kwasababu kwanza ndio kinaanza
ktk hicho kikundi polisi wakibahatika kuwauwa hata wawili na mmoja akikamatwa hapo lazima waje wapoteane.
 
mkuu bila shaka kupigana na hawa wauaji inaitaji ushirikiano wa hali juu sana kati ya raia na askar lakn maintelejensia binafsi wakujitolea wote waingie wakapge kaz tuwakamate hawa washenz ata wewe mkuu nadhan tukuombee uwepo kwenye hyo operation
 
technology km hutajali utuambie unafanya shughuli gani?i wish uwasaidie huu uintelijensia polisi wetu sema sasa wanaweza kukuweka nndani lol....mm nakupa salute we ni mtu makini beyond normal....sipati picha familia yako unaitreat vip!kudos
 
Nimetafakari sana.

Kama ni kweli waganga wanaweza kuwapa watu utajiri, kumvuta mpenzi wako aliyembali, kusafisha nyota na kuwatambua wabaya wako. Je, hatuwezi kuwatumia waganga kutambua wabaya wetu wa huko Kibiti.?

Hawa waganga wanachama chao na hata serikali inakitambua, tunaomba serikali iongee na hiki chama kisaidie maana naona kwa njia za kawaida imekuwa ngumu kuwatambua hawa watu.

Samahani kwa nitakao kuwa nimewakwaza lakini mtu apatapo tatizo sugu hutumia njia yoyote ile kulitatua.



hahahahahhahhhahahahah yaaani nimecheka had machozi mkuu dah kumbe unaamini waganga hahhahaha hawakawii kukuambia mbaya wenu ni mkulu ndio sijui utafanyaje!yaan wewee uwezo wakpo wa kufiki ri umeishia nhapooooooo
 
mwanamajimbi kwakweli inahuzunisha saana. mara nyingi serial killers never cross sex, color ila hawa sasa wanaelekea huko
Hili ni group, sometimes if anything goes wrong during an attack (ie kutambulika sura zao, ama victim aka pause threat(yelling + photo + blockage) hua anatandikwa na yeye ama ammunition round ikamkosa mlengwa na kwenda mbali na kumkuta, (AK 47 ina fatal range ya kuswitch btn 800m-1000m) , pia within a group kua na unexperienced attacker akitishiwa ata mbwa ana react unexpectedly

NB:Mawazo yangu tuu
 
Jambo hili siyo gumu hata kidogo, wananchi ndiyo wameamua kuhodhi taarifa na watu wanaofanya haya matukio.

Ila litawatokea puani wote wanaowahifadhi waharifu.
 
Hili ni group, sometimes if anything goes wrong during an attack (ie kutambulika sura zao, ama victim aka pause threat(yelling + photo + blockage) hua anatandikwa na yeye ama ammunition round ikamkosa mlengwa na kwenda mbali na kumkuta, (AK 47 ina fatal range ya kuswitch btn 800m-1000m) , pia within a group kua na unexperienced attacker akitishiwa ata mbwa ana react unexpectedly

NB:Mawazo yangu tuu
got you.
 
mkuu bila shaka kupigana na hawa wauaji inaitaji ushirikiano wa hali juu sana kati ya raia na askar lakn maintelejensia binafsi wakujitolea wote waingie wakapge kaz tuwakamate hawa washenz ata wewe mkuu nadhan tukuombee uwepo kwenye hyo operation
muda wowote nitakya tayari kuisaidia nchi yangu kwa mawazo. i wish ningefanya zaidi ya hapo
 
Itakuwa huyu mtoa post anawajua wauwaji ndio maana kaweka njia zake hizi ili wasikamatwe kirahisi wauwaji.
mkuu nadhani hujasoma vizuri andiko langu.siwezi kuisaliti jamii yetu na kuwaunga mkono hao loosers
 
Kuna jambo lilifanyika mkoani mwanza mwanzoni mwa mwaka Jana likihusisha makomandoo. Walivamia na kuua kila aliyekuwa kwenye Yale mapango.

Makomandoo walifanya jambo la namna hiyo hiyo kwenye mapango ya amboni mkoani Tanga.

Kumbukumbu kidogo nilizonazo ni kwamba, wale waliovamiwa na kuuwawa ktk mapango ya mwanza walibainika baada ya raia wema kupata wasiwasi juu mienendo ya watu hao na kutoa taarifa kwa jeshi la Polisi wakati huo kama sikosei bwana siro akiwa mkuu wa polisi mkoa wa mwanza, japo haikutangazwa lakini ukweli ni kwamba jeshi la Polisi lilipojaribu kuwavamia watu hao mapangoni lilizidiwa nguvu kwa kila namna ndipo makomandoo wakapelekwa.

Makomandoo walipofanikiwa kuwateketeza wanamapango wa mwanza wakapelekwa na na kutekeleza uteketezaji kwenye mapango ya amboni tanga.baada ya hapo hali ikawa shwari utulivu ukatamaki na mambo hayo kusahaulika.

Kama sikosei, wakati wanamapango wa mwanza wanavamiwa walikua hawajafanya jambo lolote la uharifu, japo walipochokonolewa ikakutwa walikua na siraha nzito nzito na uwezo mkubwa wa kuzitumia kiasi cha vijana wa bwana siro kuzidiwa. Na kwamba baadhi ya watu waliokutwa na kuuwawa huko walikua na asili ya Pakistani.

At least wale wa amboni najua waliisha anza kufanya mauaji ya apa na pale.

Nachojiuliza je, jeshi la polisi liliendelea kufuatilia mienendo ya wanamapango, walikua na nia gani , ni wakina nani? Ni marafiki wa nani ?

Usijekuta mikakati iliyokuwa inapangwa mapangoni ndio inatekelezwa leo ikwiriri.
 
Back
Top Bottom