shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,515
duh kuna mmoja alishikwa,mwalimu akataka k amchomoe akampa na akamchukua na video ,mwalimu alivyozingua akaipeleka ile video kwa mjema, duh jamaa ndo basi tena akafukuzwaNashukuru hakuwahi kutufundisha. Alisababisha rafiki yangu ahame chuo maana alimshika halafu akaleta zile zake zileeeeee. Rafiki yangu akaona upuuzi arudie mwaka halafu mwalimu yule yule bora ahame tu
ulikua vizuri Mzee,apo ata fn lazima ulipiga poaSijawwhi kupata chini ya B+ QM
kama mwarabu ni Abdul yule sio bukwimbaJamani yule kama mwarabu?
Chura zinamtesa sana yule babaaaaaaa mimi nlichomoa appeal jamaa ana roho ngumu ila mlaini sana yule kwenye chura
Labda mniwasa au andendekisyeTupo mkuu tuzungumzie nini mkuu airport au screen saver?
Hongeraaaaa zako trans yangu nzuri sema cheti sasa majanga. First year nilicheza sanaNlimaanisha asiichukulie poa ifm, nini sup. Watu tumenyoosha GPA ukiangalia trans unakubali
Hahahahaaa. Na hostel kule eehChimbo langu lilikua kule ocean road
Wewe na warembo wa IFMMimi nini?
IFM ndo nilijua kama mwanamke huna akili utaliwa hovyo na lecturers.duh kuna mmoja alishikwa,mwalimu akataka k amchomoe akampa na akamchukua na video ,mwalimu alivyozingua akaipeleka ile video kwa mjema, duh jamaa ndo basi tena akafukuzwa
malecturer wanafaidi mno hahaIFM ndo nilijua kama mwanamke huna akili utaliwa hovyo na lecturers.
Sana aisee. Kuna mmoja nilikua napiga nae story anasema eti unadhani nilikua mjinga kufundisha ifm eeh. Maana najilipa kabisa pension yangu kwa watoto wazuri na ndo maana sioi.malecturer wanafaidi mno haha
yaani yule tumuache tu,mimi nlikuwa nkitoka nikienda mafian lounge au didis na kampani ya kina ngeleshi au Mgeni ,asubuhi chuo ananitolea macho kuna siku akanibananisha kwenye lift....yule baba yule yeye mwenyewe ana chura bado tena anataka chura Mungu anamzoom alitutesa sana jamani siku aliyonipa supp nlilia nlipiga magoti nlivyochoma eti kapoint jamani mweeeeChura zinamtesa sana yule baba. Alinipaga B ya field work kisa nilimkataa
ha ha ha ha ha ha ha hii kauli inanichekesha sanaSana aisee. Kuna mmoja nilikua napiga nae story anasema eti unadhani nilikua mjinga kufundisha ifm eeh. Maana najilipa kabisa pension yangu kwa watoto wazuri na ndo maana sioi.
Huyo ndendekisye si ndo yule mbabu ana sura ngumu kweli kweli na roho ngumu ila kaoa mwanamke mrembo sana jamani tulisoma nae mwaka mmoja.Nakumbuka kama hujamaliza ada utaisoma no kwake utakumbana na majibu mpaka akupe kibali cha mtihani nusu saa imeshaishaLabda mniwasa au andendekisye
Nasikia na mke wake alikuaga anapata supp eti ya somo lakeHuyo ndendekisye si ndo yule mbabu ana sura ngumu kweli kweli na roho ngumu ila kaoa mwanamke mrembo sana jamani tulisoma nae mwaka mmoja.Nakumbuka kama hujamaliza ada utaisoma no kwake utakumbana na majibu mpaka akupe kibali cha mtihani nusu saa imeshaisha
hahaha na miaka ya nyuma ifm ilikua na Watoto wakali balaa kila contena jipya linaloingia ni visu hatari,ata kama ndo mm nisingeoa aisee,hivi mzigua ulipiga social protection nini?Sana aisee. Kuna mmoja nilikua napiga nae story anasema eti unadhani nilikua mjinga kufundisha ifm eeh. Maana najilipa kabisa pension yangu kwa watoto wazuri na ndo maana sioi.
hahaha na miaka ya nyuma ifm ilikua na Watoto wakali balaa kila contena jipya linaloingia ni visu hatari,ata kama ndo mm nisingeoa aisee,hivi mzigua ulipiga social protection nini?Sana aisee. Kuna mmoja nilikua napiga nae story anasema eti unadhani nilikua mjinga kufundisha ifm eeh. Maana najilipa kabisa pension yangu kwa watoto wazuri na ndo maana sioi.
Nah nilipiga taxation.hahaha na miaka ya nyuma ifm ilikua na Watoto wakali balaa kila contena jipya linaloingia ni visu hatari,ata kama ndo mm nisingeoa aisee,hivi mzigua ulipiga social protection nini?
Aisee we acha nimemiss sana babu bishangazi mzee wa cost accountingHuyo ndendekisye si ndo yule mbabu ana sura ngumu kweli kweli na roho ngumu ila kaoa mwanamke mrembo sana jamani tulisoma nae mwaka mmoja.Nakumbuka kama hujamaliza ada utaisoma no kwake utakumbana na majibu mpaka akupe kibali cha mtihani nusu saa imeshaisha