Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Ndo jiulize sasa .Anzia na vya kwenye post ya Morg
Mi na ungwini wapi na wapi? thread ndefu kama lift ya Mbeya.
Ndo jiulize sasa .Anzia na vya kwenye post ya Morg
Mi na ungwini wapi na wapi? thread ndefu kama lift ya Mbeya.
ukizinduka ujiunge nami kumsaka anayehack account yangu kila tunapokuwa tunajiandaa kupata mtoto.
boraaa ila na michepuko je?
Kupima sasa hivi ni kila baada ya miezi mitatu mama tena kama mjamzito unapimwa hata kabla hujaingia labour:gossip:Hivi karibuni kwa aliyepima, kituo chochote, aliambiwa kupima ni mara moja kwa mwaka sahizi?si tena ile kila baada ya miezi mitatu @?
Jesus Christ...!!! Sielewi kinachoendelea baada ya hapa.....NIMEZIMIA..
ukizinduka ujiunge nami kumsaka anayehack account yangu kila tunapokuwa tunajiandaa kupata mtoto.
hata ukiaflu moja
Oooooh mm mbaya nshakuambia huyu atakumaliza kwa presha
bora usizindukeeee