Ifike muda habari za vibustani vikomeshwe...

Ifike muda habari za vibustani vikomeshwe...

Awe kwenye ndoa au aiswe kwenye ndoa alichosema ni kweli na kipo katika jamii! Tatizo wanaume/wanawake wapenda michepuko hamtaki kuambiwa ukweli!!Ukae ukijua kama mleta thread alivyosema USHAKULA VINGI VYA AJABU BABA!!Endekeza michepuko kwa gia ya stress za ndoa mwisho wake sio mzuri, utapotea
umechana ukweli mpaka roho imeshituka
 
Sisemi michepuko ni sahihi au ni better ....ninachosema kila mtu ana sababu zake na situation yake...kuwanyooshea kidole wanaochepuka is wrong....kuna mtu unakuta mkewe au mume kamsusa for good...asipo Tafuta faraja kwingine ata ishi vipi? Ndoa nyingi ni image tu but ziko flat...

Kwa iyo faraja anaipata kwa mchepuko!!Hujui kuwa faraja ya kweli yatoka kwa Mungu pekee?
 
Awe kwenye ndoa au aiswe kwenye ndoa alichosema ni kweli na kipo katika jamii! Tatizo wanaume/wanawake wapenda michepuko hamtaki kuambiwa ukweli!!Ukae ukijua kama mleta thread alivyosema USHAKULA VINGI VYA AJABU BABA!!Endekeza michepuko kwa gia ya stress za ndoa mwisho wake sio mzuri, utapotea

Sasa moral police ni yeye?anaewapa mamlaka ya kuwa fundisha watu wazima what to do na maisha yao nani?
 
kwahio we huchepuki wala ulienae hachepuki.
 
hujawahi kutembea na mume wa m2 wewe kwann ulikua nae.
 
Ndio maana kila kukicha maadili yanaporomoka, watu hamtaki kuambiwa ukweli!!

Wewe walokole wangapi mnazini na wachungaji huko makanisani uje utufundishe sisi ukweli? Please get a life....kama unajiamini we msafi keep it to yourself...
 
Who are you kujipa mamlaka ya kumwambia mtu ukweli? Na ukweli wako ndo ukweli wa kila mtu?
Nahisi kama umepanic sana bro, hata kama yaliyomo yamo jitahidi kidooogooo kushusha tempa hiyo
 
Freedom of speech baba!!Ili mradi sijavunja sheria yeyote nitakuambia/ntawaambia ukweli! Mmezidi kusupport mambo yasiyofaa katika jamii

Maambo yasiyofaa kwa mujibu wa nani? Pombe haifai kwa kila mtu?na ambao hawana dini wasinywe pombe sababu walokole hamtaki pombe? Why ulazimishe imani zako kwa Wengine? Boko haram na wewe kuna tofauti?
 
Wewe walokole wangapi mnazini na wachungaji huko makanisani uje utufundishe sisi ukweli? Please get a life....kama unajiamini we msafi keep it to yourself...

Una ushahidi walokole wanazini na wachungaji au unajisemea tu!!!Na hata kama kweli wanafanya uzinzi mbona humu watu wanakemea sana tabia hizo?FYI wewe na mimi tuna jukumu la kuhakikisha maovu yanakomesha katika jamii zetu!Si katika micepuko tu bali katika kila maaovu, wizi, mauaji n.k!!!
 
ingawa kila mtu ana uhuru wa kusema atakacho ila sarakasi za ndoa na wanandoa waache kama walivyo kama hujafika humo. ujuavyo sivyo na udhaniavyo umepotoka.
 
Maambo yasiyofaa kwa mujibu wa nani? Pombe haifai kwa kila mtu?na ambao hawana dini wasinywe pombe sababu walokole hamtaki pombe? Why ulazimishe imani zako kwa Wengine? Boko haram na wewe kuna tofauti?

Wakati unakua, wazazi wako au kama huna wazazi basi walezi (hata kama ulikulia kwenye orphanage centre) au shuleni walikufundisha kwamba kuna mambo mema na mabaya, tabia njema na zisizo njema!Hizo ndo ninazozungumzia mimi ikiwemo hii ya UMALAYA!Sidhani kama baba/mama yako alikuruhusu kufanya ngono under their roof!
 
Back
Top Bottom