Miss anonymous
Member
- Mar 12, 2014
- 16
- 10
Inasikitisha sana hiki kizazi cha sasa kinapoelekea watu hatuna tena hofu ya Mungu jambo kama hili si la kuhalalishwa,Mke ama Mme uliyenae ni mpango wa Mungu huo kama kuna differences sort them out hii dunia tunapita tu kuna siku utajibu kila kitu ulichokua ukikifanya hapa duniani!samahanini niko ki imani zaidi.