Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Khantwe na mwenzio miss neddy wote nyie wadogo zangu...kataa/ukubali..
Huyo mwingine sawa ila mi kikongwe
Last edited by a moderator:
Khantwe na mwenzio miss neddy wote nyie wadogo zangu...kataa/ukubali..
mi nishamnyang'anya upendo wangu
Haya mambo kweli hayawezi kuisha kwa style hii
mi nishamnyang'anya upendo wangu
hahaha mwallu chunga mzigo wako lol
Huyo mwingine sawa ila mi kikongwe
Huyo mwingine sawa ila mi kikongwe
Umbea hauna posho ila kikubwa taarifa imefikaUmbea hauna posho ujue.
Si mtaji bora kufikisha ujumbe ujihamiMajungu si mtaji....
nimeamini hakuna rafiki duniani kama Yesu...
hadi wewe
Mwenye maskio !!
serikali nne daimaaaaaa hahaha...
Umbea hauna posho ila kikubwa taarifa imefika
Si mtaji bora kufikisha ujumbe ujihami
Ni kweli sipend nikuone rafiki unapotea
Nimebwa bundle nikatuma mumewe alipokuja nikaambiwa iooh mm mchonganishi
Wanaenda kulala cha ajabu naja huku nakuta unapewa verse Asprin hafai its ur choice to believe it or leave it
haaaa!!! na wewe????
Unapenda ukubwa eh?? kuwa mke wa babu ni ukubwa tosha. kam zis wei chapchap sana.